Pasco - Unawezaje kusema maneno kama haya ?

Pasco - Unawezaje kusema maneno kama haya ?

Ningemshauri pasco auignore huu uzi

hauna tija zaidi ya kumweka kwenye spotlight bila sababu

he gave personal opinion unless we decide to drill every comment that we make, i dont see the need for him to respond to this one

Your final observation should be used to respond to your very own questions to pasco... we learn nothing from history
muslimpeace.jpg
 
Kwani Pasco ni nani peke yake uone comment mbaya toka kwake?

Personally, natamani sana hawa wayahudi wapotezwe kabisa wakifwatia wanyarwanda.

Hata Rais wa zamani wa Irani Ahmednejad alishawahi kusema kabisa, taifa la israel lilitakiwa lipotezwe kwenye uso wa dunia
 
Last edited by a moderator:
Pasco ametoa maoni yake na wewe toa maoni yako na mwingine atoe maoni yake!Ndiyo maana ya mjadala na hii ni public forum.Hatuwezi kuwa na mawazo sawa wote,tutakuwa machizi.

Nenda kwenye thread husika um"quote" Pasco ataona notification atakuja kukujibu na kukuelezea mantiki yake.

Pia ukumbuke Pasco yule mshkaji mara nyingine huwa ana mizaha na sometimes anakuwa serious.Ni vizuri ukasoma mood yake kwenye hiyo topic na je ilikuwa comment ya kwanza au kuna zingine za nyuma yake kwenye hiyo thread na alisemaje.Otherwise Pasco yuko poa sana tu.....!
 
Hata kama ni personal opinion! Bado amechemka. Hivi unawezaje kuwaza binadamu mwenzako aangamizwe as if hana Haki ya kuishi kama wewe???
Hayo mawazo yake yamekuwa ya kijinga mno!
Tumsamehe kaamuka na viroba
 
Subiri ndugu yangu, unaweza ukawa na opportunity ya kushiriki genocides in the future ! Wenzako waliokuwa wanatamani kufanya hivyo (Wajerumani, Wahutu etc) na wakatekeleza wanajuta, na wewe unashabikia ubaguzi tena katika ulimwengu huu ambapo sasa hivi racism inapigwa vita sana (hata kombe la dunia walisema statements za kupinga)....Inashangaza sana !

Na hii ndio kama nilivyombia Pasco, watu kama nyie mnachosubiri ni uhamishaji tu, na believe me akitokea mtu mwenye idealogy kama za Hitler akachukua madaraka na akawahamasha, mtaanza kuua watu !

Ndugu yangu, ubaguzi ni kitu kibaya sana....unaweza ukawa na madhara makubwa kwako kuliko hata yule unayemchukia !

Kwani Pasco ni nani peke yake uone comment mbaya toka kwake?

Personally, natamani sana hawa wayahudi wapotezwe kabisa wakifwatia wanyarwanda.

Hata Rais wa zamani wa Irani Ahmednejad alishawahi kusema kabisa, taifa la israel lilitakiwa lipotezwe kwenye uso wa dunia
 
Hata kama ni personal opinion! Bado amechemka. Hivi unawezaje kuwaza binadamu mwenzako aangamizwe as if hana Haki ya kuishi kama wewe???
Hayo mawazo yake yamekuwa ya kijinga mno!

What a breakdown.
 
Pasco ni mviziaji tu! Nimemsoma na kumsikiliza tokea zama zake zile za Kitimoto, anaenda upande upepo unapovumia, ila ninachompenda ni kuwa huwa hana aibu kuomba msamaha, atakuja hapa soon

Pasco mzee wa totoz, weka mbali na demu wako!
 
Last edited by a moderator:
Nimejaribu sana kutokuegemea kwenye mjadala wa wayahudi na wapalestina, na nisingependa kwenda huko kwa sasa hivi, kwa sababu kadhaa, mojawapo ikiwa kwamba posts zenye majadiliano kuhusiana na mgogoro huu zimekuwa zikifungwa hapa JF !

Nilichostushwa na kukisema kwenye post yangu, ni kitendo cha mtu kama Pasco kusema kitu kama hiki. Hakuna justification YEYOTE narudia YEYOTE katika dunia hii, mtu anayoweza kuitumia kuchukia au kuhalalisha mauaji ya race nzima ya watu wengine ! Nani hapa duniani ameamua azaliwe race fulani !? Hata wewe ungeweza kuwa myahudi !

Hichi ndicho alichokuwa anakipigania Martin Luther King Jr na moja ya statement kwenye speech yake ya "...I have the dream..." ni kwamba ni matarajio yake kwamba watoto wake siku za baadaye watahukumiwe kwa character zao na si kwa rangi ya ngozi zao.....Pasco kwa statement yake hiyo anahukumu watu kwa race yao na hapo ana-include hata watoto wachanga !.

Unaposema wayahudi hawastahili/hawana haki ya kuishi duniani, una-include wayahudi wote ambao ni pamoja na hawa wafuatayo :

- Yesu Kristo
- Musa
- Joshua
- Mfalme Suleiman
- Mfalme Daudi

na wengine wengi.....

