Patrobas ni pengo kubwa CHADEMA

Patrobas ni pengo kubwa CHADEMA

Tangu hiyo juzi aliondoka mbona kampeni zetu zimeendelea na nyomi za kufa mtu mpaka hapo hujaisoma tu kama chadema ni taasisi iliojengwa kwa muda mrefu kwa msingi mnene wa kuhimili vimbunga na mafuriko
 
Hoja ya chadema ni taasisi ni dhaifu sana taasisi inatakiwa kuongozwa na watu imara na wenye malengo mamoja ya kufikia kile walichokusudia,taasisi hii yenye mipasuko kila eneo taasisi gani labda ya kibao kata!
Mipasuko waiona wewe? Wachekesha kama shetani kujaribu kumshauri malaika.
 
Aliondoka dr Slaa na tukaendelea

Ungekuwa na akili ungejua haya ni matokeo ya kuondoka kwake. .....hamjawahi kuendelea bali mmekuwa wenye maumivu makali mpaka kesho...mnajifariji.....
Mnapolisikia jina ni kama mkuki unaowachoma moyoni.
Tulia wakati ukuta.
 
Mpaka muda huu tangu itoke ile taarifa ya kushtukiza aliekua Mwenyekiti wa BAVICHA kujiunga na CCM, inaonyesha CHADEMA wamepanic sana kuanzia uongozi taifa mpaka wafuasi wote wameamua kutupa mashambulizi kwa ajili ya kuwafariji wafuasi waaminifu, ambao tangu itoke hii taarifa inaonyesha wametetereka kidogo na kukosa msimamo.

Ni pigo baya pigo la kichogo pigo la kushtukiza lazima uchanganyikiwe habari za juu juu kuna watu wengine walishindwa kufanya lolote mpaka wapate kauli ya Mwenyekiti.

Kitendo cha CHADEMA nzima kuongelea mtu mmoja na kutaka kuonyesha kua si pengo hapa ndipo panapoleta umuhimu na pengo lake hakuna wa kuliziba kwa muda huu.

Fuatilia hapa jamii tu nyuzi ngapi mpaka muda huu homa hofu hofu na mashaka.

CHADEMA jibuni hoja za waliohama msipanic

Angalizo msimuamini hata Mbowe anaweza kuwaacha moyo wa mtu ni msitu
Ni kama tu Nyalandu na Lowassa, hawa nao ni pengo kubwa kwa CCM maana ilitumia muda wa kutosha kuwashambulia.
 
Tangu hiyo juzi aliondoka mbona kampeni zetu zimeendelea na nyomi za kufa mtu mpaka hapo hujaisoma tu kama chadema ni taasisi iliojengwa kwa muda mrefu kwa msingi mnene wa kuhimili vimbunga na mafuriko

Hahaha...........
Tatizo wote mnaojibu leo ni makarai,wasaidizi wa mjenzi wako hoi.....Nenda ufipa ni msiba.
Nimepita pale jana mmmmmm
Nikawaonea huruma......
 
Makarai watakuambia huyo mzigo lakini wamesahau makarai yote walimchagua huyo kama karai kiongozi Leo wanatoka na povu
Ndio jadi yao angalia walivyosahau mema ya dr slaa mpaka leo hii wanayumba kumpata mbadala!
 
Huyo ni pengo la mdomoni halina madhara yeyote,aliondoka slaa wabunge aliacha 18 leo wko 45
Hao wabunge aliwaandaa nani?
Ngoja jibu la kuondoka kwake utaliiPata zaidi soon ,kama bado macho yako hayaoni.
Wakati ukuta.
Time is the best teacher
 
Hiyo ndio sababu nzuri kipropaganda. Yeye alichofuata huko ni maslahi. Kukosa ushirikiano ni changamoto za ndani. Hata wake zetu huko ndani huwa wanatunyima ushirikiano wa tendo la ndoa lakini hatuhami nyumba. Huko ccm anaokoenda nako akikosa ushirikiano atahama pia? Ni haki yake kuhama chama na kwenda popote na hata huko alipo akiona hapati anachotaka anaweza kuhama pia, cha muhimu ni aina ya sababu zinazomuhamisha. Na kikubwa ninachopenda kukuambia huyo bwana mdogo ana uwezo mdogo kiuongozi hilo halina ubishi. Ila maadam kwa ccm wanachotaka ni mtu toka cdm ili ionekana rais na serekali yake wanakubalika hapo lengo lenu limefanikiwa lakini matokeo ni hafifu.
Mdogo anaepanda anategemea kuvuna kumbuka fainali uzeeni kama huko aliko alikua akikauka koo kwa ahadi tu sidhani hata wewe ungekua mjinga kiasi hicho ila mkabeni mashinji anajua!
 
Mpaka muda huu tangu itoke ile taarifa ya kushtukiza aliekua Mwenyekiti wa BAVICHA kujiunga na CCM, inaonyesha CHADEMA wamepanic sana kuanzia uongozi taifa mpaka wafuasi wote wameamua kutupa mashambulizi kwa ajili ya kuwafariji wafuasi waaminifu, ambao tangu itoke hii taarifa inaonyesha wametetereka kidogo na kukosa msimamo.

Ni pigo baya pigo la kichogo pigo la kushtukiza lazima uchanganyikiwe habari za juu juu kuna watu wengine walishindwa kufanya lolote mpaka wapate kauli ya Mwenyekiti.

Kitendo cha CHADEMA nzima kuongelea mtu mmoja na kutaka kuonyesha kua si pengo hapa ndipo panapoleta umuhimu na pengo lake hakuna wa kuliziba kwa muda huu.

Fuatilia hapa jamii tu nyuzi ngapi mpaka muda huu homa hofu hofu na mashaka.

CHADEMA jibuni hoja za waliohama msipanic

Angalizo msimuamini hata Mbowe anaweza kuwaacha moyo wa mtu ni msitu
Nani ambaye sio pengo kubwa na je ni kubwa kushinda la Dr slaa.??
 
hakuna habari za maendeleo au ushauri mbalimbali kuliko hizi za wanaobadili 'nguo' kila siku...
 
Back
Top Bottom