majeshi 1981
JF-Expert Member
- Dec 7, 2013
- 2,090
- 813
kojoa kalale wewe! The living truth is kagame is tha architectual og congo problem. Hujui wewe
waeleze hao mashoga wa kagame
kojoa kalale wewe! The living truth is kagame is tha architectual og congo problem. Hujui wewe
damu za majenerali hawa hazita potea bure, ni lazima kagame afe kwa upanga ule ule alioutumia kwa mashujaa hawaumenikumbusha mbali unapowataja hayati maj gen david oyite ojok na hayati maj gen fred rwigema. Walikuwa maafisa waandamizi wa jeshi jipya la uganda baada ya vita vya kumungoa nduli idd amin.
View attachment 130322View attachment 130323
mkuu cjakuelewa hapa
de'levis, long time no see.., turudi kwenye mada, ntakuja na topic jinsi rwegyima alivyouawa na jinsi siku alipoenda front ilikuaje rpg zote za unit yake zili-miss fire, ndipo utajua kagame tulimuivisha kwenye espionage
Kagame tokea alipopigwa risasi ameacha kabisa kumsema-sema Kikwete.
Ni tanzu ya fasihi simulizi ama ni kweli?
ninawasiwasi na wagombea wanaodai wametumwa na marekani kugombea uraisi mfano lowasa,nyalandu etcMkuu niliwahi kuhoji maswali kama ya kwako siku za nyuma, lakini jamaa wakani hakikishia kwamba hamna wasi wasi Taifa letu liko imara kwenye nyanja za intelijesia kama ilivyo kuwa zamani!!Kwa leo ntazungumzia items No.5 kwa kwa undani kidogo, ili wahusika wajaribu kuangalia vitu vingine kwa upana wake tukipuuzia yatakuja kutu-cost dearly siku za usoni, si kila kitu kinatokea kwa bahati mbaya. Hivi kuna watu wamewahi kuhoji PK alikuwa anapata wapi funds za kuendeleza/kugharimia vita vya DRC vya kumung'oa Mobutu na within 2 years kapigana tena kutaka kumuondoa madarakani Kabila Sr, isigekuwa majeshi ya Angola na Zimbabwe kuingilia kati Kabila Sr angepinduliwa (kumbuka wakati huo PK walikuwa hawajahanza kubeba maliasili kutoka DRC) lakini Serikali/jeshi lake walikuwa na hela KIBAO, sio utani wakati PK alipo vamia DRC kwa mara ya pili Makamanda wake walikuwa wana tembea na mabox yaliyo jaa Dollar Bills wanawagawia Wakongomani fedha na silaha ili wamugehuke Kabila Sr - jamaa hawa wana mbinu za kila sampuli, si watu wa kuchezea - hiyo ilikuwa karibu miaka ishirini iliyopita je hivi sasa wana mbinu gani za dot com.Tukirudi kwenye mada - PK baada ya kuingia madarakani Rwanda hakuwa na mpago wa kupigana ili amuondoe madarakani Mobutu, nchi za Magharibi ndio zilitoa shinikizo/ushawishi aendeleze vita DRC kwa maslahi yao (MADINI) - PK hasigeweza kubishana nao kutoka na misaada aliyo wahi kupewa na nchi hizo wakati wa harakati zake za kumtoa madarakani Habyalimana - Kwanza, kwa kumuwekea vikwazo vya ununuzi wa silaha Rais Habyalimana ili akubali kufanya mazungumzo na rebels walio kuwa wanaongozwa na(PK) - Pili, nchi hizo zilitoa kikosi kilicho husika na kutungua ndege ya Habyalimana, tangu mwanzo PK hakutaka kutunguliwa kwa ndege hiyo, alijua fika reaction za Wahutu kutokana na kuuwawa kwa Habyalimana kungeleta balaa nchini mwao, kwa bahati mbaya wakina William Clinton wakamu-over rule! Matokeo yake ndio hiyo genocide inayo zungumzwa kila siku, ingawa wao wanabisha kwamba mauwaji yalianza mapema; nikiona mtu kama Bill akijibaraguza na ku-shade crocodile tears ndio maana nasema kwamba Clinton ni muhigizaji mahili - Kofi Annan aliwahi kwenda Rwanda wakamsema sema sana na kumulahumu sana, bahati nzuri mzee wa watu ni mtu mkimya sana, Rwanda walicho sahau ni kwamba Koffi Annan alikuwa anajua kila kitu kilicho jili kati ya PK na Bill na nini kilichochea mauaji ya halahiki. Mimi siamini kama madhumuni ya Bill kununua au ana mpago wa kununua nyumba Kigali kwa ajli ya mapumziko au anapenda sana Kigali iwe Camp David ya pili - hapana yupo pale kwa lengo maalumu, hasikudanganye mtu. Kama alivyo dokeza mwenzagu hapo juu, vita vya DRC vinatokana na wakubwa kutaka kupora maliasili za Wakongomani, nchi za magharibi zilimtumia PK kwa lengo hilo; tukea tukijua Tanzania ni ya pili katika kanda hii ya Africa kuwa na maliasili nyingi, tunaweza kabisa kuwa kwenye phase ya pili ya kuwa destabilise as a Nation ili tufanane kama DRC, mtu wa kufanikisha lengo hilo wamekwisha mchonga - Watanzania tusijisahau SANA. Sisi kama Wafrica kwa nini hatujiulizi kwa nini Wazungu usema kupatikana kwa madini/mafuta/gesi katika baadhi ya nchi za Kiafrica na LAANA!!! Je hii ni slip up ya ulimi au?
mkuu cjakuelewa hapa
Hiyo hapo juu ni story ya kuunga unga.. Espionage is a complex field.. Nitaanzisha darasa hapa kwenye Jamii intelligence.. Stay tuned guys niko naandaa darasa murua LA historia ya espionage na mambo lukuki. Ili tuache blah blah