Paul Kagame: Tanzania's own spy

Paul Kagame: Tanzania's own spy

Matatizo ya DRC ni ya kujitakia na wala hayakuanzia leo. Wacongo ni wavivu, wapenda starehe. Jeshi lao halina nidhamu wala ujuzi wala weledi wa kazi. Rais Kagame ni kiongozi shupavu anayeamini katika nidhamu iliyotukuka ikianzia kwake binafsi na kushuka chini. Muacheni Baba wa watu aongoze nchi yake. Hayo ya wacongo yalianza na mbeligiji. Rwanda inahitaji kiongozi mahiri kama Rais Kagame.
 
army chief wa congo alikua assassinated jana
 
kagame kaua adui yake south na the same wiki mtusi mwenzake kabila kaua brigedia wake congo , -kabila +kagame+museveni =matatizo ya congo , kabila anafanya maigizo tu pale , kuna mabrigedia wengi wameuwawa kimya kimya kwa kuwa wanapambana na waasi , amani ya congo itakuja siku hawa jamaa watakapotoka . ndugu zetu wa TISS kama wanaendelea na mambo ya kufuatilia chadema na kulinda ccm badala ya kulinda nchi basi tu wakumbuke kagame ni hatari sana .
 
".....naikubali kwa security iko imara sana na hapa lazima wanafanya kazi usiku na mchana kuhakikisha kila kitu kipo sawia!"
Security ya Tanzania si imara kihivyo ingawa zamani ilikuwa tishio kwa nchi zinazoiaunguuka.
Wanasiasa wameichakachua idara hii kwa manufaa yao na kwa hasara ya nchi kama Taifa, yapo matukio mengi tu yanayoashiria udhaifu wa idara yetu hii ya Usalama, haswa domestic issues. Kwa mfano ingekuwa ile ya zamani hii infiltration ya majirani wanaoingia nchini, kununua maeneo na hata kuajiriwa serikalini wakati kuna watanzania kwa maelfu hawana ajira lisingetokea.
Wamekalia kupanga mikakati ya kuvihujumu vyama pinzani na kusikiliza maelekezo toka kwa mafisadi, wanasiasa vibaka uchumi na kusahau kabisa kazi yao ya Usalama wa nchi yetu.
Laiti tungekuwa na TISS strong hawa wahujumu wa uchumi wetu wanaotuibia na kuhamishia ngawira ughaibuni wangekuwa wananyea ndoo kule Segerea na wizi wa EPA kamwe usingetokea.
Tumeshukuru Mungu fedha zile zilizokwapuliwa zilitumika kufanyia kampeni za urais wa Kikwete, lakini ni nani anayefahamu zilizobaki na kutoroshewa ughaibuni zina lengo gani? Tafakari iwapo hayo mabilioni yaliyofichwa ughaibuni yatatumika dhidi ya usalama wa nchi yetu, kutakuwa na amani kweli?
 
kweli kabisa,taifa letu liko hatarini kwani wavamizi ni wengi hususani mikoa ya pembezoni kama Mkoa wa KAGERA na KIGOMA.usalama wa taifa TISS haupo tena,haufanyi kazi nao wako katika siasa kwa kumtafuta Zitto ili wamhonge pesa ili afunge domo lake.
 
sijui kama kweli title na hio habari vinahusiana,
Bangi ,viroba na gongo bwana
 
Tanzania trained him to be a world class spy, why is he turning against his mentor!? If there are misunderstandings, why cant diplomacy take the first course??

It was 1978 in a secret espionage farm(somewhere in Morogoro), Paul Kagame was recruited, trained and eventually served as our informer and a spy in different top secret missions. Why is this killing machine malfunctioning now!?

Baada ya kumaliza mafunzo, hata Marekani ilimtambua kwa uwezo wake wa infiltration na counter espionage skills, kiasi kwamba ilimpa nafasi asome command and general staff college huko Kansas. PK Akiwa na Yoweri Museveni, Obote, Okello, Oyite Ojock, Yusuf Lule, Fred Rwigyema na majasusi waliokubuhu wa Tanzania, walikutana kwa siri Kilimanjaro, mwaka 1979,in a secret meeting called THE MOSHI CONFERENCE na kuunda "KIKOSI MAALUM" kilichotangulia na baadhi ya majasusi ndani ya Uganda kuendeleza insurgency covert operations wakati majeshi ya TPDF yakisonga mbele.

