Paul Kagame: Tanzania's own spy

Paul Kagame: Tanzania's own spy

kwa mikwara tu wabongo hatujambo, hivi kama majasusi wetu ndio mahodari wa ku-train maraisi wengine na kuwapa mbinu iweje ndani kwetu tunashindwa kutoa viongozi imara au ina maana majasusi wa CCM ni wakali zaidi kwenye kulinda ngome yao.

Hainipi kuona hali ya siasa za ndani na ugawaji wa mali hovyo unaoendelea kutoka kwa viongozi wa waliopo na bado wengine wanataka nafasi za uraisi, halafu eti tuna majasusi waliobobea ambao wapo tayari kufa kwa ajili ya usalama wa taifa, si wangeangaika na kuwaweka watu wenye huwezo madarakani kuliko serikali ambayo imejaa akina Sofia Simba.

Mambo ya kijasusi mbali na mambo ya siasa mbali...
 
Patriotic my azz,ukiulizwa unataka kupigana kwa sababu gani jibu ni...??mnaonyesha mlivyo malofa tuu bora make kimya na comedy zenu.

Ondoka na joto lako la nyuma hapa mnyarandwa weweee.najua imewaumaaa kuona watz tumeshikamana na ktk hili jambo?hatuwezi kwenda against na jk ktk jambo.mengine tutamuunga mkomo no matter what.
 
Tanzania haijui kutumia watu wenye uwezo yenyw ya maskin wakmbzi na wagonjwa tu.wangempaga uraia akawa hata rais wetu tu mana namkubali kinoma zaid hata ya huyo jjj wetu
 
de'levis maana ya signature yako ni nini? ... ''two falafel to go,please hold the sesame''
 
Last edited by a moderator:
tatizo la kagame ni kutamani vitu vilivyo nje ya mipaka ya nchi yake.

Wakati tanzania inatumia resources zake tangu uhuru mpaka sasa kuhakikisha nchi jirani zinakuwa salama, kagame anatumia njia zozote zile kuchafua hali hiyo. Kagame can not be afriend kama ataendelea kuchafua hali ya amani.

Watu zaidi ya milioni 2 wamehama makazi yao kwa sababu ya kile anachofanya kagame. Mtu kama huyo hawezi kuwa rafiki.

Watoto wanakosa fursa ya elimu, wengine wanakufa kwa magonjwa yanayotibika kama kuharisha na utapiamlo kwa sababu ya kagame. Mtu kama huyo hawezi kuwa rafiki. Kumfanya kagame rafiki ni kutukana utu wetu...


umenena mkuu.na watu milioni sita wamekufa.kuna watanzania wanamwita ndugu.duuuh
 
Waoh! Mzee, you are back! Tulimiss sana vitu vyenu na Jason Bourne. Mi nilidhani jamaa zenu wamewaulia mbali ili taarifa za siri zisitoke.
nipo comrade, just doing what I know best
 
Siyo tu kwamba Rwanda feels unsafe with FDLR and other extremist Hutu, but the current regime in Kigali feels unsafe with everyone who does not speak the same language with it. It includes even the Tusi colleagues who established the regime.

Getstart,

Very true. Pres Kagame is at times paranoid. This is why I tell people here that the situation is a lot more complex than a Tutsi vs Hutu strife. There are issues that transcend ethnic lines. Pres Kagame does not trust many people in Rwanda, and who is to blame him given the history of that country. There are many Tutsi who do not support the president. So simply being Tutsi is not a green light to doing whatever you want. There are people even within the RPF who are at loggerheads with Paul. But then again, what's a leader to do when you have an overcrowded poor populus divided along ethnic lines to herd? Do you sit back and play weak leader and see your country for which you fought disintegrate into chaos? Or do you man up, "control" the opposition, thwart genocidaires and maintain safety and security and prosperity?Why arent people discussing about the many positive outcomes of Pres Kagame's leadership across Rwanda?Anyway, I am not condoning how Pres Kagame leads but I understand.
 
Acha comedy wewe,kagame kakulia Uganda maisha yake yote.

Wewe maisha yake yote yapi? Kama hufahamu acha wanaofahamu waongee na uwasikilize tu. Kwa hiyo hata kusoma Marekani hutaki? Kupigana vita ya msituni na Museveni hutaki? Walipigana vita ya msituni wakitokea wapi?
 
Duuh, no comment. Kunawatu wanajua mambo jamani. Nashukuru nchi yangu majasusi wake hawana tamaa na madaraka. Watu wanamjua Kagame aliyekombali, je huyu raisi wetu sindio wanamjua nje ndani. Uzi huu umenifundisha kitu. Thanx Jf, Kweli kabla ya kumpiga Raisi kura 2015 naomba wakuu Moshe dejan na de'levis mje mtuchambulie wagombea jinsi walivyo maana tunaweza kuingia kwenye mkumbo. SALUT
 
Tanzania trained him to be a world class spy, why is he turning against his mentor!? If there are misunderstandings, why cant diplomacy take the first course??

It was 1978 in a secret espionage farm(somewhere in Morogoro), Paul Kagame was recruited, trained and eventually served as our informer and a spy in different top secret missions. Why is this killing machine malfunctioning now!?

Baada ya kumaliza mafunzo, hata Marekani ilimtambua kwa uwezo wake wa infiltration na counter espionage skills, kiasi kwamba ilimpa nafasi asome command and general staff college huko Kansas. PK Akiwa na Yoweri Museveni, Obote, Okello, Oyite Ojock, Yusuf Lule, Fred Rwigyema na majasusi waliokubuhu wa Tanzania, walikutana kwa siri Kilimanjaro, mwaka 1979,in a secret meeting called THE MOSHI CONFERENCE na kuunda "KIKOSI MAALUM" kilichotangulia na baadhi ya majasusi ndani ya Uganda kuendeleza insurgency covert operations wakati majeshi ya TPDF yakisonga mbele.

