RICARDO KAKA
JF-Expert Member
- May 26, 2012
- 865
- 338
Kinyago tulichokichonga wenyewe hakiwezi kututisha!
Koba,
..tangu 1999 hakuna ripoti hata moja ya UN that has been positive about Rwanda.
..majuzi msemaji wa state Dept ya USA ameituhumu Rwanda kuwasaidia waasi wa M23.
..Katibu Mkuu wa UN amekuwa na msimamo kama huo wa US state dept.
..Jumuiya ya SADC nayo imeishutumu Rwanda kwa kuchochea mgogoro wa Congo.
..sasa mjihadhari kabla IMF, WB,na EU, hawajawawekea VIKWAZO vya uchumi.
Tatizo la Kagame ni kutamani vitu vilivyo nje ya mipaka ya nchi yake.
Wakati Tanzania inatumia resources zake tangu uhuru mpaka sasa kuhakikisha nchi jirani zinakuwa salama, Kagame anatumia njia zozote zile kuchafua hali hiyo. Kagame CAN NOT be afriend kama ataendelea kuchafua hali ya amani.
Watu zaidi ya milioni 2 wamehama makazi yao kwa sababu ya kile anachofanya Kagame. Mtu kama huyo hawezi kuwa rafiki.
Watoto wanakosa fursa ya elimu, wengine wanakufa kwa magonjwa yanayotibika kama kuharisha na utapiamlo kwa sababu ya Kagame. Mtu kama huyo hawezi kuwa rafiki. Kumfanya Kagame rafiki ni kutukana UTU wetu...
usiogope, everything is under control
Hapo kwenye red, ni kwamba hata wasipowekewa vikwazo......wakitia mguu Congo tena....basi tutacheza ndombolo pale Kigali...!
Membe majuzi kawaonya.....wameishia kuweka majeshi Gisenyi na Ruhengeri...!
JWTZ wamedhibitisha kuwa mateka mpaka sasa ni wapiganaji 2602......wakiwemo maafisa wajuu 4 wa jeshi la Rwanda.........!
Source:
Jeshi la Wananchi Tz ‏@JW_TZ Vita imefika Def Con 003, ni ushindi wa 96%, Hii inatokana na kufanikiwa kukamata mateka 2602 ikiwemo maafisa wa juu wa 4 wa Jeshi la Rwanda
A "cold war" highly fueled by media should be stopped and let the old memories flourish. If we had same belief or ideology, why should we differ now..???
Tanzania trained him to be a world class spy, why is he turning against his mentor!? If there are misunderstandings, why cant diplomacy take the first course??
It was 1978 in a secret espionage farm(somewhere in Morogoro), Paul Kagame was recruited, trained and eventually served as our informer and a spy in different top secret missions. Why is this killing machine malfunctioning now!?
Baada ya kumaliza mafunzo, hata Marekani ilimtambua kwa uwezo wake wa infiltration na counter espionage skills, kiasi kwamba ilimpa nafasi asome command and general staff college huko Kansas. PK Akiwa na Yoweri Museveni, Obote, Okello, Oyite Ojock, Yusuf Lule, Fred Rwigyema na majasusi waliokubuhu wa Tanzania, walikutana kwa siri Kilimanjaro, mwaka 1979,in a secret meeting called THE MOSHI CONFERENCE na kuunda "KIKOSI MAALUM" kilichotangulia na baadhi ya majasusi ndani ya Uganda kuendeleza insurgency covert operations wakati majeshi ya TPDF yakisonga mbele.
Hii timu ilikua pia na David Sejusa Tinyefunza, jasusi kuu la Uganda(SPY CHIEF) aliyepishana kauli na M7 na kuamua kukimbilia UK. Tanzania made them what and who they are now, powerful and intimidating. Timu hiyo ilifunzwa unprecedented guerrilla tactics kama tulizowafunza wenzetu wa kusini mwa Afrika na ndio maana PK akiwa bega kwa bega majasusi wenzetu na Fred Rwigyema ambaye aliuwawa kwenye battle waliweza kuingia hadi Kigali kwa kupitia Uganda Virunga Mountains baada ya kutumikia UPDF kama security chief wa M7.
A "cold war" highly fueled by media should be stopped and let the old memories flourish. If we had same belief or ideology, why should we differ now..???
Gestart mkuu Pres Kagame has tried very hard to bring people together. It's not like he is only bailing out Tutsis. Remember most of the people in Rwanda are Hutu - I think 85% if not more. Yes, he has placed some Tutsis in key positions due to loyalty but there are also many loyal Hutus in his team. Gen Nyamwasa is Tutsi and was once very close to Pres Kagame but he mutinied (vijana wa siku hizi wanaita "snitch" ha ha ha). Most founder members of the "Green Party" and their followers are Tutsis who oppose Pres Kagame. And trust me, if it weren't for PK's ironhand rule there would be bloodshed in Rwanda now. Wale watu sio wa kuwachekea kwa kuwa chuki yao dates back to 1959 - it's generational. And both sides - Tutsis and Hutus - are equally at fault. Rwanda needs a strong man to lead that country and Kagame is just that.