sblandes
JF-Expert Member
- Apr 25, 2010
- 6,980
- 4,986
Big up Makonda Lowasa nani kwan siku zote ukweli humuweka mtu sehemu huru, na Watz hatutaki kuusikia ukweli
Huyu dogo hajitambua kuwa anatumika kama kifaa kufanya kazi chafu hata kama yeye akubiliani nazo.Katukana na kupiga Warioba,Sasa anamkashifu Lowassa. Lakini yupo kimya kwa manyangau waliochota Escrow kwani hajatumwa hilo.Mwisho wake atatupwa jalalani baada kumaliza kazi chafu.