Patrick Mfugale katika umri wa miaka 71 alikuwa anafanya nini ofisi ya umma?

fundisho kwa vijana tubobee na kufanya kazi kwa juhudi utazeeka kwa raha. naona nchi za wenzetu wazee wanakufa bado hawahitaji msaada wa kiuchumi kutoka kwa watoto wao.
Usijilinganishe na nchi za ulaya bloo.huku ili utoboe shartti uwe timu ya wapigaji wa juu,uwe na majungu,kujipendekeza,ushirikina kazini nk,kuna wazee kibao walikuwa waadilifu na wachapa kazi ila mwisho wao haukuwa mzuri sababu hawakuwa na hizi sifa nilizotaja
 
Unanikumbusha mzee mmoja kapewa ofisi kakuta kuna hela imepigwa na wakuu wake kipindi cha mpito kabla ya yeye kuteuliwa milioni 143. Yeye alipoteuliwa akatakiwa asaini check akauliza hii hela imefanya nini hapa ofisini? Akaambiwa wewe sign tu. Akagoma. Ulipita mwaka mmoja yule mzee alipigwa demotion
 
Nina rafiki yangu kapelekwa simiyu tena wilayani baada ya kuwa anawazingua wapigaji mabosi zake wasifanikishe upigaji wao
 
Ofisi zina mengi hizi.
Unakuta mtu utendaji kazi zero, elimu ya kuunga unga form four karudia miaka 3 lakini kila kazi anatumwa yeye perdiem zakumwaga huku kuna watu wenye elimu zao nzuri tu na wachapa kazi wanasugua viti vya ofisi mwaka mzima hawapati hata safari moja.
 
Kuna wakati nilipomuona akiwa kazini anakagua mabarabara nilimuonea huruma kwa hali yake ya kiafya, nilijiuliza kwanini hapumzishwi au kwanini yeye haombi kupumzika? Maskini! hadi amefia kazini.

Hili ni fundisho pia kwa watumishi wengine wenye umri mkubwa au wana matatizo ya kiafya ni vyema wakaomba kustaafu kwa hiyari ili wapate muda wa kupumzisha miili yao kuliko kuifia kazini.

Kumbukeni kazi na afya, Afya yako/uhai wako ni muhimu sana kuliko kazi, ukifa leo kesho tunateua mwengine anashika nafasi yako.
wazee mnaotaka kuifia kazini pumzikeni, pisheni vijana nao wapige kazi.
amekufa kishujaa....hajala goodtime....sh....enz
 
Kwenye kila kazi ya serikali kuna 10% lazima mshinda tenda atoe kwa wahusika ingawa haipo rasmi lakini ni constant. Sasa jiulize kwa kazi zote zilizofanyika chini yake amekunja kiasi gani huyu mzee na wenzake?
Huyu mzee atakuwa kaacha ukwasi wa kutosha kwa watoto wake na wajukuu
 
Kusema ukweli amelifanyia makubwa taifa, Asilimia 70 ya barabara tunazipita nchi nzima amezisimamia yeye. Huyu mtu kwasababu sio mwanasiasa, inabidi aheshimiwe na kuenziwa kwa kazi iliyotukuka. Sasaiv nchi nzima unazunguka ni lami tu. Mnyonge mnyongeni lakin haki yake mpeni. RIP MFUGALE
 
Kuna wakati nilipomuona akiwa kazini anakagua mabarabara nilimuonea huruma kwa hali yake ya kiafya, nilijiuliza kwanini hapumzishwi au kwanini yeye haombi kupumzika? Maskini! hadi amefia kazini.

Hili ni fundisho pia kwa watumishi wengine wenye umri mkubwa au wana matatizo ya kiafya ni vyema wakaomba kustaafu kwa hiyari ili wapate muda wa kupumzisha miili yao kuliko kuifia kazini.

Kumbukeni kazi na afya, Afya yako/uhai wako ni muhimu sana kuliko kazi, ukifa leo kesho tunateua mwengine anashika nafasi yako.
wazee mnaotaka kuifia kazini pumzikeni, pisheni vijana nao wapige kazi.
Mwili ulichoka lakini akiri yake ilikua bado smart.
 
Still alitakiwa awe amestaafu kitambo

Ni sawa lakini mikataba huongezwa panapokuwa na ulazima! Hata 80 watu huongezewa kama ilivyo vyuo vikuu au udaktari! Hakuna shida hapo hata wewe ukionekana mtu muhimu utaongezewa tu, vinginevyo unaweza hata kupunguziwa endapo ni legelege na huna ubunifu wowote eneo lako la kazi. Wapo wengi walioongezewa mikataba hadi wana zaidi ya miaka 70 plus! Chapa kazi utaongezewa nawe pia!
 
Amina mkuu
 
Mambo ya kipenzi cha wanyonge hayo.
Acheni ujinga nyie ndio wenye majungu maofisini. Tukubali tusikubali alikuwa mchapakazi hakuonekana mwingine aliye na umri mdogo. Hamuangalii matunda mmekalia majungu! Hata kama sheria inasema kama hakuoatikana je. Hata atakaepatikana sasa I am sure hatakuwa kama yeye. Kama hujui historia hiyo post ilikuwa inashikiliwa na mtu wa nje. Ilikuwa special na huenda iliwekewa kusataafu ni mika 75. Huko unakofanya kazi chaopa kazi acha majungu!
 
Ni sawa lakini mikataba huongezwa panapokuwa na ulazima! Hata 80 watu huongezewa kama ilivyo vyuo vikuu au udaktari! Hakuna shida hapo hata wewe ukionekana mtu muhimu utaongezewa tu, vinginevyo unaweza hata kupunguziwa endapo ni legelege na huna ubunifu wowote eneo lako la kazi. Wapo wengi walioongezewa mikataba hadi wana zaidi ya miaka 70 plus! Chapa kazi utaongezewa nawe pia!
Well said. I cannot say more. Kuna watu kazi wanafikiria maslahi tu. Wengine hawako hivyo wanachofikiria ni kazi iemnde sawa!
 
Acheni ujinga nyie ndio wenye majungu maofisini. Tukubali tusikubali alikuwa mchapakazi hakuonekana mwingine aliye na umri mdogo. Hamuangalii matunda mmekalia majungu! Hata kama sheria inasema kama hakuoatikana je. Hata atakaepatikana sasa I am sure hatakuwa kama yeye. Kama hujui historia hiyo post ilikuwa inashikiliwa na mtu wa nje. Ilikuwa special na huenda iliwekewa kusataafu ni mika 75. Huko unakofanya kazi chaopa kazi acha majungu!
Tuliza wenge bi. Mkubwa, hebu nitajie hio sheria special iliyotungwa kwa ajili yake tu I'll kifungu cha ngapi kwny Katiba.
 
44 Reactions
Reply
Back
Top Bottom