kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 20,142
- 24,432
- Thread starter
- #81
Ni msemaji wa chama akisaidiana na Tumaini makene!mange ndo mdudu gani?
Ni msemaji wa chama akisaidiana na Tumaini makene!mange ndo mdudu gani?
Tantarira hamuwezekani kiboko yenu ni ile transparenty box yenye nembo ya nec ndio mtajua garasa au dume!Unajichanganya wewe, waliondoka enzi za Dr. slaa walisema chama kina ubinafsi na ukanda, sababu hizihizi ndio zilizotumika na Katambi. Haijawahi mtu kuondoka akakosa sababu hata za kuchomekea. Na hao akina Katambi ni watoto wa mjini wameshagundua sasa hivi ccm inaongozwa na mapeasant, hivyo ni kuwachanganyia picha tu wanafika bei. Hapa mmeliwa kwenye karata tatu.
kwangu na mashinji!Labda pengo kwako
Ova
Ingekuwa kuondoka kwa Dr. Slaa kungeitingisha CHADEMA basi ingekuwa kipindi kile kigumu sana karibia na kampeni za uchaguzi. Hakuna aliyepanic na ndo watu waliimarika zaidi na hao kina Patrobas wakiwemo, itakuja kuwa leo hii Patrobas? Kimsingi dogo hajasoma alama za nyakati na itamcost soon or laterMtikisiko wa dr slaa matokeo yake ndio haya chama kupoteza watu muhimu kwa kukosa dereva!
mtikisiko wa dr slaa 2015 ufa wake umeonekana Nov 2017 na wa huyo patrobas utaonekana 2020 kubwa subra!Ingekuwa kuondoka kwa Dr. Slaa kungeitingisha CHADEMA basi ingekuwa kipindi kile kigumu sana karibia na kampeni za uchaguzi. Hakuna aliyepanic na ndo watu waliimarika zaidi na hao kina Patrobas wakiwemo, itakuja kuwa leo hii Patrobas? Kimsingi dogo hajasoma alama za nyakati na itamcost soon or later
Ni vyema ukabaki mfuasi muaminifu na mfia chama!Hata aondoke Mbowe,Lissu,Mdee,Mnyika,Lema...nk SINATETEREKA NA NTABAKI CHADEMA KWA MOYO WANGU WOTE!!
Na kina shibuda usiwasahau. Siamini kama mtoto wa nje anaweza kuwa na tabia zinazofanana na watoto wa ndoa. Kwa namna yoyote watapendwa kinafiki na wao kwa uzwazwa wao wakachekelea! Wakajipange kisawasawa kwa kuwa na mawazo mapya na sio kwenda kuisemea cdm maneno ya hovyo wakifikiri watapewa kick za kudumu!Zizini huko atawakuta walokatwa mikia wengine, km Mpendazote ili wasichoke kujifariji.
Ufa wa slaa haupo na hauonekani kwani tulipata wabunge na madiwani wengi kuliko kipindi chake. Huo wa katambi ni kadoa tu ka kufuta kwa kupuliza. Hiyo 2020 wekeni polisi mbali na mikono ya wizi kichwani muone kivumbi! Hamjiamini hata kidogo.mtikisiko wa dr slaa 2015 ufa wake umeonekana Nov 2017 na wa huyo patrobas utaonekana 2020 kubwa subra!
unatuma ujumbe gani kwa nyalandu!Na kina shibuda usiwasahau. Siamini kama mtoto wa nje anaweza kuwa na tabia zinazofanana na watoto wa ndoa. Kwa namna yoyote watapendwa kinafiki na wao kwa uzwazwa wao wakachekelea! Wakajipange kisawasawa kwa kuwa na mawazo mapya na sio kwenda kuisemea cdm maneno ya hovyo wakifikiri watapewa kick za kudumu!
Kakaeni ufipa mlaumiane!Eti kaacha pengo? Kwani alikuwa magego ya chadema? Tuliwaambia huyu ni kijana wa diallo mwenyekiti wa ccm mwanza hamkutusikiliza
Una hakika mliendelea mkuu? Dr. Slaa aliondoka na Chadema na athari zake ndio hizi zinaonekana sasa. Muda ni mwalimu mzuri katika maisha ya binadamu.Aliondoka dr Slaa na tukaendelea
................na mkaendelea kudidimiaAliondoka dr Slaa na tukaendelea
Sikio la kufa nccr imekufa kimzaha mzaha mara chalii!Kuna tatizo linalonyemelea CDM,tatizo ni watu waliojiunga kama chama mbadala.Mkianza kuwapapatikia wageni kutoka CCM na kuwasahau wanachama waliokitumikia chama kwa muda mrefu