Usijilinganishe na nchi za ulaya bloo.huku ili utoboe shartti uwe timu ya wapigaji wa juu,uwe na majungu,kujipendekeza,ushirikina kazini nk,kuna wazee kibao walikuwa waadilifu na wachapa kazi ila mwisho wao haukuwa mzuri sababu hawakuwa na hizi sifa nilizotajafundisho kwa vijana tubobee na kufanya kazi kwa juhudi utazeeka kwa raha. naona nchi za wenzetu wazee wanakufa bado hawahitaji msaada wa kiuchumi kutoka kwa watoto wao.
Unanikumbusha mzee mmoja kapewa ofisi kakuta kuna hela imepigwa na wakuu wake kipindi cha mpito kabla ya yeye kuteuliwa milioni 143. Yeye alipoteuliwa akatakiwa asaini check akauliza hii hela imefanya nini hapa ofisini? Akaambiwa wewe sign tu. Akagoma. Ulipita mwaka mmoja yule mzee alipigwa demotionUsijilinganishe na nchi za ulaya bloo.huku ili utoboe shartti uwe timu ya wapigaji wa juu,uwe na majungu,kujipendekeza,ushirikina kazini nk,kuna wazee kibao walikuwa waadilifu na wachapa kazi ila mwisho wao haukuwa mzuri sababu hawakuwa na hizi sifa nilizotaja
Nina rafiki yangu kapelekwa simiyu tena wilayani baada ya kuwa anawazingua wapigaji mabosi zake wasifanikishe upigaji waoUnanikumbusha mzee mmoja kapewa ofisi kakuta kuna hela imepigwa na wakuu wake kipindi cha mpito kabla ya yeye kuteuliwa milioni 143. Yeye alipoteuliwa akatakiwa asaini check akauliza hii hela imefanya nini hapa ofisini? Akaambiwa wewe sign tu. Akagoma. Ulipita mwaka mmoja yule mzee alipigwa demotion
Ofisi zina mengi hizi.Nina rafiki yangu kapelekwa simiyu tena wilayani baada ya kuwa anawazingua wapigaji mabosi zake wasifanikishe upigaji wao
amekufa kishujaa....hajala goodtime....sh....enzKuna wakati nilipomuona akiwa kazini anakagua mabarabara nilimuonea huruma kwa hali yake ya kiafya, nilijiuliza kwanini hapumzishwi au kwanini yeye haombi kupumzika? Maskini! hadi amefia kazini.
Hili ni fundisho pia kwa watumishi wengine wenye umri mkubwa au wana matatizo ya kiafya ni vyema wakaomba kustaafu kwa hiyari ili wapate muda wa kupumzisha miili yao kuliko kuifia kazini.
Kumbukeni kazi na afya, Afya yako/uhai wako ni muhimu sana kuliko kazi, ukifa leo kesho tunateua mwengine anashika nafasi yako.
wazee mnaotaka kuifia kazini pumzikeni, pisheni vijana nao wapige kazi.
Kwenye kila kazi ya serikali kuna 10% lazima mshinda tenda atoe kwa wahusika ingawa haipo rasmi lakini ni constant. Sasa jiulize kwa kazi zote zilizofanyika chini yake amekunja kiasi gani huyu mzee na wenzake?amekufa kishujaa....hajala goodtime....sh....enz
Mwili ulichoka lakini akiri yake ilikua bado smart.Kuna wakati nilipomuona akiwa kazini anakagua mabarabara nilimuonea huruma kwa hali yake ya kiafya, nilijiuliza kwanini hapumzishwi au kwanini yeye haombi kupumzika? Maskini! hadi amefia kazini.
Hili ni fundisho pia kwa watumishi wengine wenye umri mkubwa au wana matatizo ya kiafya ni vyema wakaomba kustaafu kwa hiyari ili wapate muda wa kupumzisha miili yao kuliko kuifia kazini.
Kumbukeni kazi na afya, Afya yako/uhai wako ni muhimu sana kuliko kazi, ukifa leo kesho tunateua mwengine anashika nafasi yako.
wazee mnaotaka kuifia kazini pumzikeni, pisheni vijana nao wapige kazi.
Kabundi ni mchawi aisee, eti katiba ni nzuri na siyo hitaji, hivi hawa wapuuzi wanatuonaje sisi Wa-Tanganyika?Kweli korona itawamaliza wote, na huyo kabundi wa mimacho mikubwa
CAG katumwa kuandaa utopolo yule ni mjaluo tu inafahamika anacheza na game, ochimadawa!!Ameiba huyu kwa kulipa mara mbili mbili rejea CAG KICHERE
Still alitakiwa awe amestaafu kitambo
Amina mkuuNi sawa lakini mikataba huongezwa panapokuwa na ulazima! Hata 80 watu huongezewa kama ilivyo vyuo vikuu au udaktari! Hakuna shida hapo hata wewe ukionekana mtu muhimu utaongezewa tu, vinginevyo unaweza hata kupunguziwa endapo ni legelege na huna ubunifu wowote eneo lako la kazi. Wapo wengi walioongezewa mikataba hadi wana zaidi ya miaka 70 plus! Chapa kazi utaongezewa nawe pia!
Acheni ujinga nyie ndio wenye majungu maofisini. Tukubali tusikubali alikuwa mchapakazi hakuonekana mwingine aliye na umri mdogo. Hamuangalii matunda mmekalia majungu! Hata kama sheria inasema kama hakuoatikana je. Hata atakaepatikana sasa I am sure hatakuwa kama yeye. Kama hujui historia hiyo post ilikuwa inashikiliwa na mtu wa nje. Ilikuwa special na huenda iliwekewa kusataafu ni mika 75. Huko unakofanya kazi chaopa kazi acha majungu!Mambo ya kipenzi cha wanyonge hayo.
Mtu yoyote amtakae. Mtu liye nasifa sio kuokoteza tu mtu yoyote amtakaye! Tunachotaka sisi ni kazi na matokeo baas! Kama Ya marehemu!Mh Raisi anaweza teua mtu yoyote amtakaye kuhudumu kwa muda wowote
Well said. I cannot say more. Kuna watu kazi wanafikiria maslahi tu. Wengine hawako hivyo wanachofikiria ni kazi iemnde sawa!Ni sawa lakini mikataba huongezwa panapokuwa na ulazima! Hata 80 watu huongezewa kama ilivyo vyuo vikuu au udaktari! Hakuna shida hapo hata wewe ukionekana mtu muhimu utaongezewa tu, vinginevyo unaweza hata kupunguziwa endapo ni legelege na huna ubunifu wowote eneo lako la kazi. Wapo wengi walioongezewa mikataba hadi wana zaidi ya miaka 70 plus! Chapa kazi utaongezewa nawe pia!
Tuliza wenge bi. Mkubwa, hebu nitajie hio sheria special iliyotungwa kwa ajili yake tu I'll kifungu cha ngapi kwny Katiba.Acheni ujinga nyie ndio wenye majungu maofisini. Tukubali tusikubali alikuwa mchapakazi hakuonekana mwingine aliye na umri mdogo. Hamuangalii matunda mmekalia majungu! Hata kama sheria inasema kama hakuoatikana je. Hata atakaepatikana sasa I am sure hatakuwa kama yeye. Kama hujui historia hiyo post ilikuwa inashikiliwa na mtu wa nje. Ilikuwa special na huenda iliwekewa kusataafu ni mika 75. Huko unakofanya kazi chaopa kazi acha majungu!