Radhia Sweety
JF-Expert Member
- Aug 10, 2011
- 4,433
- 1,772
- Thread starter
- #61
usisite kutupia kitakachojili sweety
Tuko pamoja.
usisite kutupia kitakachojili sweety
uko sawa kichwani??,,,------- unanuka maziwa
Pole mwaya ila sikukusudia kukutukana wewe najua unafanya kazi tu kwa ajili ya wana JF nilikusudia kuilenga nchi yenyewe Rwanda kuwa hata INTERNET shida.Kosa langu liko wapi sasa hapo? Yaani kutokupatikana kwa redio kwenye Internet ndiyo unitukane mkuu?
naisubiri kwa hamu hotuba ya simba wa afrika kagame
Kumbuka na elewa ya kwamba Rwanda hupitishia silaha zake kupitia bandari yetu ya Dar, na husafirishwa kupitia barabara zetu. Tena hupewa eskoti kusafirisha kupitia jeshi letu ambalo ni JWTZ (TPDF).
Kwa mantiki hiyo basi, vyombo vyetu vyote vya dola vinatambua silaha alizonazo jirani yetu Rwanda, na wanajua ni jinsi gani wanavyoweza kuwadhibiti.
Hii ni sawa na Malawi, nguvu zao kijeshi zote zajulikana hapa Tanzania.
Sidhani kama Kagame anavifaa vya missile vyenye uwezo wa kuipiga Dar kwa umbali wa kutokea Kigali ambayo ni zaidi ya kilometa 1,400.
Sema, wanachoweza kufanya ni kuelekeza nguvu katika kuiharibu zaidi Mwanza kama ilivyokuwa target ya Idd Amin kuivuruga na kuikatia mawasiliano Mwanza.
Kwa kuliona hilo basi juu ya Mwanza, serikali ya Tanzania tayari toka mwaka jana imeshaweka kikosi cha anga Mwanza (kikosi cha anga kilichopo airport pembezoni mwa Military Hospital-MH).
Hizi nchi majirani zetu za magharibi zianzishapo chokochoko na Tanzania kivita...target yao kubwa huwa Mwanza City maana wanajua wakiiharibu Mwanza basi kuiteka Dar huwa ni rahisi na kuvunja uchumi wa nchi mara moja.
Kiujumla vita si nzuri ila kujihami no bora zaidi kama alivyonena jemedari wetu kuwa "HATUYAPUUZI".
Mkuu wewe umenifungia siku yangu leo umenifurahisha sana ujumbe wako yafaa umfikia PK leo hii wakati anahutubia hiyo wilaya yake.sipati picha hiyo vita atashindaje wakati hata seneti ya US tayari ilishaidhinisha matumizi ya drones DRC sasa angani unapigwa na nchi kavu ndio kabisaa wanaume wanaadvansi.Wakati wanaiharibu Mwanza sisi teyari tunagawa mali na viwanja Wilayani Rwanda, Tanzania, na wa kwanza kupewa ni watu wa mwanza.
umenifurahisha sana leo!!!! ahsante mkuu!By amili jeshi mkuu View Post
naisubiri kwa hamu hotuba ya simba wa afrika kagame
Mnyamwezi wa Urambo
Kama yeye SIMBA basi KIKWETE ni LIBOLO FC!!
silaha zote za rwanda huwa zinapitia dsm na nimeshuhudia mara kibao pale singida wakizipitisha,,,na kwa taarifa yako tz is strongly armed kama unabisha sema nikupeleke 602,,
Kama upo pande hiyo tujuze anachotapika tafadhari.
Kaka usihofu, hawa watakuwa wanyaru tu, tukishamuondoa pk tunafanya kama mzee Karume alivyowafanyia waarabu.Aisee, shikamoo dada. Mi avatar yako tu
Cjui nani mchokoz ila nahis tz ndio wachokoz na kama ndivyo tukipigana watatupiga mana MUNGU ATAKUWA UPANDE WAo.
Kagame ni miöngo mwa marais wachache wapuuzi waliobaki Afrika ya leo. Siku zote mpuuzi hata mawazo, vitendo na kauli zake ni upuuzi usiozaa tija katika fikra za kiungwana. Sioni kama kuna sababu za kufuatilia nini ataöngea mpuuzi huyu kiasi cha kuacha majukumu yetu ya kujenga nchi. Ukimuiga chizi nawe wachizika. Kagame ana frustration zinazo mpelekea hasira baada ya kukosa aiba ya kimataifa kama maraisi wenzake wa Afrika. Ni dhahiri siku za udikteta wake ni hesabu za vidole.
Msituchekeshe jk ana upeo kuliko KGM?
Kwani wewe mtutsi kwako hasa upeo unautafeiri vipi? Aliyeshauriwa akaanza kurusha matusi na aliyeshauri yupi mwenye upeo mdogo?? Kumbe nyie watutsi pia hata akili zenu huwa hazipo sawa eenh??
Mapambano ya kivita simjui mshindi,ila ya kimafanikio kwa "kuitoa nchi chini kwenda juu", Paul Kagame mshindi.