Nje ya Mada
JF-Expert Member
- Sep 30, 2015
- 1,399
- 491
Multiple ID'sGENTAMYCINE njoo leta mboyoyo zako huku

Tanzania trained him to be a world class spy, why is he turning against his mentor!? If there are misunderstandings, why cant diplomacy take the first course??
It was 1978 in a secret espionage farm(somewhere in Morogoro), Paul Kagame was recruited, trained and eventually served as our informer and a spy in different top secret missions. Why is this killing machine malfunctioning now!?
Baada ya kumaliza mafunzo, hata Marekani ilimtambua kwa uwezo wake wa infiltration na counter espionage skills, kiasi kwamba ilimpa nafasi asome command and general staff college huko Kansas. PK Akiwa na Yoweri Museveni, Obote, Okello, Oyite Ojock, Yusuf Lule, Fred Rwigyema na majasusi waliokubuhu wa Tanzania, walikutana kwa siri Kilimanjaro, mwaka 1979,in a secret meeting called THE MOSHI CONFERENCE na kuunda "KIKOSI MAALUM" kilichotangulia na baadhi ya majasusi ndani ya Uganda kuendeleza insurgency covert operations wakati majeshi ya TPDF yakisonga mbele.
Hii timu ilikua pia na David Sejusa Tinyefunza, jasusi kuu la Uganda(SPY CHIEF) aliyepishana kauli na M7 na kuamua kukimbilia UK. Tanzania made them what and who they are now, powerful and intimidating. Timu hiyo ilifunzwa unprecedented guerrilla tactics kama tulizowafunza wenzetu wa kusini mwa Afrika na ndio maana PK akiwa bega kwa bega majasusi wenzetu na Fred Rwigyema ambaye aliuwawa kwenye battle waliweza kuingia hadi Kigali kwa kupitia Uganda Virunga Mountains baada ya kutumikia UPDF kama security chief wa M7.
A "cold war" highly fueled by media should be stopped and let the old memories flourish. If we had same belief or ideology, why should we differ now..???
Wasi wasi wangu ni huu urafiki wa ghafla wakati ni mwaka Jana tu alikuwa adui mkubwa wa tz. Na pia wasi wasi wangu unatokana na kusoma na kujua historiaia vizuri sana.Tatizo la Kagame ni kutamani vitu vilivyo nje ya mipaka ya nchi yake.
Wakati Tanzania inatumia resources zake tangu uhuru mpaka sasa kuhakikisha nchi jirani zinakuwa salama, Kagame anatumia njia zozote zile kuchafua hali hiyo. Kagame CAN NOT be afriend kama ataendelea kuchafua hali ya amani.
Watu zaidi ya milioni 2 wamehama makazi yao kwa sababu ya kile anachofanya Kagame. Mtu kama huyo hawezi kuwa rafiki.
Watoto wanakosa fursa ya elimu, wengine wanakufa kwa magonjwa yanayotibika kama kuharisha na utapiamlo kwa sababu ya Kagame. Mtu kama huyo hawezi kuwa rafiki. Kumfanya Kagame rafiki ni kutukana UTU wetu...
Siasa na wanasiasa,,, shida sanatanzania kwa ujasusi tulikuwa poa sana,tulitengenza kabila na mtoto wake,wamba,kagame,museven,mandela na wa msumbiji jina limetoka ila kwanini sasa tumerudi nyuma na maskini wa kutupwa paoja na rasilimali zote
Better means of getting rid of him should be thought of. Hana faida kwa maslahi makubwa ya nchi hii.Tatizo la Kagame ni kutamani vitu vilivyo nje ya mipaka ya nchi yake.
Wakati Tanzania inatumia resources zake tangu uhuru mpaka sasa kuhakikisha nchi jirani zinakuwa salama, Kagame anatumia njia zozote zile kuchafua hali hiyo. Kagame CAN NOT be afriend kama ataendelea kuchafua hali ya amani.
Watu zaidi ya milioni 2 wamehama makazi yao kwa sababu ya kile anachofanya Kagame. Mtu kama huyo hawezi kuwa rafiki.
Watoto wanakosa fursa ya elimu, wengine wanakufa kwa magonjwa yanayotibika kama kuharisha na utapiamlo kwa sababu ya Kagame. Mtu kama huyo hawezi kuwa rafiki. Kumfanya Kagame rafiki ni kutukana UTU wetu...
