Patrick Mfugale katika umri wa miaka 71 alikuwa anafanya nini ofisi ya umma?

Mwacheni apumzike. Haya ulikuwa na uwezo wa kuyasema akiwa hai.
Ni kweli sio vyema kumsema marehemu lakini lipo Jambo la kujifunza au kuuliza hapo kwa faida ya wengi. Kwa sababu ilkuwa sio rahisi watu kujua umri wake wakati akiwa hai, Sasa wamefanikiwa kujua umri wake baada ya kuandikwa tarehe ya kuzaliwa kwenye msalaba ndio mleta thread anataka kujua ilikuwaje akaendelea kutumikia ofisi wakati ilibidi astaafu Miaka nane iliyopita? Hatuwezi jua lamda kunasheria ilimpa uwezo wa kuendelea, au raisi alikuwa na mamlaka ya kubadilisha kustaafu kwake au chochote kile ilimradi kiwe na mantiki ili watu kujifunza yaliyojificha kwenye Sheria za watumishi wa uma.
 
Kuna wakati nilipomuona akiwa kazini anakagua mabarabara nilimuonea huruma kwa hali yake ya kiafya, nilijiuliza kwanini hapumzishwi au kwanini yeye haombi kupumzika? Maskini! hadi amefia kazini.

Hili ni fundisho pia kwa watumishi wengine wenye umri mkubwa au wana matatizo ya kiafya ni vyema wakaomba kustaafu kwa hiyari ili wapate muda wa kupumzisha miili yao kuliko kuifia kazini.

Kumbukeni kazi na afya, Afya yako/uhai wako ni muhimu sana kuliko kazi, ukifa leo kesho tunateua mwengine anashika nafasi yako.
wazee mnaotaka kuifia kazini pumzikeni, pisheni vijana nao wapige kaOngea ysiku zoteke s
Serikal iliwah kupitisha ruhusa kwa kada flan kuendelea kufanya kwa maana ktk serikal baada ya ule umri wa kustaafu kufika ..nafikir pia ilikuwa kwa wanazuoni Dkts,profs ..nafikir na exceptional professionals .....correct me if i am wrong
 
Umri sahihi wa kustaafu utumushi wa umma ni miaka 55 kwa hiari na miaka 60 kwa lazima, japo kanuni zinaruhusu kuendelea kutumikia umma kwa mkataba wa miaka miwili miwili, Mfugale hajawahi kustaafu na amekuwa akiongezewa mikataba juu kwa juu.

Madhara yake mnabana nafasi za ajira kwa wengine.

RIP Mfugale 1950-2021
Info yako ina walakin.
Mfugale kazaliwa 1953 December.
Jipange sasa uulize upya upate info sahihi.
 
Kwa ufupi marehemu mwendazake alikuwa mpumbavuuuu!! Alikuwa haangalii kabisa sheria zinasemaje maana yeye aliamini ndiye sheria mama!
 
Usichanganye mada,katiba inasema Urais ni vipindi viwili nyie mkataka atawale milele,kwenye utumishi wa umma sheria ya kazi(sio katiba) ni miaka 60 unless kuna sababu za msingi ndio unapewa mkataba miaka miwili miwili
Sababu ya msingi ni mtu kuwa na uwezo mkubwa wa kazi. Urais mtu anaongezewa baada ya katiba kurekebishwa
 
Umri sahihi wa kustaafu utumushi wa umma ni miaka 55 kwa hiari na miaka 60 kwa lazima, japo kanuni zinaruhusu kuendelea kutumikia umma kwa mkataba wa miaka miwili miwili, Mfugale hajawahi kustaafu na amekuwa akiongezewa mikataba juu kwa juu.

Madhara yake mnabana nafasi za ajira kwa wengine.

RIP Mfugale 1950-2021
Anapoongezewa mkataba ulitaka wakupigie simu kukupa wewe taarifa?
 
Kuna wakati nilipomuona akiwa kazini anakagua mabarabara nilimuonea huruma kwa hali yake ya kiafya, nilijiuliza kwanini hapumzishwi au kwanini yeye haombi kupumzika? Maskini! hadi amefia kazini.

Hili ni fundisho pia kwa watumishi wengine wenye umri mkubwa au wana matatizo ya kiafya ni vyema wakaomba kustaafu kwa hiyari ili wapate muda wa kupumzisha miili yao kuliko kuifia kazini.

Kumbukeni kazi na afya, Afya yako/uhai wako ni muhimu sana kuliko kazi, ukifa leo kesho tunateua mwengine anashika nafasi yako.
wazee mnaotaka kuifia kazini pumzikeni, pisheni vijana nao wapige kazi.
Sikumwelewa Mwendazake kwenye moja ya hotuba zake za mwisho akiwa kwenye uzinduzi wa daraja la Kijazi kama sijakosea, alisema "...namwomba Mungu asimchukue Mhehe huyu kabla hajamaliza kazi za ujenzi zinazoendelea nchini..."
 
Mambo ya dikteta magufuli hayo

Back
Top Bottom