Richcountrytz
Member
- Dec 17, 2014
- 9
- 2
Eti ndie Mkuu Wa wilaya anayefunga mtoto wa mfalme kamba za viatu..
![]()
Huo ni upotoshaji, huyo wala sio Paul Makonda....Huyo kijana anaitwa Deo ni mdogo wake na Sheria Ngowi yupo ofisini pale kwa Sheria na hiyo ndiyo kazi yake kuwafanyia Wateja waendao pale.