Hiyo ndio nguvu ya chuki au ubaguzi (racism) ! Inakufanya uchukie race nzima na unaweza kufanya kama alivyofanya Hitler na watu wake, uchukie watu mpaka uamue kuwaua hadi watoto wadogo kabisa kwa kuwatupia kwenye gas chambers !

Hii haikubaliki kwa sababu ZOZOTE zile !

I believe Jews are the most racist creatures on the planet (including Jesus Christ if he was actually a Jew). And do you think Jesus Christ practiced Judaism? Ukisoma vizuri, hoja yako imechagizwa na udini, mistakenly thinking Christianity is under attack when people criticizes Israel. Take note that Benyamin Netanyahu and other Jews don't give a damn about Christianity, let alone Jesus Christ. Israel-Palestine conflict is less a religious conflict than a land conflict. You will certainly make another mistake to think that I am condoning genocide here. And I leave you with this piece (hope you will read it): http://www.wrongingrights.com/2014/07/wtf-friday-7182014.html
 
Hata kama ni personal opinion! Bado amechemka. Hivi unawezaje kuwaza binadamu mwenzako aangamizwe as if hana Haki ya kuishi kama wewe???
Hayo mawazo yake yamekuwa ya kijinga mno!

kwa hiyo mtu kusapot mauaji ya jews ni mjinga ila wanaosapot ya waplestina wako sawa iv kinachofanyika gaza amkioni
 
It's pretty simple HAMAS. Stop
using tunnels to get into Israel!
Stop throwing missles at them and expecting no retaliation! Stop using people as human shields when Israel strikes in RETALIATION!

Ndugu inaonekana muaminifu sana kwa hizi western media statement's 1 . are u serious believe kwa Israel are attacking pelestine territory sababu ya hamas kutumia tunel? So far raia zaidi wakiwemo na watoto wameshauwawa tena majumbani 2 . usage of people as human shield swali je, ndg unajua ukubwa na idadi ya waishio gaza? For your information gaza is most populated town in the world! Na ilo Israel wanalifahamu wanashambulia wakijua wanakwenda kuua raia
 
Mi binafsi nilikuwa namkubali sana pasco japokuwa tunatofautiana mitazamo ya vyama vya siasa mi in chadema yeye ni km Kwa magamba., but nilimdharau sana pasco alipo mtetea Steven masele na kumuita shujaa wa kisukuma., nilishangaa sana inamaana pasco hajui mambo ya diplomatic, au immunity granted to the ambassador na mambo ya foreign affairs., huwezi kumdis balozi kitoto vile bungeni alafu ukaitwa shujaa wa kisukuma. Pasco ulitutukana sana sisi wasukuma kwamba ni mashujaa wa kulopoka. Alichofanya masele ule ni ulopokaji.,not hero that was stupi..dness
 
Kwa kweli Jews wanamatatizo sio siri..

Hata mimi huwa naona hawa jamaa wana matatizo!! Ila cha kushangaza hakuna anayewaweza tena wamekaa katikati ya Waarab maadui zao!! Lazima wana kitu cha ziada ambacho waarabu hawana uwezo dhidi yake!! Labda unyama waliofanyiwa na Hitler umekuwa chachu ya jinsi walivyo leo!
 
Kwani Pasco ni nani peke yake uone comment mbaya toka kwake?

Personally, natamani sana hawa wayahudi wapotezwe kabisa wakifwatia wanyarwanda.

Hata Rais wa zamani wa Irani Ahmednejad alishawahi kusema kabisa, taifa la israel lilitakiwa lipotezwe kwenye uso wa dunia

Waarabu wote wameshindwa kuwapoteza Jews siyo Iran, Iraq, Afghanstan na hata wakiungana wameshindwa!! Wamebaki "kutamani tu" kama wewe!!
 
Last edited by a moderator:
Maybe hitler was right ...I'm just saying, Waisrael hawataki amani period,Wameshika siasa za marekani, uchumi wa dunia na media na wana amini they're super human being mtu yoyote mweusi kuwashabikia Israel ni mpuuzi wa kutupwa! We all knows Jews don't like us nikujipendekeza tu.
 
wanacho fanya waisrael kwa waarabu ni sawa alicho wafanyia wao Hitler, kwanini wanawaua watotohuko Gazza? Duniani tunataka haki itamalaki. Alicho fanya PASCO ni kuamsha mjadala tu.essentially usicho penda wewe kufanyiwa usimfanyie mwenzio bila kujali rangi. kabila au ujirani kijiografia n.k
 
Kwani
Pasco ni nani peke yake uone comment mbaya toka
kwake?

Personally, natamani sana hawa wayahudi wapotezwe kabisa wakifwatia
wanyarwanda.

Hata Rais wa zamani wa Irani Ahmednejad alishawahi kusema kabisa, taifa
la israel lilitakiwa lipotezwe kwenye uso wa dunia

Mimi nasema hawa wapalestina wapigwe tu maana tumechoka.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom