JAY MTAALAM
JF-Expert Member
- Oct 5, 2014
- 1,595
- 1,392
Mbona mazombi humu ngoja nikasome mada nyingine hahaha taifa lina hasara LOH bora MAGUFULI ALETE KAZI TU!
Safi jamaa yupo straight sio mnafiki.
GUME GUME wewe na nani mnataka kutuchagulia mtu ambaye mmempachika kugombea Urais kwa pesa yake?Kikwete, acha demokrasia ichukue mkondo wake, sisi Watanzania wapumbavu na malofa katika wingi wetu, tumeamua kwamba Rais wetu, ni Lowasaaaaaaaaa!!!! Hatuko tayari kuongozwa na Mr Push-up!!!!!!
matakwa kama yapi we omela...?
Awaache waTz wachague mtu na chama wanachokitaka. Ahakikishe tu usalama wa nchi na wananchi lakini chaguo liwe leo.
Kulikuwa na matakwa ya watu ktk mradi wa katiba mpya alichangia kuyakanyaga na kuyatupilia mbali, leo anatuacha mambo hayaeleweki.
Hiki ni kijembe kwa mkulu wetu JK. Naona Kagame kaamua kutopepesa macho!!
Awaache waTz wachague mtu na chama wanachokitaka. Ahakikishe tu usalama wa nchi na wananchi lakini chaguo liwe leo.
Kulikuwa na matakwa ya watu ktk mradi wa katiba mpya alichangia kuyakanyaga na kuyatupilia mbali, leo anatuacha mambo hayaeleweki.
Kagame huna cha kutuambia wewe,kwanza umepindisha katiba,JK SIYO KAMA WEWE,MAANA YEYE MUDA WAKE UMEISHA NA ANAONDOKA,SASA KAGAME WEWE UMEKATAA KUWAACHIA WENGINE NA UTAGOMBEA TENA,HUNA TOFAUTI NA HYABIRAMA
Kagame huna cha kutuambia wewe,kwanza umepindisha katiba,JK SIYO KAMA WEWE,MAANA YEYE MUDA WAKE UMEISHA NA ANAONDOKA,SASA KAGAME WEWE UMEKATAA KUWAACHIA WENGINE NA UTAGOMBEA TENA,HUNA TOFAUTI NA HYABIRAMA
Ujue nyie wanyarwanda wajinga sana mnadhani jkmjinga kama kagame?
Ni bora ukakaa misimu mitatu hadi mitano huku ukiijenga nchi kuliko kukaa misimu miwili huku ukiifilisi nchi. Kikwete ametutia umaskini kila mahali. Si kwa safari za nje si kwandani kwenye kubadirisha mawaziri wakuu wa wilaya kama nguo za ndani. Sijaona chochote alicho tufanyia zaidi ya kuongeza deni la taifa kwa kujenga vimifereji vya bara bara. Unapewa msaada 1000 unatumia 300 kwenye miradi kisha unatumia 700 kwenye safari. Aisee ni bora tu week ijayo ifike mapema aondoke.Kwanza sina hakika kama hiyo taarifa ni ya kweli! Lakini kama ni kweli, hilo kwenzi lipo wapi? Yeye anataka kuona ikiwa JK atakuwa tofauti na yeye au Nkurunzinza-- mpaka hapa tulipo tayari JK ameshajitofautisha na Kagame na Nkruzinza coz' wakati Nkruziza tayari ameshang'ang'ania madaraka huku PK na timu yake wakiwa mbioni kubadili katiba ili PK achukue msimu wa tatu; tayari JK ameshaonesha dhahiri kwamba anaondoka baada ya muda wake kwisha!
Nimependa maneno ya Paul Kagame ameongea ukweli na siyeye tu bali ni jamii yote ya kimataifa wanasubiria huu uchaguzi kwa hamu maana sisi tumekuwa wakwanza kuwanyoshea wenzetu vidole utadhani sisi ni makaika!Haya sasa mpira huko kwetu kupiga penati je tutapaisha au tutalenga goli???
umeshamuona jk anapigia kampeni mtu tangu zianze?,,,,kwa taarifa tu miaka ya nyuma mwenyekiti wa ccm ambaye ndo rais alikua anampigia kampeini mgombea wa ccm,mwakahuu ni tofauti...bado siku nne,umeona jk kapiga kampein wapi?....
Tena ni bora anayebadilisha katiba aendelee kuliko anayefanya uchaguzi feki wa kuingiza pandikizi lake litakalolinda uchafu wake. Huyu ni mbaya sana sana.