Patrick Mfugale awa Mkurugenzi mpya TANROADS

Huyu anapiga mzigo si sawa na fisadi Mrema (former TANROAD CEO) aliyemchimba mkwara waziri kanyaboya Kawambwa

mrema amewahi kusema nikishtakiwa kwa ufisadi nitataja vigogo wa CCM wanaochukua hela TANROADS

Teh....teh....kumbe alikuwa na janja ya nyani.......
kwa maana hiyo hata guswa mpaka tuwatoe mafisadi sisiemu madarakani......
 
Duh kabla ya CV tu kuambiwa kachora madaraja 1,000 nimechoka ukiweka na makalvat
mm nadhani kaidhisha michoro na usanifu wa madaraja zaidi ya 1,000
Duh huyu Patrick anatisha ngoja tuone lile la Ubungo jna gani litapewa
Hongera zake Mfugale hasa kusimamia hilo la Mfugale Flying Over
 
Kumbe wameshibana toka kitambo
ni kitendo cha kushangaza pale magufuli akibishana na rais kuhusu chief mpya wa Tanroads na magufuli ameweka sharti kwa rais kikwete bila ya MFUGALE yeye anajiuzulu kazi
 
Back
Top Bottom