Hiyo Kampuni ingekuwa na Hela na inamlipa angeshindwa Kupangisha pale Posta alipokuwepo kisha akaenda Kupangisha Chumba Kimoja cha Ofisi na akashindwa na sasa amebaki Kupuyangapuyanga tu kupiga hizo Deiwaka zake?Inamana kampuni yake ya PPR ishakufa tena kwa kukosa tenda? Mara ya kwanza kampuni ilibanmwa na awamu ya 5 ila baada ya kuunga juhudi ikarudi
Mwenye Akili huwa anasumbuka Kuisoma Mada ( Thread ) ya Yule asiye na Akili tena mpaka Kuimaliza yote na kupata hata muda wa Kuijibu? Kuna Watu mmerithishwa Upumbavu wa Koo zenu zote Mbili.Hv jamani, mkiandika mada, huwa akili hakuna kabisa?
Ni uongo Pascal Mayalla hakuwa mlamba viatu wa mwenda zake kama kina ciprian Musiba. Nadhani Pascal ni kati ya wasukuma wachache ambao hawakuwa upande 100% wa mwenda zake!!mwenda zake kaenda na ugali wake, kakosa tumaini sasa unadhan atafanyaje?
EA RADIO haipatikani kabisa Mbeya... For weeks!!Je, kwa hali hii ina maana Tasnia ya Habari nchini imekuwa Kimafanikio au imeshuka na sasa imeanza kupoteza Umuhimu nchini?
Binafsi kwa Hadhi ya Unguli wa Habari aliokuwa nao Pascal Mayalla nilitegemea leo hii angekuwa anamiliki Chombo chake kikubwa sana cha Habari nchini Tanzania na siyo kuwa Mtangazaji Mchangiaji wa Kawaida mno EA Radio.
Mtu mwingine nae aliyenishtua na kuhisi huenda katika Tasnia kuna Tatizo linalohitaji Mjadala mpana ni baada ya kuona Mtangazaji Nguli Abdallah Majura kuachana na Media yake Kubwa tu Mkoani Dodoma na sasa anahangaika tu na Madaladala yake ya Gerezani - Tegeta na Ubungo SIMU 2000 - Tegeta huku muda mwingi akishinda nayo Gereji Bubu za Bunju kuyatengeneza na Kugombana tu na Mafundi nae akiwa chini ya Uvungu na Spana zake mdomoni na mikononi
Naomba ieleweke kwamba sisemi kuwa Pascal Mayalla kuwa Mtangazaji ni Dhambi ila Kimantiki ukisikia Mchezaji Lionel Messi ameacha Kucheza Mpira na akakubali Kuajiriwa na Yanga SC ya Tanzania kuwa Kit Manager ni lazima tu utashangaa na hata Kushtushwa pia.
Yuko mubashara hivi sasa EA Radio akijinasibu kuwa atakuwa akihudhuria mara kwa mara kwa hicho Kipindi na kuahidi kuwa atakuwa pia ni Mwalimu kwa Waandishi wa Habari ( hasa Watangazaji wa Radio ) wasiojua Kutamka vyema maneno wakiwa Hewani.
Sasa anajiita Mwalimu na kaanza Kumkosoa Mtangazaji wa Kiume aliyekosea kutamka vyema neno Newcastle United na akamkosoa wa Kike aliyeshindwa kutamka vyema neno Kisimbuzi.
Anafanya Utangazaji wa Kiualimu hasa.
Mkuu MINOCYCLINE, a.k.a Cravi Maga, kwanza asante kunianzishia thread, mimi ni wale watangazaji wa zamani wa Nyerere type, ni watu ambao hatuna makuu, yaani down to earth, kwa sasa tayari nimeistaafu utangazaji, ila naendelea kufanya part time za utangazaji sehemu mbalimbali.Je, kwa hali hii ina maana Tasnia ya Habari nchini imekuwa Kimafanikio au imeshuka na sasa imeanza kupoteza Umuhimu nchini?
Binafsi kwa Hadhi ya Unguli wa Habari aliokuwa nao Pascal Mayalla nilitegemea leo hii angekuwa anamiliki Chombo chake kikubwa sana cha Habari nchini Tanzania na siyo kuwa Mtangazaji Mchangiaji wa Kawaida mno EA Radio.
Yuko mubashara hivi sasa EA Radio akijinasibu kuwa atakuwa akihudhuria mara kwa mara kwa hicho Kipindi na kuahidi kuwa atakuwa pia ni Mwalimu kwa Waandishi wa Habari ( hasa Watangazaji wa Radio ) wasiojua Kutamka vyema maneno wakiwa Hewani.
Sasa anajiita Mwalimu na kaanza Kumkosoa Mtangazaji wa Kiume aliyekosea kutamka vyema neno Newcastle United na akamkosoa wa Kike aliyeshindwa kutamka vyema neno Kisimbuzi.
Anafanya Utangazaji wa Kiualimu hasa.
