mwana wa mama
Senior Member
- May 2, 2013
- 146
- 40
karwanda kadogo lkn nimepata habari wana silaha za kuangamiza dar kwa nusu saa...
Wewe huna upeo tu...kuna wutsi watanzania, wazungu, wahindi, waarabu n.k
Nyerere aliwaita watu kama nyie ni makaburu tu!! Mie ni tanzania niyeipenda nchi yangu kuliko hata huyu dhaifu wenu a.k.a fisadi! unadhani kuzaliwa na Dodom ndio kuwa mtanzania...!!
Huwezi kuwa Mtanzania wewe hata comments zako tunaziona, hakuna mtanzania anayeweza kuandika utumbo kama huo.Unadhani Nyerere huyo unayemreffer angekuwepo angekuwa na upeo wa kipumbav.u kama wako? Siku zenu zinahesabika bado wiki moja tu, tunawajua vizuri tunawaona mitaani na tunaishi nanyi hivyo jeshi halitapata shida kuwakamata vibaraka wakubwa kama nyie. You don't have shame to call yourself Tanzanian???
wacha watupigage tu, mi siwezi kupeleka ugoko wangu eti nionyeshe uzalendo kwa nchi ambayo viongoz wenyewe wezi tu. Niwe mstari wa mbele ili nije kumpa sifa riz1 na baba yake........na wakinilazimisha tukifika huo porini nawageuka nawatungua risasi tu.
wewe ni mfu kama siyo marehemu!
jk na wewe ndio sio watanzania mnauza nchi kwa wazungu....mnaficha mikataba eti siri...mlaaniwe!
nyie mnadhani watz wa sasa hv ni wale wanyerere kwamba sijui wazalendo....kipindi kile watu walikuwa proud na nchi yao...coz waliona viongozi nao wanaonyesha huo uzalendo so ilikuwa ni kitu cha kujivunia kabisa but now watu wamekata tamaa kabisa halafu unategemea wakaonyeshe uzalendo...myfoot...nyie subiri kinuke ndio mtaona wakti riz1 yuko usa,ukwewe ni mfu kama siyo marehemu!
Kosa langu liko wapi sasa hapo? Yaani kutokupatikana kwa redio kwenye Internet ndiyo unitukane mkuu?
Hotuba itatangazwa na Kigali FM 100.2. Atatumia muda huo kujibu hoja za JK dhidi yake na kuiambia Rwanda nini cha kufanya.
Since the guy is prone to knee jack reactions, sitashangaa akitamka moja kati ya haya au yote kwa pamoja:
1. Kujitoa katika EAC kama alivyojitoa Francophone baada ya Ufaransa kumlaumu kwa Genocide akaiingiza Rwanda Commonwhealth;
2. Kufunga mipaka baina ya Rwanda na Tanzania na kufukuza balozi wetu huko; na kumrudisha nyumbani balozi wake Dar.
3. Kuwafurusha watanzania wote waishio Rwanda
4. Full scale war against Tanzania!
Swali langu ni je sisi Tanzania kama nchi do we have a contingency plan in hand kukabiliana na huyu mtu anayeonekana kuwa unstable upstairs?! au tunaendelea na falsafa yetu ile ile; YATAPITA TU!!!
Kaanza. Lakini si unajua na mimi mwenyewe nategemea taarifa kutoka kwa kakangu aliyeko Kigali. Nasikia nchi yote imezizima kwa sasa. Ngoja tusubiri tusikia.
mmmh!:smile-big::kev:
Wewe na skeleton wako KAGAME mliokuwa mnadhani nyie ndiyo miungu watu ukanda huu wa maziwa makuu lazima muadabishwe!Na mwaka huu lazima mng'oke hata kwa drones za marekani ikibidi!Cocroaches nyiee.