kwa hiyo unambishia au unataka kusema kuwa hawapo?
Mkuu niliwahi kuhoji maswali kama ya kwako siku za nyuma, lakini jamaa wakani hakikishia kwamba hamna wasi wasi Taifa letu liko imara kwenye nyanja za intelijesia kama ilivyo kuwa zamani!!Kwa leo ntazungumzia items No.5 kwa kwa undani kidogo, ili wahusika wajaribu kuangalia vitu vingine kwa upana wake tukipuuzia yatakuja kutu-cost dearly siku za usoni, si kila kitu kinatokea kwa bahati mbaya. Hivi kuna watu wamewahi kuhoji PK alikuwa anapata wapi funds za kuendeleza/kugharimia vita vya DRC vya kumung'oa Mobutu na within 2 years kapigana tena kutaka kumuondoa madarakani Kabila Sr, isigekuwa majeshi ya Angola na Zimbabwe kuingilia kati Kabila Sr angepinduliwa (kumbuka wakati huo PK walikuwa hawajahanza kubeba maliasili kutoka DRC) lakini Serikali/jeshi lake walikuwa na hela KIBAO, sio utani wakati PK alipo vamia DRC kwa mara ya pili Makamanda wake walikuwa wana tembea na mabox yaliyo jaa Dollar Bills wanawagawia Wakongomani fedha na silaha ili wamugehuke Kabila Sr - jamaa hawa wana mbinu za kila sampuli, si watu wa kuchezea - hiyo ilikuwa karibu miaka ishirini iliyopita je hivi sasa wana mbinu gani za dot com.Tukirudi kwenye mada - PK baada ya kuingia madarakani Rwanda hakuwa na mpago wa kupigana ili amuondoe madarakani Mobutu, nchi za Magharibi ndio zilitoa shinikizo/ushawishi aendeleze vita DRC kwa maslahi yao (MADINI) - PK hasigeweza kubishana nao kutoka na misaada aliyo wahi kupewa na nchi hizo wakati wa harakati zake za kumtoa madarakani Habyalimana - Kwanza, kwa kumuwekea vikwazo vya ununuzi wa silaha Rais Habyalimana ili akubali kufanya mazungumzo na rebels walio kuwa wanaongozwa na(PK) - Pili, nchi hizo zilitoa kikosi kilicho husika na kutungua ndege ya Habyalimana, tangu mwanzo PK hakutaka kutunguliwa kwa ndege hiyo, alijua fika reaction za Wahutu kutokana na kuuwawa kwa Habyalimana kungeleta balaa nchini mwao, kwa bahati mbaya wakina William Clinton wakamu-over rule! Matokeo yake ndio hiyo genocide inayo zungumzwa kila siku, ingawa wao wanabisha kwamba mauwaji yalianza mapema; nikiona mtu kama Bill akijibaraguza na ku-shade crocodile tears ndio maana nasema kwamba Clinton ni muhigizaji mahili - Kofi Annan aliwahi kwenda Rwanda wakamsema sema sana na kumulahumu sana, bahati nzuri mzee wa watu ni mtu mkimya sana, Rwanda walicho sahau ni kwamba Koffi Annan alikuwa anajua kila kitu kilicho jili kati ya PK na Bill na nini kilichochea mauaji ya halahiki. Mimi siamini kama madhumuni ya Bill kununua au ana mpago wa kununua nyumba Kigali kwa ajli ya mapumziko au anapenda sana Kigali iwe Camp David ya pili - hapana yupo pale kwa lengo maalumu, hasikudanganye mtu. Kama alivyo dokeza mwenzagu hapo juu, vita vya DRC vinatokana na wakubwa kutaka kupora maliasili za Wakongomani, nchi za magharibi zilimtumia PK kwa lengo hilo; tukea tukijua Tanzania ni ya pili katika kanda hii ya Africa kuwa na maliasili nyingi, tunaweza kabisa kuwa kwenye phase ya pili ya kuwa destabilise as a Nation ili tufanane kama DRC, mtu wa kufanikisha lengo hilo wamekwisha mchonga - Watanzania tusijisahau SANA. Sisi kama Wafrica kwa nini hatujiulizi kwa nini Wazungu usema kupatikana kwa madini/mafuta/gesi katika baadhi ya nchi za Kiafrica na LAANA!!! Je hii ni slip up ya ulimi au?Wakuu hapa kuna mambo ningependa kuyaweka kama angalizo katika kelele hizi za Rwanda na Tanzania
Kuna mengi ya kuwaandikia hapa. mtanisamehe kwa maelezo marefu.
