Nyie watu propaganda za PK zimewaingia!! Halafu PK alivyo mjanja, akawekeza sana Kigali kwavile anafahamu majority ya wageni watarudia Kigali!! Matokeo yake kila utakayemwambia Rwanda bado sana, anakuuliza "ushafika Kigali wewe!" Juzi juzi tu hapa kulikuwa na mgao wa umeme huo balaa na wala bado mambo hayajatengemaa!!! Hii mess tuliyonayo TZ kwenye shule za kata Rwanda wanayo kwenye shule za msingi... yaani full matatizo!Ni bora ukakaa misimu mitatu hadi mitano huku ukiijenga nchi kuliko kukaa misimu miwili huku ukiifilisi nchi. Kikwete ametutia umaskini kila mahali. Si kwa safari za nje si kwandani kwenye kubadirisha mawaziri wakuu wa wilaya kama nguo za ndani. Sijaona chochote alicho tufanyia zaidi ya kuongeza deni la taifa kwa kujenga vimifereji vya bara bara. Unapewa msaada 1000 unatumia 300 kwenye miradi kisha unatumia 700 kwenye safari. Aisee ni bora tu week ijayo ifike mapema aondoke.
Mkuu Nguruvi3,kuna kitu marehemu Mtikila aliwahi kuzungumza juzi juzi hapa kabla ya kifo chake - binafsi sishangai comments za PK kuhusu uchaguzi ndani ya Taifa letu - angependelea sana upinzani ndio ushinde katika Uchaguzi,cha kujiuliza hapa ni je, yeye anaweza kukubari/ruhusu hilo litokee Nchini Rwanda.Kwa Watanzania, anachoongea Kagame si demokrasia bali hasira za kuondolewa DRC kwa kichapo
Ni mmoja wa watu wanaosubiri machafuko Tanzania na huenda hata kuchochea kwa aina fulani
Tuwe waangalifu
JokaKuu
Nadhani hujamuelewa Le président Paul Kagame. Ukisoma between the lines, utagundua kuwa yeye anakiri wazi hafuati demokrasia. Anachosema ni kwamba macho na masikio yao yako kwa Tanzania tunaotambwa ndo mabingwa wa demokrasia katika ukanda wetu wa East Africa.
Mon félicitations président Paul Kagame
Voyons ce qui se passera à partir du champion de la démocratie dans notre région
Simwogopi hata kidogo,atanipata wapi?nitammaliza kabla hajanifikia mimi ni hutu etiHumuogopi?
atakutumia watu huku huku
saNi bora ukakaa misimu mitatu hadi mitano huku ukiijenga nchi kuliko kukaa misimu miwili huku ukiifilisi nchi. Kikwete ametutia umaskini kila mahali. Si kwa safari za nje si kwandani kwenye kubadirisha mawaziri wakuu wa wilaya kama nguo za ndani. Sijaona chochote alicho tufanyia zaidi ya kuongeza deni la taifa kwa kujenga vimifereji vya bara bara. Unapewa msaada 1000 unatumia 300 kwenye miradi kisha unatumia 700 kwenye safari. Aisee ni bora tu week ijayo ifike mapema aondoke.
Hata kama hapigi campaign direct, maelekezo na amri za wateule wake eg RC's na DC's (Kinondoni, Mwz, Rorya etc) yanawakilisha matakwa yake.
Simwogopi hata kidogo,atanipata wapi?nitammaliza kabla hajanifikia mimi ni hutu eti
amri kama zipi?...
Natamani kagame angekuwa rais wetu wa tz kwa kipindi cha 2005-2015!! Tusingekua hapa!!
Kagame huna cha kutuambia wewe,kwanza umepindisha katiba,JK SIYO KAMA WEWE,MAANA YEYE MUDA WAKE UMEISHA NA ANAONDOKA,SASA KAGAME WEWE UMEKATAA KUWAACHIA WENGINE NA UTAGOMBEA TENA,HUNA TOFAUTI NA HYABIRAMA
Mkuu unajua watu hawaelewi kuwa Kagame ana interest sana na Tz kutokana na mambo yake kule DRC. Anafahamu kichapo alichopokea kupitia M23 kiliharibu sana mipango yake. Ni mmoja wa watu wa kuangalia sana maana anatamani Tanzania iingie katika machafuko ili mipango yake iende sawa. Hana interest na demokrasia ya aina yoyoteMkuu Nguruvi3,kuna kitu marehemu Mtikila aliwahi kuzungumza juzi juzi hapa kabla ya kifo chake - binafsi sishangai comments za PK kuhusu uchaguzi ndani ya Taifa letu - angependelea sana upinzani ndio ushinde katika Uchaguzi,cha kujiuliza hapa ni je, yeye anaweza kukubari/ruhusu hilo litokee Nchini Rwanda.
leo chaggadema wanaongea lugha moja na dikteta kagame.kila siku mimi nasema "chaggadema imejaa mazuzu na ni chama cha kibogus kuwahi kutokea tanzania.watanzania makini wote tumekipuuza.kimebaki na wala ngada na wanywa viroba na bange.hivi kagame naye ni mtu wa kumshabikia kabisa???!i
Nimependa maneno ya Paul Kagame ameongea ukweli na siyeye tu bali ni jamii yote ya kimataifa wanasubiria huu uchaguzi kwa hamu maana sisi tumekuwa wakwanza kuwanyoshea wenzetu vidole utadhani sisi ni makaika!Haya sasa mpira huko kwetu kupiga penati je tutapaisha au tutalenga goli???