Watu hizohizo wanachukulia mabeibe town
Apia.....
Tatizo mmejiwekea notion ya kudharaulika ila sidhani kama watu wana wadharau...
Halafu mwanaume ujue kuchagua rangi ya gari, utakuta mzee mzima unaendesha passo nyekundu...
Au pink kabisa
Mi kama gari sio jeusi au grey siendeshi...
Mwanaume utaendeshaje gari ina rangi rangi?
Hakyamama, kuna mwana kanyang'anywa demu wa bank teller mwenye passo
Haa haaaaa! Hapa tumekaa tunajadili jamaa kaja kupaki passo mbele yetu...chafffuuuuu balaa!!haa haaa! Ila usafiri poa sana huu
Duh afu mshkaji ukute kaichukulia.mkopo kisha anachukua demu cash...
Hhahaa mkuu hao si watakua na ma mark x au? Hahaahaaa...sema watakuwepo tu