Hii timu ilikua pia na David Sejusa Tinyefunza, jasusi kuu la Uganda(SPY CHIEF) aliyepishana kauli na M7 na kuamua kukimbilia UK. Tanzania made them what and who they are now, powerful and intimidating. Timu hiyo ilifunzwa unprecedented guerrilla tactics kama tulizowafunza wenzetu wa kusini mwa Afrika na ndio maana PK akiwa bega kwa bega majasusi wenzetu na Fred Rwigyema ambaye aliuwawa kwenye battle waliweza kuingia hadi Kigali kwa kupitia Uganda Virunga Mountains baada ya kutumikia UPDF kama security chief wa M7.

A "cold war" highly fueled by media should be stopped and let the old memories flourish. If we had same belief or ideology, why should we differ now..???

Haya ni mambo ya kawaida na labda kuna mamabo ambayo hayajawahi kusemwa lakini, amini kwamba tunao watu ambao pia walipewa mafunzo na serikali ya uganda na leo hii wako ndani ya serikali.

tulipokosana na kenya kuna wa TZ kadhaa walimwangwa hapa nchini kama spies wa kenya na hadi leo wanafanya kazi zao zingine na hienda bila kujua tunawatumia kupanga mipango ya kupambana na waliowafunza!
 
tanzania kwa ujasusi tulikuwa poa sana,tulitengenza kabila na mtoto wake,wamba,kagame,museven,mandela na wa msumbiji jina limetoka ila kwanini sasa tumerudi nyuma na maskini wa kutupwa paoja na rasilimali zote
Tanzania trained him to be a world class spy, why is he turning against his mentor!? If there are misunderstandings, why cant diplomacy take the first course??

It was 1978 in a secret espionage farm(somewhere in Morogoro), Paul Kagame was recruited, trained and eventually served as our informer and a spy in different top secret missions. Why is this killing machine malfunctioning now!?

Baada ya kumaliza mafunzo, hata Marekani ilimtambua kwa uwezo wake wa infiltration na counter espionage skills, kiasi kwamba ilimpa nafasi asome command and general staff college huko Kansas. PK Akiwa na Yoweri Museveni, Obote, Okello, Oyite Ojock, Yusuf Lule, Fred Rwigyema na majasusi waliokubuhu wa Tanzania, walikutana kwa siri Kilimanjaro, mwaka 1979,in a secret meeting called THE MOSHI CONFERENCE na kuunda "KIKOSI MAALUM" kilichotangulia na baadhi ya majasusi ndani ya Uganda kuendeleza insurgency covert operations wakati majeshi ya TPDF yakisonga mbele.

Hii timu ilikua pia na David Sejusa Tinyefunza, jasusi kuu la Uganda(SPY CHIEF) aliyepishana kauli na M7 na kuamua kukimbilia UK. Tanzania made them what and who they are now, powerful and intimidating. Timu hiyo ilifunzwa unprecedented guerrilla tactics kama tulizowafunza wenzetu wa kusini mwa Afrika na ndio maana PK akiwa bega kwa bega majasusi wenzetu na Fred Rwigyema ambaye aliuwawa kwenye battle waliweza kuingia hadi Kigali kwa kupitia Uganda Virunga Mountains baada ya kutumikia UPDF kama security chief wa M7.

A "cold war" highly fueled by media should be stopped and let the old memories flourish. If we had same belief or ideology, why should we differ now..???
 
Hivi Yoweri Museveni na Paul Kagamae ni "marafiki"?

Mzee hawajamaa hawapendani ila wanavumiliana tu. kwanza museveni alikuwa karibuzaidi na fred ambae alimalizwa na kagame. Kagame is cold maana aliamuru askari wake wakawaua vibaya askari wa museven walipopigania migodi congo. Kagame mwenyewe kashamtishia sana museveni kutokana na anavyowasaidia wanaomkimbia kagame. Kagame ni muuaji mwenye majazba na akili. Mtu asiemuogopa kagame ni asiejali maisha yake. Ninauakika hata kikwete kile kitisho alichopewa na kagame amekifikiria sana.
 
Tanzania trained him to be a world class spy, why is he turning against his mentor!? If there are misunderstandings, why cant diplomacy take the first course??

It was 1978 in a secret espionage farm(somewhere in Morogoro), Paul Kagame was recruited, trained and eventually served as our informer and a spy in different top secret missions. Why is this killing machine malfunctioning now!?

Baada ya kumaliza mafunzo, hata Marekani ilimtambua kwa uwezo wake wa infiltration na counter espionage skills, kiasi kwamba ilimpa nafasi asome command and general staff college huko Kansas. PK Akiwa na Yoweri Museveni, Obote, Okello, Oyite Ojock, Yusuf Lule, Fred Rwigyema na majasusi waliokubuhu wa Tanzania, walikutana kwa siri Kilimanjaro, mwaka 1979,in a secret meeting called THE MOSHI CONFERENCE na kuunda "KIKOSI MAALUM" kilichotangulia na baadhi ya majasusi ndani ya Uganda kuendeleza insurgency covert operations wakati majeshi ya TPDF yakisonga mbele.

Hii timu ilikua pia na David Sejusa Tinyefunza, jasusi kuu la Uganda(SPY CHIEF) aliyepishana kauli na M7 na kuamua kukimbilia UK. Tanzania made them what and who they are now, powerful and intimidating. Timu hiyo ilifunzwa unprecedented guerrilla tactics kama tulizowafunza wenzetu wa kusini mwa Afrika na ndio maana PK akiwa bega kwa bega majasusi wenzetu na Fred Rwigyema ambaye aliuwawa kwenye battle waliweza kuingia hadi Kigali kwa kupitia Uganda Virunga Mountains baada ya kutumikia UPDF kama security chief wa M7.

A "cold war" highly fueled by media should be stopped and let the old memories flourish. If we had same belief or ideology, why should we differ now..???

longtime .
 
Attachments

  • images (1).jpg
    images (1).jpg
    10.8 KB · Views: 727
hii habari kuna ukweli sana na huyu aliyeandika ni intelligence office i think!! but al in all thats Y kagame anamdharau sana Kikwete ,kwa ajili ya espionage and spying skills alizokua nazo ndo zinamfanya awe arrogant?,halafu ni wasiwasi TZ ameshafanya infiltration but their plan has not given birth and due to that i always concur that PK is a threat to EAC because he is very spying strategist,hata historia ya kuwaua akina Byarumana ,kabila etc inampa kichwa na ndo maana hata J kikwete akasema ana mipango baina yake,JK sio -------- kuzungumza kauli ile kuna intelligence issue ambayo siku wa TZ tukiijua........ mtakuja kutukamatia Kigali na kichwa cha PK(ikumbukwe bifu na Rais ni bifu na taifa kwa sababu if anything bad happens sisi watanzania ndo itatugharimu)

Unauakika na statement yako ya mwisho ndani paragraph ?
 
Huyu jamaa ni pro Kagame

Mimi simpendi Kagame. Ila Mtu yoyote mwenye akilitimamu, anayemfatialia Kagame hawezi kuzarau vitisho vya kagame. Ushaidi ni kifo cha Kaberebe. Kagame akisema kitu huwa anatekeleza. Ukiona ameshindwa kutekeleza ni kwamba alishinda kiuwezo lakini hata acha kujaribu. Na mimi nambulia kofia kwa hilo japo ni swala la uwovu maana wanasiasa wa bongo ahadi nyingi utekelezaji hakuna. Ila kagame akisema atakumaliza wewe Luggy. Nakushauri uanze kuaga ndugu zako na kuandika urithi kwa watoto wako kama unao.
 
Duu!i doubt uraia wabaadhi ya wachangiaji, kweli hii ni jamii forum manake imevuka mpaka sasa ni wanyarwanda,wa Congo, extremist hutu,extremists Tutsis etc.
NOTE Kwa Wa Tanzania, currently am in Rwanda, jamani mbona sioni uhasama wowote kwa wa Tanzania walio huku;
We are neighbours and so we need to live in harmony Kagame and Kikwete will not live forever lakini Rwanda na Tanzania tutakua majirani forever.
Hizo stories za copy and paste hazitusaidii lolote.
Mbona viongozi wetu wameshamaliza tofauti zao.
Hamchoki??Lol
 
Umenikumbusha mbali unapowataja hayati Maj Gen David Oyite Ojok na hayati Maj Gen Fred Rwigema. Walikuwa maafisa waandamizi wa jeshi jipya la Uganda baada ya vita vya kumungoa Nduli Idd Amin.

Maj Gen David Oyite Ojok.jpg Maj Gen Fred Rwigema_RPF.jpg
 
Matatizo ya DRC ni ya kujitakia na wala hayakuanzia leo. Wacongo ni wavivu, wapenda starehe. Jeshi lao halina nidhamu wala ujuzi wala weledi wa kazi. Rais Kagame ni kiongozi shupavu anayeamini katika nidhamu iliyotukuka ikianzia kwake binafsi na kushuka chini. Muacheni Baba wa watu aongoze nchi yake. Hayo ya wacongo yalianza na mbeligiji. Rwanda inahitaji kiongozi mahiri kama Rais Kagame.

kojoa kalale wewe! The living truth is Kagame is tha architectual og Congo problem. Hujui wewe
 
Tanzania trained him to be a world class spy, why is he turning against his mentor!? If there are misunderstandings, why cant diplomacy take the first course?? It was 1978 in a secret espionage farm(somewhere in Morogoro), Paul Kagame was recruited, trained and eventually served as our informer and a spy in different top secret missions. Why is this killing machine malfunctioning now!? Baada ya kumaliza mafunzo, hata Marekani ilimtambua kwa uwezo wake wa infiltration na counter espionage skills, kiasi kwamba ilimpa nafasi asome command and general staff college huko Kansas. PK Akiwa na Yoweri Museveni, Obote, Okello, Oyite Ojock, Yusuf Lule, Fred Rwigyema na majasusi waliokubuhu wa Tanzania, walikutana kwa siri Kilimanjaro, mwaka 1979,in a secret meeting called THE MOSHI CONFERENCE na kuunda "KIKOSI MAALUM" kilichotangulia na baadhi ya majasusi ndani ya Uganda kuendeleza insurgency covert operations wakati majeshi ya TPDF yakisonga mbele. Hii timu ilikua pia na David Sejusa Tinyefunza, jasusi kuu la Uganda(SPY CHIEF) aliyepishana kauli na M7 na kuamua kukimbilia UK. Tanzania made them what and who they are now, powerful and intimidating. Timu hiyo ilifunzwa unprecedented guerrilla tactics kama tulizowafunza wenzetu wa kusini mwa Afrika na ndio maana PK akiwa bega kwa bega majasusi wenzetu na Fred Rwigyema ambaye aliuwawa kwenye battle waliweza kuingia hadi Kigali kwa kupitia Uganda Virunga Mountains baada ya kutumikia UPDF kama security chief wa M7.A "cold war" highly fueled by media should be stopped and let the old memories flourish. If we had same belief or ideology, why should we differ now..???
Paul Kagame - Wikipedia, the free encyclopedia
 
Mimi simpendi Kagame. Ila Mtu yoyote mwenye akilitimamu, anayemfatialia Kagame hawezi kuzarau vitisho vya kagame. Ushaidi ni kifo cha Kaberebe. Kagame akisema kitu huwa anatekeleza. Ukiona ameshindwa kutekeleza ni kwamba alishinda kiuwezo lakini hata acha kujaribu. Na mimi nambulia kofia kwa hilo japo ni swala la uwovu maana wanasiasa wa bongo ahadi nyingi utekelezaji hakuna. Ila kagame akisema atakumaliza wewe Luggy. Nakushauri uanze kuaga ndugu zako na kuandika urithi kwa watoto wako kama unao.

Jamaa nisimvyompenda nahisi akifikiria kunimaliza sumj zangu zitakwenda kumuanza yy kwanza na kummaliza
 
Back
Top Bottom