Patrobas ni pengo kubwa CHADEMA

Patrobas ni pengo kubwa CHADEMA

Tushukuru kwa kupata lulu ktk chama chetu. Hebu nipe sifa zake kwani Pengo na sababu zake zitoshe asije huku kwetu akajiona ndo kila kitu na hili ndo tatizo tunalolizalisha ndani ya chama kwa unaonekana kuja na hoja muflisi. Kwa ujumla sijaona huyo unayemsifia
Ni kweli anaelalamika kapoteza hata kama hakina maana lakini jua kilikua na umuhimu dr hivi sasa umuhimu wake unaonekana kutokana na ombwe la uongozi lililopo linalopekea watu kila kukicha kutupa magwanda!
 
Binafsi nimefurahi sana kuondoka kwake aliifanya Bavicha ipooze sana.
Kweli kabisa. Na mleta mada angetulinganishia Heche aliyetoka na huyu ndio angesema Bavicha ilipata au kupoteza kwa kijana huyu!
 
Mdogo anaepanda anategemea kuvuna kumbuka fainali uzeeni kama huko aliko alikua akikauka koo kwa ahadi tu sidhani hata wewe ungekua mjinga kiasi hicho ila mkabeni mashinji anajua!

Hayo anayojifanya eti atasema anaweza kuyasema muda wowote akipenda na sio kutishia. Na nilichokiona huyo dogo ni mtafutaji hivyo anacheza na akili ya mwenyekiti. Si unajua babaako magu naye anapita huku jukwaani anacheka akiona malumbano anajua kaiua cdm. Na dogo ameshajua udhaifu wa mwenyekiti ni kujifanya unawachafua tu wapinzani, unapewa fungu fasta na ahadi ya cheo haraka haraka. Tena huyo dogo akitaka apige bao vizuri huko ccm anatakiwa atoke na single ya cdm ndio wametaka kumuua Lissu. Lazima atamzidi Dangote kwa hela.
 
Mtikisiko wa dr slaa matokeo yake ndio haya chama kupoteza watu muhimu kwa kukosa dereva!
Watu muhimu kama Katambi? Wakati unaambiwa huko Songwe kijiji kizima kimehamia Chadema? Hicho kipara chako ungepeleka chato wakifanye uwanja wa helicopter
 
Watu muhimu kama Katambi? Wakati unaambiwa huko Songwe kijiji kizima kimehamia Chadema? Hicho kipara chako ungepeleka chato wakifanye uwanja wa helicopter
Ndio majibu uliobaki nayo ngoja mashinji nae atupe gwanda!
 
Hayo anayojifanya eti atasema anaweza kuyasema muda wowote akipenda na sio kutishia. Na nilichokiona huyo dogo ni mtafutaji hivyo anacheza na akili ya mwenyekiti. Si unajua babaako magu naye anapita huku jukwaani anacheka akiona malumbano anajua kaiua cdm. Na dogo ameshajua udhaifu wa mwenyekiti ni kujifanya unawachafua tu wapinzani, unapewa fungu fasta na ahadi ya cheo haraka haraka. Tena huyo dogo akitaka apige bao vizuri huko ccm anatakiwa atoke na single ya cdm ndio wametaka kumuua Lissu. Lazima atamzidi Dangote kwa hela.
Hapana mkuu utendaji umemkuna!
 
Basi sawa CCM mpeni fursa.
Hii ni nukuu kutoka mtandao mmoja wa jamii: Chama makini kabisa hakiwezi kumuita mtu au watu wezi leo hata kama kwa kukosea, kisha kesho kikasema hapana huyu si mwizi tulikosea. Ulikoseaje? Hukuhakiki taarifa? Kuongoza nchi ni kuaminiwa, na huwezi kuaminiwa kama kauli zako zinabadilika badilika, hazina hakika.
 
Ni kweli anaelalamika kapoteza hata kama hakina maana lakini jua kilikua na umuhimu dr hivi sasa umuhimu wake unaonekana kutokana na ombwe la uongozi lililopo linalopekea watu kila kukicha kutupa magwanda!

Kipara acha hizo, watu kuondoka wameondoa toka enzi za Slaa, kama una pima upepo kwamba mmepata kifaa ni kwamba mlemba galasa. Akita Kitila, Zitto, Mwigamba, shonza nk waliondoka enzi za Slaa tena na ugomvi mkubwa. Hapa kwa katambi kama mmelipa nyingi basi mmeingizwa chaka.
 
Mpaka muda huu tangu itoke ile taarifa ya kushtukiza aliekua Mwenyekiti wa BAVICHA kujiunga na CCM, inaonyesha CHADEMA wamepanic sana kuanzia uongozi taifa mpaka wafuasi wote wameamua kutupa mashambulizi kwa ajili ya kuwafariji wafuasi waaminifu, ambao tangu itoke hii taarifa inaonyesha wametetereka kidogo na kukosa msimamo.

Ni pigo baya pigo la kichogo pigo la kushtukiza lazima uchanganyikiwe habari za juu juu kuna watu wengine walishindwa kufanya lolote mpaka wapate kauli ya Mwenyekiti.

Kitendo cha CHADEMA nzima kuongelea mtu mmoja na kutaka kuonyesha kua si pengo hapa ndipo panapoleta umuhimu na pengo lake hakuna wa kuliziba kwa muda huu.

Fuatilia hapa jamii tu nyuzi ngapi mpaka muda huu homa hofu hofu na mashaka.

CHADEMA jibuni hoja za waliohama msipanic

Angalizo msimuamini hata Mbowe anaweza kuwaacha moyo wa mtu ni msitu

Alituhaidi CHADEMA kuwa atahakikisha anawatafuta watu wasiojulikana mpaka awapate, nadhani ndiyo kaenda wafuata, nadhani atarudi nao baadae...........
 
Ni kweli anaelalamika kapoteza hata kama hakina maana lakini jua kilikua na umuhimu dr hivi sasa umuhimu wake unaonekana kutokana na ombwe la uongozi lililopo linalopekea watu kila kukicha kutupa magwanda!

Kipara acha hizo, watu kuondoka wameondoa toka enzi za Slaa, kama una pima upepo kwamba mmepata kifaa ni kwamba mlemba galasa. Kina Kitila, Zitto, Mwigamba, shonza nk waliondoka enzi za Slaa tena na ugomvi mkubwa. Hapa kwa katambi kama mmelipa nyingi basi mmeingizwa chaka.
 
Mdogo wangu tindo kumbuka kipindi wakina zitto wanaondoka uongozi shupavu wa dr slaa ulikua ofisini!
 
Mdogo wangu tindo kumbuka kipindi wakina zitto wanaondoka uongozi shupavu wa dr slaa ulikua ofisini!

Unajichanganya wewe, waliondoka enzi za Dr. slaa walisema chama kina ubinafsi na ukanda, sababu hizihizi ndio zilizotumika na Katambi. Haijawahi mtu kuondoka akakosa sababu hata za kuchomekea. Na hao akina Katambi ni watoto wa mjini wameshagundua sasa hivi ccm inaongozwa na mapeasant, hivyo ni kuwachanganyia picha tu wanafika bei. Hapa mmeliwa kwenye karata tatu.
 
Back
Top Bottom