Passo Owners Association (POA) Dsm chapter

Passo Owners Association (POA) Dsm chapter

aisee inabidi kwa kweli mkutane maana humo barabarani mmezidi vurugu
 
mbona gari bomba tu.
256901d1308721509-review-require-toyota-passo-daihatsu-boon-daihatsu-sirion-daihatsusirion.jpg
 
Hiv Passo zinatofauti na zile bukta za kinadada wanaita 'PEDO'.hasa mbona hata wanaume wanaendesha? Jamani wanaume tuache mavazi ya kike
 
ha ha ha na mimi nina mpango wa kununua gari yangu ya kwanza na itakuwa passo. Nimechoka kupanda daladala
 
Hiv Passo zinatofauti na zile bukta za kinadada wanaita 'PEDO'.hasa mbona hata wanaume wanaendesha? Jamani wanaume tuache mavazi ya kike
Unatafta ugomvi na watu wa dini yao, kuna watu wanavaa hovyo vipedo kidini sasa ukiwaambia ni nguo za kike unawakufuru, waombe radhi
 
Hahahahaa kuna wakati hata kama hutaki kucheka utacheka tuuu
 
passo ikikwama kwenye kiatu cha kisigino kirefu haipandi aisee, lakini vitz inaruka.
 
Mkuu wangu wa kazi anamiliki Passo yake swaaaaaafi na ukitaka mkosane we pitapita karibu na Passo yake utasikia mwanangu unataka univunjie vioo? Hahahahaaaa

Hahahaaaaaa!
Yuko very serious na passo yake
 
Jamani
Leo mie nimemuona jamaa anaendesha, tena jamaa kasuka, mbele kuna mwanamke afu nyuma watoto. Nikakumbuka hii nyuzi nikacheka sana.
Ila tusiwacheke hapo ndio mfuko wao umefikia.
Mimi sina hata baiskeli
 
Ha ha JF mna vituko hatariii, kila nikona passo nakumbuka huu uzi
 
Khaa!! Kama Passo tu hivi. Siku nikiingia barabarani na Toyota Coms si nitapigwa mawe mimi. Acheni ujinga. Tunanunua magari kutokana na bajeti/mahitaji yetu. Mnajua bajeti zetu au mahitaji yetu bana??/
 
Back
Top Bottom