Mkuu labda lugha iliyotumika hukuilewa pengine siyo lugha rafiki sana, hajagusia ni nani anashinda au kushindwa. Alichokisema ni kuwa uchaguzi huu utakuwa ni kipimo cha demokrasia.[/QUOTE
Ndugu yangu kama huna ujuzi wa kujua misemo ya kidipromasia nakupa pole: jifunze kuwasilisha ujembe wa kukejeli kwa mtu anayeshikilia cheo cha juu mfano rais, waziri, mkurugenzi, boss wako au mtu wa kawaida bila kutia chachu ya wazi wazi: hapa PK amemnywa vijembe jk na kwa waelevu na wasomi wanajua lugha ya kumkejeli msomi au mwanadipolomasia mwenzao..