Passo Owners Association (POA) Dsm chapter

Passo Owners Association (POA) Dsm chapter

Nafurahia kuwa mmiliki wa passo, ww ponda tu wakat hata bajaji huna
 
Kila mbuzi hula kwa urefu wa kamba yake. Ni bora anayemiliki Paso kuliko wale wanaotegemea public transports maana naweza kwenda popote na kwa wakati wowote.
 
waendesha PASSO ni kama wamezaliwa na baba Mmoja, tabia zao barabarani zinafanana mno
 
Sio hawajui wanatafuta unafuu wa kuingia petroleum maana pcton 3 engine ndogo haili sana na foleni zetu hizi Na viyoyozi wacha iyo mambo
 
Passo kana shoo nzuri ila safari ndefu majanga,rough roads huku kwetu nje ya mji majanga,ukijumlisha na kale kaugonjwa kake ka steering rack ndo kabsaa.
 
Back
Top Bottom