CRDB wanatoa Passo 1 kwa mwezi wakati wenzao Airtel walikuwa wanatoa IST kila siku, acheni kudhalilisha wateja wenu nyie CRDB yaani katika gari zote mmeona Passo nayo gari tena Passo 1 kwa mwezi
kanyaga boyaPasso ndo kitu gani mkuu?!
Halafu unamkuta mtu anaendesha Passo (BVR) huku kafungua vioo kisa anabana mafuta, kwenye foleni kidogo na gari anazima kabisa ili mafuta yasiende daah!
duh maneno makaliPasso ni ushuzi mtupu halafu eti CRDB wanatoa Passo 1 kwa mwezi wakati wenzao Airtel walikuwa wanatoa IST kila siku, acheni kudhalilisha wateja wenu nyie CRDB yaani katika gari zote mmeona Passo nayo gari tena Passo 1 kwa mwezi
Ha ha ha... Wanachama wa hii kitu wamechachamaa....
Haa haaaaa! Hapa tumekaa tunajadili jamaa kaja kupaki passo mbele yetu...chafffuuuuu balaa!!haa haaa! Ila usafiri poa sana huu
Hivi Passo ya kutoka japan inaweza kuzidi milioni 2 Tsh kweli maana naona zimejaa barabarani kuliko hata bajaj. nini hasa sababu wandugu? au kuna sehemu watu wanacheza kamari ukishiNDWA ndo unapewa PASSO? au nyongeza ukinunua gari kubwa?
naipenda sana passo yangu.. na nimeibandika sticker ya jamiiforums nyuma..
ili wenye roho za kwa nini wa jamiiforums wafurahi zaidi..
gari nzuri sana hizi.. mafuta economy, parking inajibanza popote, ndani ina nafasi, yaani full bata