Paul Kagame umeongea ukweli hataki unafiki!

Paul Kagame umeongea ukweli hataki unafiki!

Ni mara kumi yake Kagame kwa sababu hata anachokifanya kwa nchi yake kinaoneka! Ustawi wa jamii na maendeleo kwa ujumla. Sio kama huyu wetu anayeondoka, alingia na anatuavha na shida zetu. Alichofaidi ni kuitajirisha familia yake na yeye kujionesha nje ya nchi! Najuta sana kwamba nilimpigia kura yangu!
Wewe usidanganyike,la sivyo wanyarwanda wasingekimbilia France na Belgique
 
Wakati yeye na timu yake wanabadilisha katiba ili aendelee msimu wa tatu, JK anaondoka baada ya misimu yake miwili kwisha kwahiyo he's no match JK!

nadhani hujaelewa mantiki yake. soma vizuri kisha comment tena
 
Wananchi wenyewe ndio wamependekeza aendelee,fuvk term limits, they are meaningless sometimes.
Danganywa wewe,hapa wananchi wametumika tu maana hawana jinsi,ila order ilitoka juu,sema wameona bora maisha kuliko kifo
 
Kagame huna cha kutuambia wewe,kwanza umepindisha katiba,JK SIYO KAMA WEWE,MAANA YEYE MUDA WAKE UMEISHA NA ANAONDOKA,SASA KAGAME WEWE UMEKATAA KUWAACHIA WENGINE NA UTAGOMBEA TENA,HUNA TOFAUTI NA HYABIRAMA

Bora hajawa mnafiki..yes kapindisha tena live!! Vipi nyie ccm mko tayari kuwaachia ukawa nchi baada ya miaka 50 and plus madarakani??
 
Stupid ni wewe tena mpumbavu tena usiye na akili. Hapa tulikuwa tunajadili mada iliyopo jamvini. Nini kilikufanya umuingize mama yangu kwa mambo ambayo yeye hausiki? Discussion za kwenye mitandao unaingiza wazazi waliopo kama sio upumbavu tuite nini? Halafu eti unazungumzia IQ!! Unaijua IQ wewe?What a nonsense.
Kwasababu wewe huwa unafikiri kila anayepinga hoja yako basi ni pro Mbowe... ukaishia kunikebehi. Na mimi vikojozi kama wewe huwa siwacheleweshi nawachezesha kindumbwe ndumbwe bila hata nguo!
 
Nimependa maneno ya Paul Kagame ameongea ukweli na siyeye tu bali ni jamii yote ya kimataifa wanasubiria huu uchaguzi kwa hamu maana sisi tumekuwa wakwanza kuwanyoshea wenzetu vidole utadhani sisi ni makaika!Haya sasa mpira huko kwetu kupiga penati je tutapaisha au tutalenga goli???

mambo yataenda vizuri tu,,kama wanategemea watanzania kuuana waambie wasahau
 
Wewe usidanganyike,la sivyo wanyarwanda wasingekimbilia France na Belgique

Unachoandika hata haukielewi, kwani watanzania hawajawai kukimbia na kuwa wakimbizi? Kwani China hakuna waliokimbia nchi yaona kutafuta uraia wa nchi zingine, tunachosema hapa ni maendeleo ya nchi.... wewe vipi?
 
Usilinganishe Rwanda na Tanzania,Rwanda ni kama kijimkoa tu hapa kwetu.

Akili za ma-CCM hizi! Kwao nchi ni ukubwa! Na vi-nchi vidogo kama Norway vinavyowasaidia hao mafisadi wanaokuchagua kwenye bunge la ''vitu maalum'' basi ni mikoa!
 
nadhani hujaelewa mantiki yake. soma vizuri kisha comment tena
Mantiki ya msg kuangalia ikiwa kuna utofauti wowote kati ya JK kwa upande mmoja na PK and Nkrunzinza kwa upande mwingine! Kwanza nimesha-confirm hiyo message ni fake... haipo kwenye a/c yoyote ya PK! Lakini kwa upande mwingine kutaka kulinganisha demokrasia kati ya Tanzania VS Burundi na Rwanda; ni kichekesho ambacho hakina maana yoyote unless mtu awe anajadili kwa kuangalia political interests.
 
Sasa kama ni feki kwanini unapoteza muda wako kutetea vitu feki?
 
Usilinganishe Rwanda na Tanzania,Rwanda ni kama kijimkoa tu hapa kwetu.
Siyo hata Kijimkoa,Rwanda kwa Tanzania ina Km za Mraba kama "Wilaya mpya ya MLELE"-iliyopo mkoa mpya wa KATAVI.Yaani hata KAYA YA MKURYA ni Kubwa kuliko Rwanda.Kulinganisha Tanzania na Rwanda ni Upumbavu uliokithiri
 
Kwasababu wewe huwa unafikiri kila anayepinga hoja yako basi ni pro Mbowe... ukaishia kunikebehi. Na mimi vikojozi kama wewe huwa siwacheleweshi nawachezesha kindumbwe ndumbwe bila hata nguo
Hapa wanajadiliwa wanasiasa na Mbowe ni mwanasiasa! Sasa umetumia vigezo gani kumuungiza mama angu kv tu nimekuuliza ulitaka asimamishwe Mbowe?Halafu eti vikojozi.,,, sasa unafikiri mie ndo nitakuogopa? Btw, umejuaje kama mimi ni kikojozi kama sio kwamba nilikukojolea? Kwa taarifa yako matusi hayauzi na kama unajifanya unajua kutukana sana, we endelea tu.
 
Nimependa maneno ya Paul Kagame ameongea ukweli na siyeye tu bali ni jamii yote ya kimataifa wanasubiria huu uchaguzi kwa hamu maana sisi tumekuwa wakwanza kuwanyoshea wenzetu vidole utadhani sisi ni makaika!Haya sasa mpira huko kwetu kupiga penati je tutapaisha au tutalenga goli???
mnafiki tu hana uzito wowote. wakati yeye anafanya hila kwa kugeuza katiba ili abaki kwenye utawala jk bila kusita anajitayarisha kukabidhi dola baada ya muda wake kumalizika.
 
kagame anajua anachoongea,,,huyu kinyago wa kitusi yuko tayari kuwaback akina mbowe waingia forest,,huoni mbowe katanguliza pesa nchi za nje...

chakufanya vyombo vya usalama kuanzia tarehe 24 hawa viongozi wajuu wa ukawa wanatakiwa kuwa monitored,,wasije kutorokea nje na kutuachia msala huku.
 
Back
Top Bottom