Passo Owners Association (POA) Dsm chapter

Passo Owners Association (POA) Dsm chapter

Bajeti inamata zaidi ....kuliko maoni ya watu....passo kwa maisha ya dsm...ni poa sana...kama mtu hana uwezo wa discovery afanyeje sasa!! Nunua passo....rahisisha maisha!!!!
 
Hapa watu wanaziponda hizo passo lakini hapo walipo wanawaza karaha za daladala na isitoshe mtu anakuwa na kitu ambacho ana uwezo nacho
 
Hapa watu wanaziponda hizo passo lakini hapo walipo wanawaza karaha za daladala na isitoshe mtu anakuwa na kitu ambacho ana uwezo nacho

hapa umenilenga...kuna kipindi huwa natamani ningekuwa na Passo jinsi mabo yanavyobana!!!
 
Hivi Passo ya kutoka japan inaweza kuzidi milioni 2 Tsh kweli maana naona zimejaa barabarani kuliko hata bajaj. nini hasa sababu wandugu? au kuna sehemu watu wanacheza kamari ukishiNDWA ndo unapewa PASSO? au nyongeza ukinunua gari kubwa?

Haaahaa masihara wewe
 
hapa umenilenga...kuna kipindi huwa natamani ningekuwa na Passo jinsi mabo yanavyobana!!!

Jipige pige usukume ndinga hilo acha maneno ya watu wakati rohoni mwao wanawaza lini hata watamiliki hata pikipiki ya boxer
 
mkuu uko karne gani? techno kama yangu na mb8 zitamshinda mtu?!

labda nikuulize wewe unaishi karne gan, nijuavyo mm wapo wabongo ambao wanapiga pasi ndefu chakura. sembuse smartphone!? na hizo mb8 cjui una-surf kwa muda gani?
 
Hivi passo ni chama shirikishi pamoja na vyama vya raum, spacio,ist,nk
 
labda nikuulize wewe unaishi karne gan, nijuavyo mm wapo wabongo ambao wanapiga pasi ndefu chakura. sembuse smartphone!? na hizo mb8 cjui una-surf kwa muda gani?

Hao huwezi kuwakuta humu jf,kama nakumbuka vizuri post yako ilikuwa inazungumzia watu kuingia jf mpaka wafike maofisini,sidhani kama hao ndio unaowazungumzia.
 
Hao huwezi kuwakuta humu jf,kama nakumbuka vizuri post yako ilikuwa inazungumzia watu kuingia jf mpaka wafike maofisini,sidhani kama hao ndio unaowazungumzia.

kichwa chako kigumu sana kuelewa. walimu wako wana/walikuwa na kazi sana
 
Back
Top Bottom