The Tanzania paradox: A nation at a crossroads

britanicca

Platinum Member
Joined
May 20, 2015
Posts
18,195
Reaction score
48,317
I am plunged into profound dubiety as to whether the Tanzania to which we presently aspire, or indeed the one we had erstwhile envisaged to erect, is verily the one that presently manifests itself before our eyes, alas.

However, should thou abide in tranquility and patient composure, it shall not be long ere a Catholic ascendeth to steer the helm of the state.

Britanicca
 
Kwa wale wa kidumu na mfagio ,tafsiri yake ni hii:

Nimezama katika mashaka makubwa kuhusu iwapo Tanzania tunayoiota na kuitamani kwa sasa, au hata ile tuliyokuwa tumeikusudia kuijenga hapo awali, ndiyo hasa hii inayojidhihirisha mbele ya macho yetu kwa sasa. Lo!

Hata hivyo, ikiwa utaendelea kuwa mtulivu na mwenye subira, haitachukua muda mrefu kabla ya Mkatoliki kupanda na kushika usukani wa uongozi wa nchi.

Huwa nasubiri tafsiri yako, ninachokifanya naangalia vimaneno vichache navyookota nahusianisha then najua "hapa hatujapigwa"

Cha msingi ni "tuwe watulivu hadi lini"? Maana Binadamu ana kikomo cha utulivu
 
Huwa nawaambia vijana,usiandamane,kila kitu is under control!
Huwezi kuwa jasusi kuliko majasusi,usipofuata maelekezo unaliwa kichwa tu!
Tunapoenda ni karibu kuliko tulipotoka!!
 
Kwa wale wa kidumu na mfagio ,tafsiri yake ni hii:

Nimezama katika mashaka makubwa kuhusu iwapo Tanzania tunayoiota na kuitamani kwa sasa, au hata ile tuliyokuwa tumeikusudia kuijenga hapo awali, ndiyo hasa hii inayojidhihirisha mbele ya macho yetu kwa sasa. Lo!

Hata hivyo, ikiwa utaendelea kuwa mtulivu na mwenye subira, haitachukua muda mrefu kabla ya Mkatoliki kupanda na kushika usukani wa uongozi wa nchi.

Britanicca
Afadhali mkuu
 
I am plunged into profound dubiety as to whether the Tanzania to which we presently aspire, or indeed the one we had erstwhile envisaged to erect, is verily the one that presently manifests itself before our eyes, alas.

However, should thou abide in tranquility and patient composure, it shall not be long ere a Catholic ascendeth to steer the helm of the state.

Britanicca
This is sheer madness!
The whole thing is convoluted to make sense out of it!
 
The last paragraph,I repeated three times till it sunk deep!

A Catholic,will ascend to the throne to steer the ship to a shore!
Am waiting patiently to see how the transition could be!!

(Vyuma vitakazwa sana)
Upumbavu unaanzia kwenye akili mbovu za aina hiyo uliyonayo wewe.

After all, there's no "last paragraph", unless you meant to refer to the last sentence!
 
Kwa wale wa kidumu na mfagio ,tafsiri yake ni hii:

Nimezama katika mashaka makubwa kuhusu iwapo Tanzania tunayoiota na kuitamani kwa sasa, au hata ile tuliyokuwa tumeikusudia kuijenga hapo awali, ndiyo hasa hii inayojidhihirisha mbele ya macho yetu kwa sasa. Lo!

Hata hivyo, ikiwa utaendelea kuwa mtulivu na mwenye subira, haitachukua muda mrefu kabla ya Mkatoliki kupanda na kushika usukani wa uongozi wa nchi.

Britanicca
Ngoja niseme neno kuhusu kazi yako hii, bila ya kuhusisha kilichoandikwa ndani yake.
Ni wazi moja kwa moja kwamba hii ni kazi unayoifahamu vizuri sana.

Pangekuwepo na Akili Unde ya Kiswahili ningesema umepata msaada huko.
 
I am plunged into profound dubiety as to whether the Tanzania to which we presently aspire, or indeed the one we had erstwhile envisaged to erect, is verily the one that presently manifests itself before our eyes, alas.

However, should thou abide in tranquility and patient composure, it shall not be long ere a Catholic ascendeth to steer the helm of the state.

Britanicca
A country on transition

Mengine mbwembwe
 
I am plunged into profound dubiety as to whether the Tanzania to which we presently aspire, or indeed the one we had erstwhile envisaged to erect, is verily the one that presently manifests itself before our eyes, alas.

However, should thou abide in tranquility and patient composure, it shall not be long ere a Catholic ascendeth to steer the helm of the state.

Britanicca

Mhii hiki kingereza cha bible hatari
 
Back
Top Bottom