Patrobas ni pengo kubwa CHADEMA

kipara kipya

JF-Expert Member
May 2, 2016
13,870
15,604
Mpaka muda huu tangu itoke ile taarifa ya kushtukiza aliekua Mwenyekiti wa BAVICHA kujiunga na CCM, inaonyesha CHADEMA wamepanic sana kuanzia uongozi taifa mpaka wafuasi wote wameamua kutupa mashambulizi kwa ajili ya kuwafariji wafuasi waaminifu, ambao tangu itoke hii taarifa inaonyesha wametetereka kidogo na kukosa msimamo.

Ni pigo baya pigo la kichogo pigo la kushtukiza lazima uchanganyikiwe habari za juu juu kuna watu wengine walishindwa kufanya lolote mpaka wapate kauli ya Mwenyekiti.

Kitendo cha CHADEMA nzima kuongelea mtu mmoja na kutaka kuonyesha kua si pengo hapa ndipo panapoleta umuhimu na pengo lake hakuna wa kuliziba kwa muda huu.

Fuatilia hapa jamii tu nyuzi ngapi mpaka muda huu homa hofu hofu na mashaka.

CHADEMA jibuni hoja za waliohama msipanic

Angalizo msimuamini hata Mbowe anaweza kuwaacha moyo wa mtu ni msitu
 
Mpaka muda huu tangu itoke ile taarifa ya kushtukiza aliekua mwenyekiti wa bavicha kujiunga na ccm,inaonyesha chadema wamepanic sana kuanzia uongozi taifa mpaka wafuasi wote wameamua kutupa mashambulizi kwa ajili ya kuwafariji wafuasi waaminifu, ambao tangu itoke hii taarifa inaonyesha wametetereka kidogo
na kukosa msimamo,

Ni pigo baya pigo la kichogo pigo la kushtukiza lazima uchanganyikiwe habari za juu juu kuna watu wengine walishindwa kufanya lolote mpaka wapate kauli ya mwenyekiti,

Kitendo cha chadema nzima kuongelea mtu mmoja na kutaka kuonyesha kua si pengo hapa ndipo panapoleta umuhimu na pengo lake hakuna wa kuliziba kwa muda huu

Fuatilia hapa jamii tu nyuzi ngapi mpaka muda huu homa hofu hofu na mashaka

Chadema jibuni hoja za waliohama msipanic

Angalizo msimuamini hata mbowe anaweza kuwaacha moyo wa mtu ni msitu
Hizi ni ramli za watu wenye elim ya kaptula.Hapa umestruggle kweli kama umejenga hoja chonganishi.You a mere idiot girl
 
Mpaka muda huu tangu itoke ile taarifa ya kushtukiza aliekua mwenyekiti wa bavicha kujiunga na ccm,inaonyesha chadema wamepanic sana kuanzia uongozi taifa mpaka wafuasi wote wameamua kutupa mashambulizi kwa ajili ya kuwafariji wafuasi waaminifu, ambao tangu itoke hii taarifa inaonyesha wametetereka kidogo
na kukosa msimamo,

Ni pigo baya pigo la kichogo pigo la kushtukiza lazima uchanganyikiwe habari za juu juu kuna watu wengine walishindwa kufanya lolote mpaka wapate kauli ya mwenyekiti,

Kitendo cha chadema nzima kuongelea mtu mmoja na kutaka kuonyesha kua si pengo hapa ndipo panapoleta umuhimu na pengo lake hakuna wa kuliziba kwa muda huu

Fuatilia hapa jamii tu nyuzi ngapi mpaka muda huu homa hofu hofu na mashaka

Chadema jibuni hoja za waliohama msipanic

Angalizo msimuamini hata mbowe anaweza kuwaacha moyo wa mtu ni msitu
Huyo ni pengo la mdomoni halina madhara yeyote,aliondoka slaa wabunge aliacha 18 leo wko 45
 
Mpaka muda huu tangu itoke ile taarifa ya kushtukiza aliekua mwenyekiti wa bavicha kujiunga na ccm,inaonyesha chadema wamepanic sana kuanzia uongozi taifa mpaka wafuasi wote wameamua kutupa mashambulizi kwa ajili ya kuwafariji wafuasi waaminifu, ambao tangu itoke hii taarifa inaonyesha wametetereka kidogo
na kukosa msimamo,

Ni pigo baya pigo la kichogo pigo la kushtukiza lazima uchanganyikiwe habari za juu juu kuna watu wengine walishindwa kufanya lolote mpaka wapate kauli ya mwenyekiti,

Kitendo cha chadema nzima kuongelea mtu mmoja na kutaka kuonyesha kua si pengo hapa ndipo panapoleta umuhimu na pengo lake hakuna wa kuliziba kwa muda huu

Fuatilia hapa jamii tu nyuzi ngapi mpaka muda huu homa hofu hofu na mashaka

Chadema jibuni hoja za waliohama msipanic

Angalizo msimuamini hata mbowe anaweza kuwaacha moyo wa mtu ni msitu
Wewe ndiye unayeonekana kupanic mkuu, tambua Chadema ni taasisi.
 
Pole kwahoja yako dhaifu unatafuta kuungwa mkono na makinikia chadema ni taasisi kitambi kimetafuta pakula
 
Back
Top Bottom