Hahahhaahahaa mkuu umenichekesha sana mpaka machozi yametoka wanatabia ganu mkuu
WENYE PASSO WANA VURUGU ZA KIJINGA BARABARANI MARA ATANUE/ACHOMEKEE, HONI in short hawatulii barabarani hapo kafungua kioo anabania mafuta.Yaani Passo ni kama LAANA hv
Hahahhaahahaa mkuu umenichekesha sana mpaka machozi yametoka wanatabia ganu mkuu
Jama namimi nina kamoango ka kujivutia ka passo, hv kwa sasa vinakwenda kwa tshs ngapi?
Niletee 6 kama nikupe no middle man
Salaaaaaale.....,Mtuache na Passo zetu...kwani tunawaomba hela ya mafuta...??? Mtukomeeeee
Hahahaaaaaaaaaa... Daaaaah... So plan ni kununua Yutong auWale wamiliki wa magari aina ya Passo tunahitajika kwa ajili ya mkutano mkuu wa chama.
SEHEMU: Msimbazi centre,
TAREHE: 28.7.2015.
AGENDA: Namna ya kukabiliana na dharau dhidi yetu wamiliki halali wa PASSO a.k.a BVR
kwani piston tatu inashida gani mkuu.nataka niingie yard muda si mrefu nam nipate kausafiri kakutembelea usiku na kwendea kanisani hata mikesha, maana mikesha ya mwsho wa mwaka sijaifadi kisa usafiri.Passo jamani Piston Tatu kichefuchefu,
Ukitaka passo zingatia hili, piston 4
Wale wamiliki wa magari aina ya Passo tunahitajika kwa ajili ya mkutano mkuu wa chama.
SEHEMU: Msimbazi centre,
hahahahhahahaaaaa...nimecheka sana
Safii
Uchumi wa KatiWENYE PASSO WANA VURUGU ZA KIJINGA BARABARANI MARA ATANUE/ACHOMEKEE, HONI in short hawatulii barabarani hapo kafungua kioo anabania mafuta.Yaani Passo ni kama LAANA hv
Mmefikia wapi?Wale wamiliki wa magari aina ya Passo tunahitajika kwa ajili ya mkutano mkuu wa chama.
SEHEMU: Msimbazi centre,
TAREHE: 28.12.2020
AGENDA: Namna ya kukabiliana na dharau dhidi yetu wamiliki halali wa PASSO a.k.a BVR