Umeenda jumla jumlade'levis, long time no see.., turudi kwenye mada, ntakuja na topic jinsi rwegyima alivyouawa na jinsi siku alipoenda front ilikuaje rpg zote za unit yake zili-miss fire, ndipo utajua kagame tulimuivisha kwenye espionage

Too bad now he isn't only a friend, but also a mentor and role model to our dear President.Tatizo la Kagame ni kutamani vitu vilivyo nje ya mipaka ya nchi yake.
Wakati Tanzania inatumia resources zake tangu uhuru mpaka sasa kuhakikisha nchi jirani zinakuwa salama, Kagame anatumia njia zozote zile kuchafua hali hiyo. Kagame CAN NOT be afriend kama ataendelea kuchafua hali ya amani.
Watu zaidi ya milioni 2 wamehama makazi yao kwa sababu ya kile anachofanya Kagame. Mtu kama huyo hawezi kuwa rafiki.
Watoto wanakosa fursa ya elimu, wengine wanakufa kwa magonjwa yanayotibika kama kuharisha na utapiamlo kwa sababu ya Kagame. Mtu kama huyo hawezi kuwa rafiki. Kumfanya Kagame rafiki ni kutukana UTU wetu...
Most of your writings are incredibly detailed and shed light to some crucial facts. ....watu wanawa-stereotype tu wa-Congo.
..malaya na walevi wako ktk kila jamii.
..mimi kwa upande wangu nadhani sifa kubwa ya watu wa CONGO ni CREATIVITY na ENTEPRENEURSHIP.
..binafsi nadhani tukiwapa "space" wanaweza kufanya mambo makubwa.
..Congo imetumika na kuhujumiwa toka enzi za King Leopold mpaka leo.
Majitu kama Kagame katika mafunzo yao yanafundishwa pia kumfanyia mwanadamu uovu wa kupindukia.To them life has no meaning and the end justifies the means.No wonder he is doing what he is doing.View attachment 110364 View attachment 110363 View attachment 110362 View attachment 110361 View attachment 110359
Tanzania trained him to be a world class spy, why is he turning against his mentor!? If there are misunderstandings, why cant diplomacy take the first course??
It was 1978 in a secret espionage farm(somewhere in Morogoro), Paul Kagame was recruited, trained and eventually served as our informer and a spy in different top secret missions. Why is this killing machine malfunctioning now!?
Baada ya kumaliza mafunzo, hata Marekani ilimtambua kwa uwezo wake wa infiltration na counter espionage skills, kiasi kwamba ilimpa nafasi asome command and general staff college huko Kansas. PK Akiwa na Yoweri Museveni, Obote, Okello, Oyite Ojock, Yusuf Lule, Fred Rwigyema na majasusi waliokubuhu wa Tanzania, walikutana kwa siri Kilimanjaro, mwaka 1979,in a secret meeting called THE MOSHI CONFERENCE na kuunda "KIKOSI MAALUM" kilichotangulia na baadhi ya majasusi ndani ya Uganda kuendeleza insurgency covert operations wakati majeshi ya TPDF yakisonga mbele.
Hii timu ilikua pia na David Sejusa Tinyefunza, jasusi kuu la Uganda(SPY CHIEF) aliyepishana kauli na M7 na kuamua kukimbilia UK. Tanzania made them what and who they are now, powerful and intimidating. Timu hiyo ilifunzwa unprecedented guerrilla tactics kama tulizowafunza wenzetu wa kusini mwa Afrika na ndio maana PK akiwa bega kwa bega majasusi wenzetu na Fred Rwigyema ambaye aliuwawa kwenye battle waliweza kuingia hadi Kigali kwa kupitia Uganda Virunga Mountains baada ya kutumikia UPDF kama security chief wa M7.
A "cold war" highly fueled by media should be stopped and let the old memories flourish. If we had same belief or ideology, why should we differ now..???
Mkuu unayajua makubaliano yao?am Tanzanian but i see this as non sense,so mtu kusoma tanzania tayari ashakuwa mali ya nchi? tuache kufikiri kwa makalio. Je na wamarekani wamefundisha wangapi? kwahio hao nao ni loyal americans? kwasbabu wamesoma US?
nathani tuheshimiane kama nchi ba viongozi wake sio kusoma kwetu kunfanya mtu mdogo au kuleta dharau.
For the past few months or so, Kagame has been on front pages of Tanzanian minds and thoughts. If the time you use everyday discussing Kagame was spent productively I believe that your GDP would have increased a percentage point. Just thinking out loud.
Deceit as art of war,bado ni wetu,things are not always as they seem,View attachment 110364 View attachment 110363 View attachment 110362 View attachment 110361 View attachment 110359