Hii timu ilikua pia na David Sejusa Tinyefunza, jasusi kuu la Uganda(SPY CHIEF) aliyepishana kauli na M7 na kuamua kukimbilia UK. Tanzania made them what and who they are now, powerful and intimidating. Timu hiyo ilifunzwa unprecedented guerrilla tactics kama tulizowafunza wenzetu wa kusini mwa Afrika na ndio maana PK akiwa bega kwa bega majasusi wenzetu na Fred Rwigyema ambaye aliuwawa kwenye battle waliweza kuingia hadi Kigali kwa kupitia Uganda Virunga Mountains baada ya kutumikia UPDF kama security chief wa M7.

A "cold war" highly fueled by media should be stopped and let the old memories flourish. If we had same belief or ideology, why should we differ now..???

PK trained in our own supervision and now he is telling us this nonsense
 
Duuh, no comment. Kunawatu wanajua mambo jamani. Nashukuru nchi yangu majasusi wake hawana tamaa na madaraka. Watu wanamjua Kagame aliyekombali, je huyu raisi wetu sindio wanamjua nje ndani. Uzi huu umenifundisha kitu. Thanx Jf, Kweli kabla ya kumpiga Raisi kura 2015 naomba wakuu Moshe dejan na de'levis mje mtuchambulie wagombea jinsi walivyo maana tunaweza kuingia kwenye mkumbo. SALUT
de'levis atakusaidia kwa hilo
 
Wakuu hapa kuna mambo ningependa kuyaweka kama angalizo katika kelele hizi za Rwanda na Tanzania
  1. Kuna wakati kulikuwa kuna move ya kutengeneza Tutsi Empire, zoezi hili lilikuwa limesimamiwa na PK na watu wake, utawala huu ulikuwa na lengo la kumiliki eneo lote la maziwa makuu, kikwazo kikawa ni Tanzania sijajua walifikia wapi... Au wakati ndio huu wameshajipanga.
  2. Wakati wa utawala wa rais wetu Mh. Ben kitengo chetu cha ujasusi (TISS) kilikuwa taabani, tukabaki tunategemea kile cha jeshi, JK alivyoingia alirejesha hali ya TISS kama zamani, Sijui kama waliweza kurudisha nguvu zao kutokea pale walipositishwa na kuwa na ubora kama zamani au ndio PK anapitia katika uchochoro huo uliotokana na madhaifu kututenda.
  3. Kwa taarifa tu wote tujue Watutsi wamejaa kila mahali katika system zetu za kiusalama katika ngazi za juu sana... Je Isijekuwa ilikuwa ni Strategy ya PK kuwaweka watu wake na sasa amefanikiwa.. anataka kulianzisha.
  4. Yule Kanali wetu aliyetoweka JWTZ wamesema ukweli? Inasemekana yupo kwa PK. Mnatafakari nini juu ya kuondoka kwake? Au ndio tumeridhika na kuondoka kwake tunaendleza maisha bila shida wala mawazo yoyote
  5. Na mwisho ni kukumbushana tu..... DRC sasa hivi haitawaliki kwa kuwa watu wamegawana vitalu vya kuchimba madini ndani ya nchi ile.... Yawezekana pia PK akawa ametumwa kuifanya Tanzania iwe kama DRC, kuwe na vita ambayo haitakwisha mpaka siku madini yaekwisha, ili wagawane vitalu ndani ya TZ. Nawajulisha pia na najua Wengi mtakuwa hamjui hili.... Imeshafanyika Survey ya nchi nzima na kampuni ya Canada ili kujua wapi kuna madini katika nchi hii, ni ya aina gani, na yanakadiriwa kuwa kiasi gani. Wakuu wa vita watakuwa wameshagawana nchi sisi hatujui... TISS mtatuokua juu ya hili.

Kuna mengi ya kuwaandikia hapa. mtanisamehe kwa maelezo marefu.
 
ndio maana naamini kuwa Tanzania ni kinara wa kuumba maaduni zake mwenyewe ! na ndio maana naamini hao Wanayruanda ni wajinga fulani hawatupi shida
 
Mmeshindwa kuwatafuta wahalifu waliyelipua bomu pale olasit mkaamua kumuuzia kijana wa watu kesi,kule Zenji nako mpaka mmeita FBI na kutoka patupu!Leo hii mnataka kutuaminisha mmeweza ku-train watu kama Kagame na M-7!This is simply MMECHANGANYIKIWA!
 
mkuu cjakuelewa hapa

Watanzania tumekuwa tunajimaliza wenyewe kwa kutafuta sifa na kuwajali wengine kuliko sisi, Pamoja na mshikamano tulionao katika masuala nyeti kama haya, turudi nyuma tuangalie; uchumi wetu uliyumbishwa kwa kuisaidia Uganda sasa waganda wana- pickup wanaanza kutucheka, tuliwasaidia South Africa kwa misaada ya hali na mali kiasi ambacho wasoud wengi wana damu zetu tulizowachangia leo wameua makampuni yetu wanayanunua kwa bei ya nyanya hata sioni kile walichotusaidia, Bora hata M7 alitujengea shule kule Mlongo Karagwe. N kweli kwamba viongozi wote hao Kabila ,M7, na PK tumewapeleka wenyewe lakini hatujiulizi wema wote huo tuna rudishiwa nini?
 
Back
Top Bottom