Patrobas ni pengo kubwa CHADEMA

Patrobas ni pengo kubwa CHADEMA

Binafsi nimefurahi sana kuondoka kwake aliifanya Bavicha ipooze sana.
FB_IMG_1511365677134.jpg
 
Unayajua mapengo?. Hata Musa alikuwa pengo kwa wana wa Israel lakini hakuwa kizuizi kwa waliosalia kuifikia nchi ya maziwa na asali.
Usikariri mambo leta hoja. Wameondoka watu makini ndani ya chadema kama Dr kaburu bado wakapatikana wazuri wengine na safari inasonga mbele sasa huyo unayedai kaacha pengo ni nani?.
Who is Patrobas?,. Ni mvivu wa kufikiri tu ndiye aweza kukubaliana na hoja zako ambazo kwangu ni zero.
Hujiulizi kwanini kaburu aliondoka lakini uchaguzi ulipofika cdm wakavuna wabunge wengi na kura nyingi.
Huelewi ilikuwaje Dr slaa aliondoka bado cdm wakavunja rekodi kupata kura nyingi tangu mfumo wa vyama vingi uingie.

Hujiulizi kwanini baada ya uchaguzi mkuu vyombo vingi vya habari vikapigwa pini pamoja na kuzuia bunge mbashara. Usiishi kwa kukariri zijue alama za nyakati.
 
Hili la Chadema kuendelea kuwepo hadi hii leo na kuwa tishio kwa chama cha wahuni na mafisadi linawakosesha raha sana hawa wahuni. Wanachokosea ni kwamba pamoja na mapugufu ya Chadema hila zao mbali mbali dhidi ya viongozi na wanachama wa Chadema kuwadhalilisha kwa kila namna ikiwemo kuwawinda kwa SMGs ndiko kunazidi kuongeza mapenzi makubwa ya Watanzania wanaojitambua kwa Chadema.

Aliondoka dr Slaa na tukaendelea
 
Aliondoka dr Slaa na tukaendelea
Chadema ni kama nyasi ukikata zinachipua. Yawezekana zinazochipua ni stronger na zenye rutuba kuliko zile za kuomba kwa jirani kupandikiza. I wish I was still young to join this political game, ningenunua kadi ya CDM na ningehamasisha watu kibao ila basi tu. It is a shame mtu anatoka upande mwingine kuanzisha uzi usiomhusu. Waache wafu wazike wafu wao wewe kipara kipya inakuhusu nini? Au wewe ni yule aliyetoroka Mtwara kuhamia Lushoto? Maudhui yako na yake huwa vinashabihiana sana.
 
NADHANI Malengo ya kuanzishwa chadema yalishatimia kwa sasa tunarudi kwenye taratibu zetu tulizojiwekea kama nchi tangu uwepo wake.
===
Rejea trend ya Nccr-mageuzi, cuf na sasa chadma. Vijana acheni kupoteza muda tuijenge nchi yetu. Ningependa ifikapo 2025, Tanzania iwe na ma CEO zaidi ya asilimia 50 vijana wanaomiliki makampuni yao.Na hao maCEO wawe wazalendo wa kitanzania.
 
Kila kitu kinawezekana kama nia ipo!
 
Chadema ni kama nyasi ukikata zinachipua. Yawezekana zinazochipua ni stronger na zenye rutuba kuliko zile za kuomba kwa jirani kupandikiza. I wish I was still young to join this political game, ningenunua kadi ya CDM na ningehamasisha watu kibao ila basi tu. It is a shame mtu anatoka upande mwingine kuanzisha uzi usiomhusu. Waache wafu wazike wafu wao wewe kipara kipya inakuhusu nini? Au wewe ni yule aliyetoroka Mtwara kuhamia Lushoto? Maudhui yako na yake huwa vinashabihiana sana.
Chadema ndio pumzi za mwisho sakratul maut!
 
Chadema ndio pumzi za mwisho sakratul maut!
Hakuna kiongozi wa chadema mwenye darasa la nne wala hakuna wengi wenye phd za kununua. Watu makini hawahitaji wanachama wengi kusonga mbele ila ni juu ya wapiga kura kuona nani mwongo na nani anatarajia kuondoa watu kwenye giza.
Yawezekana wewe ni mdogo ila kama ni mtu uliyeishi enzi za TANU utajua jinsi chama kilivyokuwa dynamic na kuweza kuingia vyama vingi. Tatizo uongozi wa sasa si dynamic unaturudisha nyuma kwa kukataza siasa na kukataza mikutano mpaka kwenye uchaguzi. Tatizo CCM inafanya mikutano kila siku ila vyama vingine vinapigwa mabomu. Je, unaweza kumwaga sera kwenye mabomu na washa washa? Jibu ni turudi China, Urusi, Cuba na ilivyokuwa Zimbabwe. Zimbabwe ni mfano ambao hii spring in the south is coming. Wewe kama ni kipara hutaweza ila kama ni kijana, jiandae ki physiologia sababu it wont be long sababu wamewatengeneza wenyewe na wapo mitaani.
 
Sioni pengo maana alishindwa kuvaa viatu vya John Heche.
 
Binafsi sijawah kumsikia huyo patrobasi mpaka juzi alipotangaza kuhamia ccm!
 
Back
Top Bottom