Pasco - Unawezaje kusema maneno kama haya ?

Pasco - Unawezaje kusema maneno kama haya ?

jebibay

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2012
Posts
1,431
Reaction score
642
Nilikuwa napitia posts hapa JF na nikakutana na hii statement aliyoitoa Pasco (rangi nyekundu hapa chini)....I was shocked !.

" Moja ya makosa makubwa sana Hitler aliyoyafanya, na kuwabakiza baadhi ya hawa jamaa!, walipaswa wote kabisa wawe wiped kwenye uso wa dunia ndipo asamani ya kudumu ingepatikana enero la Mashariki ya Kati "


Pasco wewe hapa JF, kwa watu wengi unajulikana ni mtu mwenye upeo mkubwa na vile vile kama sijakosea ni mwandishi wa habari. Kama mtu kama wewe ambaye kwa uelewa wako, utakuwa unajua genocides zote huwa zinaanza na propaganda za chuki na hatimaye zinawaingia watu mpaka wanakuwa kama wanyama na kuanza kuua watu wengine kwa sababu tu ya race zao, unawezaje kusema maneno kama haya !!!????

Miaka kama kumi hivi iliyopita, kuna wakati fulani, nilispend kama week nzima kusoma history ya vita kuu ya pili na niliposoma mauaji aliyokuwa anayafanya Hitler ya kuchukua watu na kuwaingiza kwenye gas chambers na kuua mamilioni ya watu kwa njia hiyo, nikajaribu kujiuliza, Hitler aliwezaje kuwashawishi na kuwafanya wajerumani wakubali kuwa wanyama kiasi hiki !. Lakini leo nilipoona statement yako hii, nikawaza, kama mtu kama Pasco anaweza akatamka maneno kama hayo, then kitu kama hiki kikianza kutokea duniani atakisupport na kama mtu wa uelewa wako Pasco atasupport kitu kama hiki, mbona ni rahisi kwa wengine wenye uelewa mdogo kukitekeleza....Probably hata wewe unaweza ukajikuta uko mstari wa mbele kutekeleza.....Ndio maana kwa wajerumani sasa hivi, manano kama hayo uliyoyasema yangekupeleka selo ! Wanajua problem ya statement za chuki kwani wame-experience first hand, na mpaka sasa hivi, wengi wao bado wana wakati mgumu kui-face history yao kama taifa !

Hakuna mtu anayezaliwa mnyama, tunabadilika na kuwa kama wanyama kwa kudharau vitu vidogo kama hivi na kutojifunza kutokana na history ! Baada ya hitler, bado genocides zimeendelea kutokea duniani (mojawapo ni kwa majirani zetu Rwanda) na kwa mtindo kama wa kwako Pasco ninalazimaka kwa masikitiko makubwa kuamini kwamba zitatokea tena na tena na tena.....

Wakati wewe, unafurahia kwamba Hitler alijitahidi kuangamiza race fulani hapa duniani, na wakati huo huo kusikitika kwamba alishindwa kumaliza kazi, Wajerumani, ambao Hitler alikuwa kiongozi wao, wameweka sheria kwamba kumshabikia hitler ni kosa kubwa kwa mujibu wa sheria zao !

Kwa kweli leo nimeamini usemi huu maarufu : "We learn from history that we never learn anything from history".


-----------------

Update - (Baada ya kupitia comments za wadau waliochangia)

Inatia moyo kuona watu wengi katika mjadala huu, hawakubaliani kabisa na maneno ya hatari aliyoyasema Pasco.

Ni ukweli ulio dhahiri, kwamba watu walioshiriki katika mauaji ya kimbari, ni watu wa kawaida kabisa kama wewe na mimi....ni engineers, journalists, soldiers, wamachinga, doctors, politicians etc, watu wenye familia zao, kama wengi wetu tulivyo. Kwa hiyo sisi kama watanzania hatuko immune kwa hatari kama hii...siku zote inaanza na propaganda za chuki na hizi zikishawaingia watu vizuri, kinachobaki ni kuingia madarakani kwa viongozi wenye nia ya kufanya hivyo na kuweka mipango, pamoja na kufanya uhamasishaji !

Tupinge hate speech na ubaguzi wa aina yeyote ile kwa nguvu zote. Ni hatari sana !

Ingawa Pasco hajasema chochote lakini naona ametumia muda wake mwingi kusoma karibia comments zote zilizotolewa. I hope atakuwa ameona hatari ya kauli yake hiyo na hatakuwa mtu tena wa kupromote vitu kama hivi na badala yake atakuwa mstari wa mbele kuvipinga.

Kuna quates nzuri ambazo Tyta amezishare kwenye moja ya posts zake, na mimi nimeona ni vyema niziweke hapa :

''Racism is man's gravest threat to man - the maximum of hatred for a minimum of reason.''-Abraham Joshua Heschel

''Racism springs from the lie that certain human beings are less than fully human. It's a self-centered falsehood that corrupts our minds into believing we are right to treat others as we would not want to be treated.''-Alveda King

''Racism is beyond common sense and has no place in our society''-.Steven Patrick Morrissey

''You don't fight racism with racism, the best way to fight racism is with solidarity.''Bobby Seale



Pia, kuna ushauri mzuri alioutoa Masanja kwa Pasco na ingawa najua Pasco atakuwa ameusoma, nimeona ni vyema niuweke hapa kwa msisitizo na kwa ajili ya wengine wote ambao kwa namna moja au nyingine hawatausoma :

Genocide and mass atrocities have no place in the 21 century. two wrongs dont make a right. Ukiwa-ua (Almighty forbid) waisrael-as one claims..watakuja wengine wakorofi. Utajistukia unabaki mwenyewe kwenye hii dunia.

