Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 17,065
- 18,419
Ndo maana alilia akasema wajumbe si watu wazuri.Mtu makini anaweza kupata Kura Moja?
Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Ndo maana alilia akasema wajumbe si watu wazuri.Mtu makini anaweza kupata Kura Moja?
Hata BBC hajawahi fika Huyo tvt na dtv na Chanel tenMifano yako ni mfu, hasa huo wa Messi, Naona unamkuza sana Mayala hivi ni chombo gani cha habari kikubwa dunia hii alichowai kufanya kazi Mayala mpaka useme kua kaporomoka, mpqka useme kua Messi kutoka barca kuja kuajiliwa yanga?
Yuko mubashara hivi sasa EA Radio akijinasibu kuwa atakuwa akihudhuria mara kwa mara kwa hicho Kipindi na kuahidi kuwa atakuwa pia ni Mwalimu kwa Waandishi wa Habari ( hasa Watangazaji wa Radio ) wasiojua Kutamka vyema maneno wakiwa Hewani.
Sasa anajiita Mwalimu na kaanza Kumkosoa Mtangazaji wa Kiume aliyekosea kutamka vyema neno Newcastle United na akamkosoa wa Kike aliyeshindwa kutamka vyema neno Kisimbuzi.
Anafanya Utangazaji wa Kiualimu hasa.
Na kuamka na nguvu mpyaUsichague kazi , utalala njaa
Alipotoka kuhojiwa na kamati ya Ndugai sijui aliambiwa nini baadae alirudi na mapambio ya kuabudu kusifu akadondokea kwa wajumbe
Ujumbe mzuri sana huu, ni nadra kupata maneno yenye mafunzo kama hayaUsimcheke mwezio anayepitia magumu maishani.
Na maisha si mteremko muda wote, kuna kupanda na kushuka.
Mshukuru Mungu bado una afya na nguvu.
Magwiji wa vyombo vya habari kama Reginal Mengi wako wapi?
Je, kwa hali hii ina maana Tasnia ya Habari nchini imekuwa Kimafanikio au imeshuka na sasa imeanza kupoteza Umuhimu nchini?
Binafsi kwa Hadhi ya Unguli wa Habari aliokuwa nao Pascal Mayalla nilitegemea leo hii angekuwa anamiliki Chombo chake kikubwa sana cha Habari nchini Tanzania na siyo kuwa Mtangazaji Mchangiaji wa Kawaida mno EA Radio.
Mtu mwingine nae aliyenishtua na kuhisi huenda katika Tasnia kuna Tatizo linalohitaji Mjadala mpana ni baada ya kuona Mtangazaji Nguli Abdallah Majura kuachana na Media yake Kubwa tu Mkoani Dodoma na sasa anahangaika tu na Madaladala yake ya Gerezani - Tegeta na Ubungo SIMU 2000 - Tegeta huku muda mwingi akishinda nayo Gereji Bubu za Bunju kuyatengeneza na Kugombana tu na Mafundi nae akiwa chini ya Uvungu na Spana zake mdomoni na mikononi
Naomba ieleweke kwamba sisemi kuwa Pascal Mayalla kuwa Mtangazaji ni Dhambi ila Kimantiki ukisikia Mchezaji Lionel Messi ameacha Kucheza Mpira na akakubali Kuajiriwa na Yanga SC ya Tanzania kuwa Kit Manager ni lazima tu utashangaa na hata Kushtushwa pia.
Yuko mubashara hivi sasa EA Radio akijinasibu kuwa atakuwa akihudhuria mara kwa mara kwa hicho Kipindi na kuahidi kuwa atakuwa pia ni Mwalimu kwa Waandishi wa Habari ( hasa Watangazaji wa Radio ) wasiojua Kutamka vyema maneno wakiwa Hewani.
Sasa anajiita Mwalimu na kaanza Kumkosoa Mtangazaji wa Kiume aliyekosea kutamka vyema neno Newcastle United na akamkosoa wa Kike aliyeshindwa kutamka vyema neno Kisimbuzi.
Anafanya Utangazaji wa Kiualimu hasa.
Huna ukijuacho kuhusu Abdallah Idrisa Majura hivyo nakuomba tena haraka sana tu Kaa Kimya Ndugu sawa?Pascal Mayalla anapiga kazi sehemu 3 au zaidi mean income yake pia ni reasonable.
Abdalla Majura ameiachia management radio yake kule Dodoma amekuja kusimamisha biashara yake Daladala huku Dar ikisimama aghalabu atakuwa na na sources za income zaidi ya 2 au 3.
Wewe umekalia una source ngapi za income? Shituka mkuu maisha siyo kukariri!!!
Mkuu hiyo ni njia tu anapitia ili kuepuka dhahama aliyo nayo aseee, kwanini unadhani anakosa media ya kufanyia kazi au kuanzisha yake?Muda wote alipokuwa Hewani leo EA Radio kazi yake ilikuwa ni Kukosoa tu W Watangazaji sasa kama anajiona ni Nguli kwanini asianzishe tu Chuo chake cha Uandishi wa Habari ili awafunde vizuri huko huko Darasani? Anaboa....!!
Sawa Pascal Mayalla nimekuelewa sana.Mkuu hiyo ni njia tu anapitia ili kuepuka dhahama aliyo nayo aseee, kwanini unadhani anakosa media ya kufanyia kazi au kuanzisha yake?
Pengine si kuanzisha media house yake bali kwa nafasi aliyokuwa nayo hata investors wangeweza kuwekeza kupitia yeye ila sasa...
Jamaa kataitiwa sema wengi hamjui na hata hamuelewi means from my first comment.
Imakupa ugali Kg ngap kufuatilia maisha personal ya mtu?Huna ukijuacho kuhusu Abdallah Idrisa Majura hivyo nakuomba tena haraka sana tu Kaa Kimya Ndugu sawa?
Unavyofuatilia Maisha ya Hawara yako wa Kiume hadi Kumuendea kwa Waganga Chunya na Nanyumbu wakati unajua kuwa una Mumeo halali wa Ndoa huwa unapata Faida gani?Imakupa ugali Kg ngap kufuatilia maisha personal ya mtu?
Mkuu imekaaje hii?Toka amsababishie Erick Kabendera kufungwa mpaka kusababisha kifo cha mama yake ... Pascal national Rubbish tuu