Pasco - Unawezaje kusema maneno kama haya ?

Pasco - Unawezaje kusema maneno kama haya ?

Katika watu walikuwa welevu wakubwa na wenye maono ya mbali ni Adolf Hitler, maana aliona mbali juu ya wayahudi kwani hawa jamaa ni wakaidi sana hata Jesus ametokana na wao lakini ni dhambi kubwa Kwao kuamini Kama Jesus alikuja na akasulubiwa!

Wayahudi hawaamini Kama Jesus alikuja na wanawashangaa sana wanaiamini hivyo na wanawaona ni wehu wakubwa kwani Jesus aliyekuja ni wakutunga yaani fake Jesus! Hawa ni miongoni mwa watu wakaidi sana!

Ndio maana Adolf Hilter alikuwa akimwona myahudi lazima ashughulike nae hata akiwa kwenye msafara atausimamisha ili amshughulikie. Hitler aliwahi nena kuwa angepata miaka miwili tena yaani 1933-1936 tayari alishawaua wayahudi 6 million na alihitaji miaka miwili tu kumaliza kizazi Hiki dunia nzima! Kwani kwa kipindi hicho chote kinasemekana kulikuwa na Jews 9 million all over the world!

Kwa hiyo Hitler angewamaliza Wayahudi wote kwa kipindi cha miaka 2 tu! Kwani walibaki 3 mill tu dunia nzima! Hata Wajerumani hawamsemi vizuri Hitler lakini ukweli usiopingika kuwa Adolf ndio aliyoifanya German kuwa Kama ilivyo!

Germany is the one of the richest country in the Euro zone! Hata miji yake are well organized and plan na yote kwasababu ya Hitler! Kwani kabla ya Adolf Germany ilikuwa ni nchi ya kawaida na isiyojulikana duniani!
 
Pasco huwa nakwaminia coments zako lakini kwa hili huelewi ulichosema!!
Soma book the strugle for EUrope! Hitler hakuwa na sababu ya maana kuwauwa Wayahudi zaidi ya wivu tuu!!
Wewe unasuport idealorodge ya wivu, kuna mambo mengi yamejificha ya chuki dhidi ya Wayahudi!!
Wanabidi wajitetee hakuna jinsi, huwezi kuwafuta Wayahudi maana ni wana wa Mungu aliye hai!!
Ukiwalaani unalaaniwa, ukiwabariki unabarikiwa, hiyo ni given, ask the Americans!!

Taifa la Mungu linaloshambulia kwa makombora vituo vya walemavu,wanawake na Watoto?Ni la Mungu huyu huyu ninayemuabudu au Mwingine?

Unajua sisi waafrika dini inaweza kuwa uchawi mbaya kuliko kitu kingine chochote
 
Last edited by a moderator:
Katika watu walikuwa welevu wakubwa na wenye maono ya mbali ni Adolf Hitler, maana aliona mbali juu ya wayahudi kwani hawa jamaa ni wakaidi sana hata Jesus ametokana na wao lakini ni dhambi kubwa Kwao kuamini Kama Jesus alikuja na akasulubiwa!

Wayahudi hawaamini Kama Jesus alikuja na wanawashangaa sana wanaiamini hivyo na wanawaona ni wehu wakubwa kwani Jesus aliyekuja ni wakutunga yaani fake Jesus! Hawa ni miongoni mwa watu wakaidi sana!

Ndio maana Adolf Hilter alikuwa akimwona myahudi lazima ashughulike nae hata akiwa kwenye msafara atausimamisha ili amshughulikie. Hitler aliwahi nena kuwa angepata miaka miwili tena yaani 1933-1936 tayari alishawaua wayahudi 6 million na alihitaji miaka miwili tu kumaliza kizazi Hiki dunia nzima! Kwani kwa kipindi hicho chote kinasemekana kulikuwa na Jews 9 million all over the world!

Kwa hiyo Hitler angewamaliza Wayahudi wote kwa kipindi cha miaka 2 tu! Kwani walibaki 3 mill tu dunia nzima! Hata Wajerumani hawamsemi vizuri Hitler lakini ukweli usiopingika kuwa Adolf ndio aliyoifanya German kuwa Kama ilivyo!

Germany is the one of the richest country in the Euro zone! Hata miji yake are well organized and plan na yote kwasababu ya Hitler! Kwani kabla ya Adolf Germany ilikuwa ni nchi ya kawaida na isiyojulikana duniani!

Ni kweli Pamoja na ukatili wa Hitler aliweza kuijenga Ujerumani katika mazingira magumu yaliyowekwa na Versailles treaty.
 
Pasco yupp sahihi dunia isingekuwa na hizi nchi mbili marekani na Israel dunia ingekuwa sehemu salama Sana kuishi
 
Kwa sasa habari ya mujini ni viungo vya binadamu huko Bunju,achana na Pasco kanjanja!!
 
Personally, natamani sana hawa wayahudi wapotezwe kabisa wakifwatia wanyarwanda.

Hata Rais wa zamani wa Irani Ahmednejad alishawahi kusema kabisa, taifa la israel lilitakiwa lipotezwe kwenye uso wa dunia

''Every One Has The Right To Do Stupid Things But You are Abusing that Privilege.''by A JF Member
 
Ni kweli Pamoja na ukatili wa Hitler aliweza kuijenga Ujerumani katika mazingira magumu yaliyowekwa na Versailles treaty.

lets change your statement this way...''Ni kweli Pamoja na ufisadi wa CCM imeweza kuijenga Tanzania Tulivu katika mazingira magumu yaliyowekwa na wanayopitia mpaka sasa.
 
Kama kweli pasco amesema hayo ni aibu kubwa sana kwake na kwa askofu mayala.
Moja ya makosa makubwa sana Hitler aliyoyafanya, na kuwabakiza baadhi ya hawa jamaa!,
walipaswa wote kabisa wawe wiped kwenye uso wa dunia ndipo amani ya kudumu ingepatikana enero la Mashariki ya Kati!.

Pasco.

Sijui kwa nini shetani anafuatikia sana kizazi cha watumishi. Ila kwa kifupi ni kwamba aliyewalinda Israel ndiye aliyemlinda pasco kwenye ajari ya piki piki Dom. It's the same God. Waisrel wangekuwa wiped na wewe tusingekuwa nawe my friend
''Racism is man's gravest threat to man - the maximum of hatred for a minimum of reason.''-Abraham Joshua Heschel

''Racism springs from the lie that certain human beings are less than fully human. It's a self-centered falsehood that corrupts our minds into believing we are right to treat others as we would not want to be treated.''-Alveda King

''Racism is beyond common sense and has no place in our society''-.Steven Patrick Morrissey

''You don't fight racism with racism, the best way to fight racism is with solidarity.''Bobby Seale
 
Ee bwana ee! Pasco wa JF uko wapi unasutwa huku!
 
Last edited by a moderator:
Sina imani na Pasco;
Kuna wakati nalalamika juu ya kukosekana kwa maji ubungo Pasco alijitapa kwamba alipotembelewa na mbunge alitoa hela
zote za kwenye droo akampa Pasco anatuuzia maji kwa bei kubwa); Pasco sina imani na wewe; Huna uchungu na wananchi;
unaweza kutuangamiza kwa uandishi wako pia.
 
Last edited by a moderator:
b79df716ff3bbd4d0f6f243d0d79be52.jpg
images
 
Ningemshauri pasco auignore huu uzi

hauna tija zaidi ya kumweka kwenye spotlight bila sababu

he gave personal opinion unless we decide to drill every comment that we make, i dont see the need for him to respond to this one

Your final observation should be used to respond to your very own questions to pasco... we learn nothing from history

Do you real learn nothing from history?
 
Back
Top Bottom