Paul Makonda afunguka

Paul Makonda afunguka

Aisee kumbwe siku hizi ukitaka UDC inabidi umlambe miguu mtoto wa mkulu wa kaya!
 
hiyo mbona kama ofc ya sheria ngowi,na hata sura haijaonekana hapo
Tatizo hapa ni ukweli wa picha,suala la sura halina tatizo maana umbo na vitu vingine ninashabihiana kabisa na mkuu wa wilaya mpya wa Kindondoni.Kama kweli picha hii ni ya ukweli huu ni uhuni.
 
Eti ndie Mkuu Wa wilaya anayefunga mtoto wa mfalme kamba za viatu..
attachment.php

huyu kibaraka kumbe ndo hizi kazi zake za utumwa ama mama wa nyumbani kweli ukuu wa wilaya kautumikia na kuu tolea jasho la kwa style zote. Pole kuwadi wa Riz one
 
my country Tanzania, inakwenda wapi? yaonekana wazi kuwa kuna ujanja unaendelea hapa as baadhi ya watu wanajinufaisha kwa masirahi yao na familia zao. When are we going to stop this?:A S 20::A S 20::A S 20::A S 20:
 
Tanzania Daima taaluma ya uandishi ni zero kabis. Mngetuwekea audio au video kuhalalisha huu upuuzi wenu basi.


Hilo jina lako unalitumia vibaya. Gazeti(print) na audio wapi na wapi. Neno zero pia umelitumia kwa msukumo wa hasira/chuki dhidi ya waandishi/gazeti. Tujitahidi kuuficha ujinga wetu ktk mambo tusiyoyaelewa vizuri.
 
Hii sasa hapana. Wanaume wawili mko chumbani mnavalishana viatu! !!??
 
kunamwandishi mmoja wa gazeti la tanzania daima pamoja na mhariri wake wote wanatumika na Lowasa wengine wapo gazeti la nipashe na mwanachi jamaa wanalipwa kwa kumpigia debe Lowasa.

achakujichanganya.....kama sio Lowasa nchi inakwenda upinza hakya mama,sema we all have fake ids tungethibitisha yote hapa
 
Heri ufe masikini kuliko kufaa kwa mtindo huu...huyu mteule wa rais ni kati ya wale wateuli wasio na heshima katika jamii..huyu jamaa si ndie alietaka kumpiga jaji warioba..hapa kuna picha nyingi mmtaona eti huyu kipepeo anamtukana hata lowassa na kina mgana na wenzie ..namuuliza huyu kadc hana wazazi hata akope huko heshima...anajidai anaifahamu sana siasa za tanzania,mjingaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!! na shule yake ya kuuunga?karibu kwetu dar leta ukada utoke mbioo.
attachment.php
[/QUOTE]
 
Huyu awezi kuzuia nguvu za Amiri jeshi Mkuu Mtarajiwa , hebu cheki hapa akiwa kazini

10940998_953593611325697_3374197141674481358_n.jpg
 
Makonda huyu hafai hata kuwa baba wa familia,,,Unaenda kupiga mzee Warioba..

Umetukana tukana,,

Umefunga wanaume wenzio Viatu..

Tena Chumbani.......

ha ha ha ha Ndio maana ukawekwa kinondoni....ili uwe karibu uendelee kumfunga viatu...na Kuvivua pia...
 
kunamwandishi mmoja wa gazeti la tanzania daima pamoja na mhariri wake wote wanatumika na Lowasa wengine wapo gazeti la nipashe na mwanachi jamaa wanalipwa kwa kumpigia debe Lowasa.

Ni kina nani hao wataje kwa majina
 
Scene ya makonda ni fupi sana,ko msitarajie kumuona ktk hii muvi
 
Uhitaji kuwa mchapakazi na mwenye maadili ili upate cheo kwenye Serikali ya mswahili JK, ila mtukane tu Lowasa utaukwaa U-DC. Hongera makonda kwa kufuata nyayo za Nape!!
 
Back
Top Bottom