The world is the way it is. We should learn to co-exist. We should celebrate our differences and diversity. We should ALWAYS know that as humans we are endowed with diferrent ways of seeing things and it is these differences that enriches us.

Pasco, I respect your right to opinion and freedom of expression. But people like you should be bit sensitive with what you write here or there. Tomorrow, you might be called upon to assume higher responsbility in our Republic. What if these comments surfaces? utakimbia maneno yako? what if kesho uitwe kutestify somewhere...my friend haya maneno may catch up with you.... My friend be careful brother. Kuna watu ukiona wameandika maneno kama haya..huwezi stuka..well..they are usual suspects. But not you my dear friend.

Dunia ya sasa na challenges mbali mbali tunazopitia (vita, njaa, magonjwa, chuki nk) huwezi uka-advocate violence as a means to tackle them. Such atitude and way of thinking are reserved for losers and defeated who tend to see things in colours of religions, race/ukabila/ukanda nk. Ndo maana kwenye siasa zetu..watu tumeshakuwa bigots bila kujua...hata watu unaowaheshimu..wakiona mijadala ya dini related...uwezo wao wa kufikiria unahama...ndo maana mijadala kama hii..haiwezi kujadiliwa kwa tija..kwa sababu we already have camps..wao..na sisi...as a result kila mtu anayaona mambo anavyotaka kuyaona....na wala si kiuhalisia.

I for one, namuelewa vema kabisa mleta mada. He brought it with good intention. And the message is imple: Dont advocate violence as a means to resolve differences. Genocide is a crime which should be condemned by all humans.

 
Haya Pasco njoo utetee hoja yako hapa.
 
Last edited by a moderator:
Hivi Pasco ana itikadi gani?maana haeleweki huyu jamaa.
 
Last edited by a moderator:
Ningemshauri pasco auignore huu uzi

hauna tija zaidi ya kumweka kwenye spotlight bila sababu

he gave personal opinion unless we decide to drill every comment that we make, i dont see the need for him to respond to this one

Your final observation should be used to respond to your very own questions to pasco... we learn nothing from history
 
Ila jews wana matatizo yao labda ume convince mtu asiyejua history na information kuhusu mashariki ya kati,hata Obama(personally bila ku be affected na national policy) atakuambia hawa watu ni problematic
 
Ningemshauri pasco auignore huu uzi

hauna tija zaidi ya kumweka kwenye spotlight bila sababu

he gave personal opinion unless we decide to drill every comment that we make, i dont see the need for him to respond to this one

Your final observation should be used to respond to your very own questions to pasco... we learn nothing from history
Hata kama ni personal opinion! Bado amechemka. Hivi unawezaje kuwaza binadamu mwenzako aangamizwe as if hana Haki ya kuishi kama wewe???
Hayo mawazo yake yamekuwa ya kijinga mno!
 
Pasco ni mviziaji tu! Nimemsoma na kumsikiliza tokea zama zake zile za Kitimoto, anaenda upande upepo unapovumia, ila ninachompenda ni kuwa huwa hana aibu kuomba msamaha, atakuja hapa soon
 
Last edited by a moderator:
Ndio waandishi watu wa habari hao, kila kitu ni ushabiki tu.
 
Hata kama ni personal opinion! Bado amechemka. Hivi unawezaje kuwaza binadamu mwenzako aangamizwe as if hana Haki ya kuishi kama wewe???
Hayo mawazo yake yamekuwa ya kijinga mno!
sina cha kujibu... endelea na hoja ila naomba paso asijibu kabisa
 
Pasco ni mviziaji tu! Nimemsoma na kumsikiliza tokea zama zake zile za Kitimoto, anaenda upande upepo unapovumia, ila ninachompenda ni kuwa huwa hana aibu kuomba msamaha, atakuja hapa soon

Lakini ni vizuri mno mtu ukawa na msimamo unaoeleweka Hii itaepusha mambo mengi ikiwemo kupewa majina ya ajabu ajabu all in all tuko jamvini ambamo kuna watu wa kila aina wa kila daraja na kila mtazamo tunaposoma kila kitu humu ndani tujipe muda wa kutafakari kabla hatujaamua kujibu, kwa njia hii tutajikuta tunaona vitu vingi katika uhalisia wake na si kimeandikwa nini au kaandika nani au nani kajibu nini
 
Last edited by a moderator:
Pasco huwa nakwaminia coments zako lakini kwa hili huelewi ulichosema!!
Soma book the strugle for EUrope! Hitler hakuwa na sababu ya maana kuwauwa Wayahudi zaidi ya wivu tuu!!
Wewe unasuport idealorodge ya wivu, kuna mambo mengi yamejificha ya chuki dhidi ya Wayahudi!!
Wanabidi wajitetee hakuna jinsi, huwezi kuwafuta Wayahudi maana ni wana wa Mungu aliye hai!!
Ukiwalaani unalaaniwa, ukiwabariki unabarikiwa, hiyo ni given, ask the Americans!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom