Pasco - Unawezaje kusema maneno kama haya ?

Pasco - Unawezaje kusema maneno kama haya ?

Ila jews wana matatizo yao labda ume convince mtu asiyejua history na information kuhusu mashariki ya kati,hata Obama(personally bila ku be affected na national policy) atakuambia hawa watu ni problematic

It's pretty simple HAMAS. Stop
using tunnels to get into Israel!
Stop throwing missles at them and expecting no retaliation! Stop using people as human shields when Israel strikes in RETALIATION!
 
Nilikuwa napitia posts hapa JF na nikakutana na hii statement aliyoitoa Pasco (rangi nyekundu hapa chini)....I was shocked !.

" Moja ya makosa makubwa sana Hitler aliyoyafanya, na kuwabakiza baadhi ya hawa jamaa!, walipaswa wote kabisa wawe wiped kwenye uso wa dunia ndipo asamani ya kudumu ingepatikana enero la Mashariki ya Kati "


Pasco wewe hapa JF, kwa watu wengi unajulikana ni mtu mwenye upeo mkubwa na vile vile kama sijakosea ni mwandishi wa habari. Kama mtu kama wewe ambaye kwa uelewa wako, utakuwa unajua genocides zote huwa zinaanza na propaganda za chuki na hatimaye zinawaingia watu mpaka wanakuwa kama wanyama na kuanza kuua watu wengine kwa sababu tu ya race zao, unawezaje kusema maneno kama haya !!!????

Miaka kama kumi hivi iliyopita, kuna wakati fulani, nilispend kama week nzima kusoma history ya vita kuu ya pili na niliposoma mauaji aliyokuwa anayafanya Hitler ya kuchukua watu na kuwaingiza kwenye gas chambers na kuua mamilioni ya watu kwa njia hiyo, nikajaribu kujiuliza, Hitler aliwezaje kuwashawishi na kuwafanya wajerumani wakubali kuwa wanyama kiasi hiki !. Lakini leo nilipoona statement yako hii, nikawaza, kama mtu kama Pasco anaweza akatamka maneno kama hayo, then kitu kama hiki kikianza kutokea duniani atakisupport na kama mtu wa uelewa wako Pasco atasupport kitu kama hiki, mbona ni rahisi kwa wengine wenye uelewa mdogo kukitekeleza....Probably hata wewe unaweza ukajikuta uko mstari wa mbele kutekeleza.....Ndio maana kwa wajerumani sasa hivi, manano kama hayo uliyoyasema yangekupeleka selo ! Wanajua problem ya statement za chuki kwani wame-experience first hand, na mpaka sasa hivi, wengi wao bado wana wakati mgumu kui-face history yao kama taifa !

Hakuna mtu anayezaliwa mnyama, tunabadilika na kuwa kama wanyama kwa kudharau vitu vidogo kama hivi na kutojifunza kutokana na history ! Baada ya hitler, bado genocides zimeendelea kutokea duniani (mojawapo ni kwa majirani zetu Rwanda) na kwa mtindo kama wa kwako Pasco ninalazimaka kwa masikitiko makubwa kuamini kwamba zitatokea tena na tena na tena.....

Wakati wewe, unafurahia kwamba Hitler alijitahidi kuangamiza race fulani hapa duniani, na wakati huo huo kusikitika kwamba alishindwa kumaliza kazi, Wajerumani, ambao Hitler alikuwa kiongozi wao, wameweka sheria kwamba kumshabikia hitler ni kosa kubwa kwa mujibu wa sheria zao !

Kwa kweli leo nimeamini usemi huu maarufu : "We learn from history that we never learn anything from history".
Kabla haujamchambua Pasco ulitakiwa kufahamu kwa nini alitoa hiyo kauli.

Labada nikuulize wewe unyama wanaofanyiwa Palestine na Israel wewe huoni kama tatizo wala Israel wanafanya ushenzi.

Hivi unaona maiti za watoto mitaa gaza zilivyotapakaa.
 
Last edited by a moderator:
Kabla haujamchambua Pasco ulitakiwa kufahamu kwa nini alitoa hiyo kauli.

Labada nikuulize wewe unyama wanaofanyiwa Palestine na Israel wewe huoni kama tatizo wala Israel wanafanya ushenzi.

Hivi unaona maiti za watoto mitaa gaza zilivyotapakaa.

Nilijua tu kuwa lazima uubadili mjadala uegemee kwenye udini!
 
Last edited by a moderator:
Waizrail wako sahihi kabisa. Imekuwa tabia kwa hawa wazee wa jìhad popote duniani ktk harakat zao kushambulia maeneo ya umma na kuuwa wa2 wasio na hatiya, Hamas, boko haram, al qaeda, ansardin, alshabab n.k pia wanafanya ivo sasa ngoja wayahudi wawaonjeshe ladha ya udhalimu waliozowea kuwafanyia watu wengne. Dawa ya chizi ni kuwa chiz zaid yake.
 
Nimejaribu sana kutokuegemea kwenye mjadala wa wayahudi na wapalestina, na nisingependa kwenda huko kwa sasa hivi, kwa sababu kadhaa, mojawapo ikiwa kwamba posts zenye majadiliano kuhusiana na mgogoro huu zimekuwa zikifungwa hapa JF !

Nilichostushwa na kukisema kwenye post yangu, ni kitendo cha mtu kama Pasco kusema kitu kama hiki. Hakuna justification YEYOTE narudia YEYOTE katika dunia hii, mtu anayoweza kuitumia kuchukia au kuhalalisha mauaji ya race nzima ya watu wengine ! Nani hapa duniani ameamua azaliwe race fulani !? Hata wewe ungeweza kuwa myahudi !

Hichi ndicho alichokuwa anakipigania Martin Luther King Jr na moja ya statement kwenye speech yake ya "...I have the dream..." ni kwamba ni matarajio yake kwamba watoto wake siku za baadaye watahukumiwe kwa character zao na si kwa rangi ya ngozi zao.....Pasco kwa statement yake hiyo anahukumu watu kwa race yao na hapo ana-include hata watoto wachanga !.

Unaposema wayahudi hawastahili/hawana haki ya kuishi duniani, una-include wayahudi wote ambao ni pamoja na hawa wafuatayo :

- Yesu Kristo
- Musa
- Joshua
- Mfalme Suleiman
- Mfalme Daudi

na wengine wengi.....

Hiyo ndio nguvu ya chuki au ubaguzi (racism) ! Inakufanya uchukie race nzima na unaweza kufanya kama alivyofanya Hitler na watu wake, uchukie watu mpaka uamue kuwaua hadi watoto wadogo kabisa kwa kuwatupia kwenye gas chambers !

Hii haikubaliki kwa sababu ZOZOTE zile !


Kabla haujamchambua Pasco ulitakiwa kufahamu kwa nini alitoa hiyo kauli.

Labada nikuulize wewe unyama wanaofanyiwa Palestine na Israel wewe huoni kama tatizo wala Israel wanafanya ushenzi.

Hivi unaona maiti za watoto mitaa gaza zilivyotapakaa.
 
Kama kweli pasco amesema hayo ni aibu kubwa sana kwake na kwa askofu mayala. Sijui kwa nini shetani anafuatikia sana kizazi cha watumishi. Ila kwa kifupi ni kwamba aliyewalinda Israel ndiye aliyemlinda pasco kwenye ajari ya piki piki Dom. It's the same God. Waisrel wangekuwa wiped na wewe tusingekuwa nawe my friend
 
pasco kiukweli uko sawa hawa jamaa ni wasumbufu hata mussa walimsumbua kupita kiasi ndio laana wanaipata hadi hii leo
 
Kabla haujamchambua Pasco ulitakiwa kufahamu kwa nini alitoa hiyo kauli.

Labada nikuulize wewe unyama wanaofanyiwa Palestine na Israel wewe huoni kama tatizo wala Israel wanafanya ushenzi.

Hivi unaona maiti za watoto mitaa gaza zilivyotapakaa.

unazidi unyama wa boko haram, al shabaab, al qaeda?
 
Sio wote waliomsumbua Musa, mmojawapo ninayemjua for sure ambaye hakumsumbua ni Joshua !

Unapoongelea race nzima kumbuka na Musa naye, pamoja na Joshua na wengine wengi pamoja na Yesu Kristo wote unakuwa umewa-include.

Unataka kuniambia wewe ni mzuri kuliko Joshua ? Yeye alikuwa Myahudi na wewe unaonekana si Myahudi na kwa sababu hiyo unajiona wewe ni better (si msumbufu - kwa maneno yako) kama walivyo wayahudi !

Haikubaliki KABISA kubagua watu kwa race, rangi na vitu kama hivyo.....



pasco kiukweli uko sawa hawa jamaa ni wasumbufu hata mussa walimsumbua kupita kiasi ndio laana wanaipata hadi hii leo
 
Back
Top Bottom