Radhia Sweety
JF-Expert Member
- Aug 10, 2011
- 4,433
- 1,772
- Thread starter
-
- #121
karwanda kadogo lkn nimepata habari wana silaha za kuangamiza dar kwa nusu saa...
Samahani kwa ukimya wakuu. Mambo muhimu:
1) Rwanda haitaendeshwa na mnafiki
2) Tunajiamini kupita maelezo
3) Tuna uwezo wa kushawishi jumuia ya kimataifa
4) Tunaweka vikosi vyetu tayari kwa lolote
5) Hatutasubiri kuanzishiwa. Tutalianzisha
I understand they have an APACHE HELICOPTER which can be a nightmare to our infantry man.All in all come what may Tanzania will win the war.
Samahani kwa ukimya wakuu. Mambo muhimu:
1) Rwanda haitaendeshwa na mnafiki
2) Tunajiamini kupita maelezo
3) Tuna uwezo wa kushawishi jumuia ya kimataifa
4) Tunaweka vikosi vyetu tayari kwa lolote
5) Hatutasubiri kuanzishiwa. Tutalianzisha
mkuu zile apache mm ndio nazihofia sana. Alafu wtz wanavyoongea as if mziki wa apache wanaujua. Zile ndani ya dk 2 airport yote kushney. Alaf mbaya zaid hazitunguliwi kwa risasi zile.
Samahani kwa ukimya wakuu. Mambo muhimu:
1) Rwanda haitaendeshwa na mnafiki
2) Tunajiamini kupita maelezo
3) Tuna uwezo wa kushawishi jumuia ya kimataifa
4) Tunaweka vikosi vyetu tayari kwa lolote
5) Hatutasubiri kuanzishiwa. Tutalianzisha
Samahani kwa ukimya wakuu. Mambo muhimu:
1) Rwanda haitaendeshwa na mnafiki
2) Tunajiamini kupita maelezo
3) Tuna uwezo wa kushawishi jumuia ya kimataifa
4) Tunaweka vikosi vyetu tayari kwa lolote
5) Hatutasubiri kuanzishiwa. Tutalianzisha
naisubiri kwa hamu hotuba ya simba wa afrika kagame
Samahani kwa ukimya wakuu. Mambo muhimu:
1) Rwanda haitaendeshwa na mnafiki
2) Tunajiamini kupita maelezo
3) Tuna uwezo wa kushawishi jumuia ya kimataifa
4) Tunaweka vikosi vyetu tayari kwa lolote
5) Hatutasubiri kuanzishiwa. Tutalianzisha
Samahani kwa ukimya wakuu. Mambo muhimu:
1) Rwanda haitaendeshwa na mnafiki
2) Tunajiamini kupita maelezo
3) Tuna uwezo wa kushawishi jumuia ya kimataifa
4) Tunaweka vikosi vyetu tayari kwa lolote
5) Hatutasubiri kuanzishiwa. Tutalianzisha
Na weye akwi inatokea pande hiyo?
Mkuu, hii ni habari kubwa, nashauri uifungulie uzi wake . . . kila mtu ajue
Jaribu kweka hii taarifa in details alafu waombe Mods waunganishe pale juu.
kwenye website ya rwanda government haipo,labda hawajaiweka,kufikia kesho tutajua tu kama anatudanganya ama vipi.... Hii haitoki kwa Dikteta Kagame ... Its just a bullshiiiitt from radhia ..!!
mods wana mambo ya kiboya. Kila nikianzisha uzi wanautoa

wacha watupigage tu, mi siwezi kupeleka ugoko wangu eti nionyeshe uzalendo kwa nchi ambayo viongoz wenyewe wezi tu. niwe mstari wa mbele ili nije kumpa sifa RIZ1 NA BABA YAKE........NA WAKINILAZIMISHA TUKIFIKA HUO PORINI NAWAGEUKA NAWATUNGUA RISASI TU.
Mapambano ya kivita simjui
mshindi,ila ya kimafanikio kwa "kuitoa nchi chini kwenda juu", Paul
Kagame mshindi.