Patrick Mfugale katika umri wa miaka 71 alikuwa anafanya nini ofisi ya umma?

goroko77

JF-Expert Member
Jul 9, 2019
1,410
2,000
Kuna wakati nilipomuona akiwa kazini anakagua mabarabara nilimuonea huruma kwa hali yake ya kiafya, nilijiuliza kwanini hapumzishwi au kwanini yeye haombi kupumzika? Maskini! hadi amefia kazini.

Hili ni fundisho pia kwa watumishi wengine wenye umri mkubwa au wana matatizo ya kiafya ni vyema wakaomba kustaafu kwa hiyari ili wapate muda wa kupumzisha miili yao kuliko kuifia kazini.

Kumbukeni kazi na afya, Afya yako/uhai wako ni muhimu sana kuliko kazi, ukifa leo kesho tunateua mwengine anashika nafasi yako.
wazee mnaotaka kuifia kazini pumzikeni, pisheni vijana nao wapige kazi.
Alikuwa Ana tamaa mbayaa kwani mnilimuona Apo ubungo wakt wanazindua fly over afya yake CYO kuwa mtumishi wa umma Wala kuonekana puplic alikuwa kachoka mbyaa ndio kwanza magufuli anasema anaomba mungu asife aendele kumtumia kuzanifu madaraja ya nnchi ...ila ukweli baby yule kachoka huku akiongea fatilia you tube alichangia a Sana tarakimu wakt anasoma hotuba fupi na garama zilizotumika ndio nikaingiwa na waswAsi kwa mtendaji huyo
 

mdukuzi

JF-Expert Member
Jan 4, 2014
9,707
2,000
Acheni ujinga nyie ndio wenye majungu maofisini. Tukubali tusikubali alikuwa mchapakazi hakuonekana mwingine aliye na umri mdogo. Hamuangalii matunda mmekalia majungu! Hata kama sheria inasema kama hakuoatikana je. Hata atakaepatikana sasa I am sure hatakuwa kama yeye. Kama hujui historia hiyo post ilikuwa inashikiliwa na mtu wa nje. Ilikuwa special na huenda iliwekewa kusataafu ni mika 75. Huko unakofanya kazi chaopa kazi acha majungu!
Bila majungu hutoboi bongo
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom