Patrobas ni pengo kubwa CHADEMA

Patrobas ni pengo kubwa CHADEMA

Aliondoka dr Slaa na tukaendelea
Kuna sehemu nimefatilia hoja zako na Paskali kwenye uzi fulani humu ndani ukidai kuwa ccm uliihama juzi juzi wakati Rais alipoonyesha double standard na kabla ya hapo ulikuwa ccm na mfuasi wa Membe, hapa unadai aliondoka Dr Slaa mkaendelea kuwa salama, kumbe na wewe ulikuwa na double standard, ulikuwa unatumikia vyama viwili kwa wakati mmoja kuwa makini sky, tunakusomaa...hebu tufafanulie make unatuchanganya.
 
Mbona hamuwakamati kwa makosa hayo? Au mmewahalalishia!!?
Kumbe kelele zenu si kitu wanawajua na ndo maana wakitoka huku mnakowashutumu wanawafata huko wakijua nyie ni wanafiki,ukishitumiwa bado unakuwa si msafi,yaani nyie ni buree kabisa
 
Kumbe kelele zenu si kitu wanawajua na ndo maana wakitoka huku mnakowashutumu wanawafata huko wakijua nyie ni wanafiki,ukishitumiwa bado unakuwa si msafi,yaani nyie ni buree kabisa
Mi namshangaaa MTU mzima mwenye meno thelathini na mbili alafu anarudia matapishi du ! Wanaume kama Hawa wasiokuwa na misimamo na vyama vyao hata katika familia hawafai .siasa naona imewashinda watu kama Hawa
 
Kuna sehemu nimefatilia hoja zako na Paskali kwenye uzi fulani humu ndani ukidai kuwa ccm uliihama juzi juzi wakati Rais alipoonyesha double standard na kabla ya hapo ulikuwa ccm na mfuasi wa Membe, hapa unadai aliondoka Dr Slaa mkaendelea kuwa salama, kumbe na wewe ulikuwa na double standard, ulikuwa unatumikia vyama viwili kwa wakati mmoja kuwa makini sky, tunakusomaa...hebu tufafanulie make unatuchanganya.
Vyama vya siasa zinabidi ziwe makini maana watu wanafuata masilahi .wameona rais anafanya uteuzi wa idara mbalimbali sasa wanatupa nyavu kama angalau atateuliwa lakini hola wasijidanganye raisi hawezi mchagua mtu aliyehama chama Mara tatu au nne Hawa wanaohamahama hawafai hata kwa dawa
 
Chama ni itikadi. Ukiona mtu anatangatanga kwenye vyama huyo ni sawa na mshirikina na hatafika mbali. Ktambi kama Kaborou na Lwamwai dead na hao wengne dead politically
 
Back
Top Bottom