Passo Owners Association (POA) Dsm chapter

Passo Owners Association (POA) Dsm chapter

Swali la kichokozi. Hivi wote tunaodharau magari aina ya Passo tunamiliki magari? Au ndio bendera fata upepo? Kama mnamiliki magari yenye CC kubwa zaidi basi hongera serikali ya CCM kwa maisha bora kwa kila mwana JF!
 
Back
Top Bottom