- Kuna wakati kulikuwa kuna move ya kutengeneza Tutsi Empire, zoezi hili lilikuwa limesimamiwa na PK na watu wake, utawala huu ulikuwa na lengo la kumiliki eneo lote la maziwa makuu, kikwazo kikawa ni Tanzania sijajua walifikia wapi... Au wakati ndio huu wameshajipanga.
- Wakati wa utawala wa rais wetu Mh. Ben kitengo chetu cha ujasusi (TISS) kilikuwa taabani, tukabaki tunategemea kile cha jeshi, JK alivyoingia alirejesha hali ya TISS kama zamani, Sijui kama waliweza kurudisha nguvu zao kutokea pale walipositishwa na kuwa na ubora kama zamani au ndio PK anapitia katika uchochoro huo uliotokana na madhaifu kututenda.
- Kwa taarifa tu wote tujue Watutsi wamejaa kila mahali katika system zetu za kiusalama katika ngazi za juu sana... Je Isijekuwa ilikuwa ni Strategy ya PK kuwaweka watu wake na sasa amefanikiwa.. anataka kulianzisha.
- Yule Kanali wetu aliyetoweka JWTZ wamesema ukweli? Inasemekana yupo kwa PK. Mnatafakari nini juu ya kuondoka kwake? Au ndio tumeridhika na kuondoka kwake tunaendleza maisha bila shida wala mawazo yoyote
- Na mwisho ni kukumbushana tu..... DRC sasa hivi haitawaliki kwa kuwa watu wamegawana vitalu vya kuchimba madini ndani ya nchi ile.... Yawezekana pia PK akawa ametumwa kuifanya Tanzania iwe kama DRC, kuwe na vita ambayo haitakwisha mpaka siku madini yaekwisha, ili wagawane vitalu ndani ya TZ. Nawajulisha pia na najua Wengi mtakuwa hamjui hili.... Imeshafanyika Survey ya nchi nzima na kampuni ya Canada ili kujua wapi kuna madini katika nchi hii, ni ya aina gani, na yanakadiriwa kuwa kiasi gani. Wakuu wa vita watakuwa wameshagawana nchi sisi hatujui... TISS mtatuokua juu ya hili.
........... Sisi kama Wafrica kwa nini hatujiulizi kwa nini Wazungu usema kupatikana kwa madini/mafuta/gesi katika baadhi ya nchi za Kiafrica na RAHANA!!! Je hii ni slip up ya ulimi au?
J
Na si kwamba matatizo haya ya Wacongo yameanza leo,ni muda mrefu. Unaelewa Che alisemaje baada ya kukaa Congo na watu ambao aligundua siyo makini. Matatizo ya Wavongo yataisha pale watakapo jitambua. Si Tanzania wala UN,sijui nani ataweza rudisha ktk mstari taifa hili kubwa,tajiri,wananchi masikini ktk eneo la maziwa makuu!
Pale namba 2 naomba nikusahihishe. JK hajafanikiwa hata kidogo kurudisha hali ya zamani ya TISS. Kosa kubwa alilofanya ni kumchagua Othman, aliyekuwa small time intelligence officer ubalozi wa London kuongoza taasisi kubwa kama hii.
Othman ameshindwa kucommand respect ya maafisa wake kama Director. Hata unakumbuka baada ya uchaguzi wa 2010 ni Zoka ndiye aliyeongea na press kukanusha shutuma za Dr. Slaa. Chini ya uongozi wa Othman TISS imegawanyika na sidhani kama atafanikiwa kurudisha nidhamu inayohitajika pale.
Ndio hivyo mkuu, kiswahili changu kina matatizo kidogo - we nivumilie hivyo hivyo, CHEERS....Mkuu samahani kidogo.......hilo neno maana yake ni nini.....jina au ni sehemu gani....au ulitaka kusema "LAANA"....
Kumbukeni Hossama alifunzwa na USA na akaja kuwa threat kwako. Usishangae ya PK. Wapo watu ambao wanawasaliti hata wazazi wao waliowazaa, sembuse PK? Afadhali kama akili imemrudia. Lakini ajue mtoto hakui kwa babaye wala mwanafunzi hamzidi mwalimu wake.
greed and selfishness, vitampeleka pabayaJamani hii mutu inaitwa kagame ni hatari sana sitashangaa kama ataishia kama Kabila mkubwa.