Part 5: TISS Bado safari ngumu

Part 5: TISS Bado safari ngumu

Hatufanani na Marekani kwa ulinganisho wowote.


Marekani ina several layers of security and control.
CIA ni moja tu kati ya mashirika ya kijasusi. Kuna CIA, FBI.FEMA etc na yako mashirika ya kijasusi karibia 30 huko Marekani.

Na huko uliko imba wimbo wa mapambio sawa na wenyeji, vinginevyo tuakusubiri Gongo la Mboto.
Mna msubiri Gongo la mboto akiwa mfu au akiwa na pingu,tujuze mkuu
 
Wewe ni sifuri kichwani kabisa, tena jinga hasa, eti mnanisubiri Gongo la mboto unadhani huwa naingia Tanzania kiboya?
Hata sasa nipo msasani na kesho usiku nakula flight to Canberra, Lakini kunipata hata mchimbe ardhi kwa meno hamwezi
Dont go negative, jibu hoja.
Na kama sisi ni maboya huko uliko pilipili ya Tz inakuwashia nini?
Kaa huko huko ule kuku wa kwenye mwezi mzima kwenye freezer.
 
Mikwara mavi. Mkishashindilia miugali yenu ya bure at an expense of taxpayers and donors money mnajiona nyii bora kuliko watanzania wengine. Nijibu na id zako zingine za Eagle eyr na gentamyvine.


Nyau wewe

Duh
 
Ukimpuuza ukaendelea kutoa hoja hana madhara yoyote.

Mara nyingi ukibishana na mpumbavu hautatofautiana nae, nakushauri umpuuze uendelee kutoa nondo
Njoo sasa kariakoo unikamate kumbe unajua nilipo sasa kelele za nini?
 
Tunapozungumzia usalama wa taifa, maana yake ni kwamba tunazumgumzia roho ya nchi.

Ukiona taifa lolote lina watu maskini, wajinga, wasiojitambua, ujue kwamba hata intelligence ya nchi pia haijitambui na iko dhaifu kupindukia.

Ukitaka kufanikiwa kimaisha, waige waliofanikiwa, usiige maskini.

Rais wa Marekani,Donald Trump anaweza kutolewa madarakani wakati wowote na CIA, kwa kivuli cha Bunge, lengo ni maslahi mapana zaidi ya Marekani na siyo yeye Trump na genge lake la Republicans.

Wamarekani wanaipenda nchi yao, sisi hatuipendi Tanzania yetu bali tunapenda CCM na CHADEMA.

Ndo maana Rais wetu ni mungu mtu yeye huwa hakosei.

Naamini hata Nyerere hakuwa mzalendo wa kweli wa Tanzania yetu, kwa kauli yake hii mzee huyu nilimvua uzalendo,namnukuu.

"Kwa katiba hii Tanzania ikipata Rais Dikteta mtakiona cha moto ".

Mungu amrehemu mzee wetu huko alipo,alijua katiba ya Tanzania ni mbovu inayomfanya Rais awe Mungu mtu, Kwanini hakuibadili mapema akiwa madarakani badala yake akatoka na kuanza kulia lia Kama mimi My Son drink water ninavyolia sasa?

Tanzania ina watu mil 50,watu active wanaohangaika na maisha ni mil 15 walioajiriwa hawazidi laki 8,waliojiajiri sekta isiyo rasmi ni hawazidi laki mil 1.

Mil 35 iliyobaki, ni watoto, wazee mno, wagonjwa, wafungwa na idadi kubwa ya mil 30 ni ma jobless tupu.

Humo ndo kunazalishwa matapeli, wezi, vibaka, malaya wa kujiuza, wapiga mizinga, ombaomba na balaa zote.
Mossad retired agent.

"if we want to topple a government, the best group to collaborate with is the big number of the haves not, such people deeply hate their government and they are easily persuaded ".

Mwisho wa kumnukuu huyo jabali.
Je TISS mnalijua hilo?


Inaendelea...

Nadhani unawa-underrate sana hao TISS...Hujui kuwa TISS ina wasomi waliobobea?? Chombo cha security katika nchi yoyote ile duniani kina wasoi wakubwa na wataalamu na wanataaluma wa wa fani mbalimbali...ndivvyo ninavyofahamu mimi
 
Huu ujinga wako ipo siku utakugharimu tena kwa gharama kubwa ambayo huta isahau ,usidhani hufahamiki wala upo dunia nyingine

State agent
Acha mambo ya kutishana! Kama huna kifua cha kuhimili ya humu JF usiingie kabisa, la sivyo weka hoja yako kupinga yake. Hayo mambo ya "hunijui Mimi" yamepitwa na wakati.
Sawa bwana state agent!
 
Kama inakukera ipite usisome...mtoa mada lete part ingine..
 
Ahsante Mkuu, Huyu bwana huwa ana hoja nzuri mno na mara nyingi nimekuwa nikisoma nyuzi zake. Angekuwa kweli ni mzalendo wa kweli na anaipenda nchi yake aliyokulia basi angejitahidi kuleta nyuzi hasa za zilizo base kwenye nyanja ya ujasusi wa kiuchumi na pia angekuwa anatoa na mapendekezo.

Na Hakika watu wetu wasingekosa kuchukua mambo mawili matatu na kuyafanyia kazi, huo ndio uzalendo wenyewe sasa hili la kurushiana maneno hata mlengo wa uzi unapotea kabisa.

All in all karibu kwenye goli langu la chips hapa tegeta kwa ndevu upate japo kidali cha kuku bure mkuu.
Asante kwa ushauri mzuri Mkuu, nitaufanyia kazi ipasavyo
 
Anisamehe kwa lipi mkuu? au yeye ndo ajisamehe kwa uzumbukuku wake?
Yaani nichochee uhaini kisha mods waiache mada hadi sasa hivi tangu jana?
Mada ya kihaini ikae tu bila kufutwa?
That had been the stupidity comment ever!
Mkuu nime ku quote vibaya.

Shabaha ilikuwa kumjibu yule alosema kumjibu PASKALI "uwezo wako wa kufikiri/akili umefikia hapo" hilo jibu kwa mhusika ndo lilinifanya nijibu na nikajibu hivyo.
Pole mkuu
 
Back
Top Bottom