Mkuu Wangari Maathai, naomba unitoe humu kwenye dustbin ulimoniweka, unipende tena ili jambo langu fulani liwe!.Mie toka aseme amegombea ubunge sijui wapi nikamuweka dustbin mapema sana..simpendi tena!ingawa najua kila mtu ana uhuru wa kuchagua apendacho ila tulipofikia ilikua hapana!🚮
Mabadiliko ya kweli ni yale yanayoanzia, from within and not from outside!, hivyo sometimes when you fight and lose every now and then, kuna wapambanaji, fighters wa aina mbili, wale ambao wamekula yamini ya fight fight fight to the very end, no retreat, no surrender, you fight to the very end, hadi risasi ya mwisho, na tone la mwisho la damu, na kuwa declared shujaa wa taifa, umelifia taifa lako, na kuna wapiganaji ambao hawapeleki majeshi vitani, mpaka kwanza wajue nguvu ya adui, na wakifika vitani, wakijiona wanazidiwa, wakiendelea tuu kupambana wataishia kuwa wiped out, hawa huwa ama wana retreat, kwenda kujipanga upya, ama wa surrender. Mimi nime surrender, I have used the formular of "if you can't beat them, join them", nimejiunga nao, na kufanya changes from within.Alipotoka kuhojiwa na kamati ya Ndugai sijui aliambiwa nini baadae alirudi na mapambio ya kuabudu kusifu akadondokea kwa wajumbe sijui Kijiji gani huko hapo ndio chanzo chake cha kupotea angeachana na uandishi wa habari za kiuchunguzi kile kipindi kuliko kuungana na madharimu...
Huyo mwenyewe ameikimbia jf.. kwa sababu ya nyuzi kama hizi.Mkuu Wangari Maathai, naomba unitoe humu kwenye dustbin ulimoniweka, unipende tena ili jambo langu fulani liwe!.
P
Mkuu Pep, kwa vile reputation is earned, and lost, I will earn it again kwenye fani nyingine!Kiukweli, kuna reputation Pasko aliipoteza miaka michache hapa nyuma.
And, ali disappoint watu wengi sana walioamini katika weledi wake, na namna alikua among very genuine and unbiased journalists in the country.
Kama kuna journalists walijua kusema hii ni nyeusi and full stop, basi ni Pasko.
Thanks for thisHata hivyo, simlaumu, I really feel for him.
Ni kweli miaka 5 ile... haikuwa rahisi!.Najua kukuru kakara amezipitia katika miaka 5 ya hayati, haikua rahisi kwake.
Its true I lost almost everything except, family and love,Ni kama alipoteza kila kitu alihangaikia katika career yake yote.
Yes vipo na kimowapo ni hiki Wana JF, niko mbele yenu kwa unyenyekevu kuomba baraka zenu & moral support yenu jambo langu hili liwe! Mniombee Mungu asaidie, awezeshe liwe!Pengine kuna mambo angeweza kuya handle better zaidi?
Jibu ni Yes or No, ingetegemea zaidi motive yake behind kufanya journalism ilikua ipi, kujipatia kipato kwanza then passion ya kazi later or the vice versa.
Thanks for respect, much respect.All in all, he still got my respek.
Mkuu KeyserSoze, asante kwa hii.Tatizo wengi hawajui maana ya neno mafanikio..
Je mafanikio ni Pesa ?
Je mafanikio yanapimwa na wewe binafsi au jamii inavyotaka ?
In short mafanikio ni kufanikisha kile ulichokianza (kwahio kama unamuita nguli inamaanisha alishafanikiwa kwenye kile alichokifanya) jambo ambalo majority wanakufa hawajafikia ndoto zao...
Tuache kufuatiliana Maisha..... (Huo muda tuwekeze kwenye maisha yetu sababu nina uhakika kuna mengi ya kurekebisha)
Mkuu Cannabis , asante for this, and it's true, kwenye maisha kuna kupanda na kushuka hivyo ni muhimu sana, wakati ukiwa juu, usijisikie, wewe ndio wewe, ukiwa juu, jishushe, be humble, ili siku ukiwa chini, ayaone maisha kawaida.Muacheni Pasco, kitu muhimu hela inaingia mfukoni...kwenye maisha kuna kupanda na kushuka
Ahsante pia Mkuu, hilo ni somo muhimu sana katika maisha🙏Mkuu Cannabis , asante for this, and it's true, kwenye maisha kuna kupanda na kushuka hivyo ni muhimu sana, wakati ukiwa juu, usijisikie, wewe ndio wewe, ukiwa juu, jishushe, be humble, ili siku ukiwa chini, ayaone maisha kawaida.
P
Mkuu MINOCYCLINE , hii maana yake mimi ni mtu down to earth!.Je, kwa hali hii ina maana Tasnia ya Habari nchini imekuwa Kimafanikio au imeshuka na sasa imeanza kupoteza Umuhimu nchini?
Binafsi kwa Hadhi ya Unguli wa Habari aliokuwa nao Pascal Mayalla nilitegemea leo hii angekuwa anamiliki Chombo chake kikubwa sana cha Habari nchini Tanzania na siyo kuwa Mtangazaji Mchangiaji wa Kawaida mno EA Radio.
Anafanya Utangazaji wa Kiualimu hasa.
Mkuu Yahana Mbatizaji, johnthebaptist , amen, amen!.Tumuombee mwanaJF Pascal Mayalla apitishwe
Wote tuseme Amen!