Dr Matola PhD
Platinum Member
- Oct 18, 2010
- 61,844
- 109,863
Nadhani anafaa kama kachaguliwa na mwenyewe jembe magufuli sina shaka.
Ni chaguo la Luhanjo Magufuri ameshinikizwa tu, walioomba hiyo nafasi wapo wenye cv nzuri kuliko huyo tatizo ni ukabila tu uliomjaa Luhanjo.