Part 5: TISS Bado safari ngumu

Part 5: TISS Bado safari ngumu

Mbona mmeanza kutishana sasa kila mtu ana mtazamo wake sio vyema kumtisha . Tunajuwa unamfahamu kama wewe wanavyo kufahamu wengine.

Tushindane kwa hoja sio hoja kwa fojary
yeye mwenyewe anajiona bonge mjanja kuwa hatumfahamu. wakati anajulikana dhahiri shairi kuwa ni popoma "gentamaisine". kilaza anayeongoza kumiliki ID nyingi hapa jf.

abishe nimvue nguo.
 
Amekamatwa huyu kila uchao na kelele za TISS nani kamwambia kuna TISS humu si awafute awambie hukohuko

State agent
yeye mwenyewe anajiona bonge mjanja kuwa hatumfahamu. wakati anajulikana dhahiri shairi kuwa ni popoma "gentamaisine". kilaza anayeongoza kumiliki ID nyingi hapa jf.

abishe nimvue nguo.
 
Huwezi compare ,CIA, Mossad against African State Intelligency, ni vitu viwili tofauti unaongelea nchi ambayo Industry revolution wameifanya mwaka 1776 na nchi ambazo hata bado hazijafika viwango hivyo, unaongelea USA ambayo imefanya mapinduzi makubwa ya technologia, unaongelea Israel ambayo tangu iundew iko vitani na majirani zake, kwahiyo mafanikio ya taasisi za ujasusi za nchi yeyote ile duniani inategemea sana uchumi wa nchi husika pamoja na technologia.
Hujaelewa mada vizuri mkuu
 
yeye mwenyewe anajiona bonge mjanja kuwa hatumfahamu. wakati anajulikana dhahiri shairi kuwa ni popoma "gentamaisine". kilaza anayeongoza kumiliki ID nyingi hapa jf.

abishe nimvue nguo.
Acha mikwara mbuzi kijana
 
Sijui kakoje, kanatembea na passport ya bibi na bwana ila kila siku kanaponda Tanzania
Karibu Canberra ule nyama ya kondoo ili utoe sumu za UVCCM
images%20(1).jpeg
 
Kwa umbumbumbu na upumbavu mlionao sipati picha mmeua watu kiasi gani kwa kuwahisia ,mtajie huyo bwege mwenzako ili anipate kirahisi
Kifupi unajulikana ni just tu a matter tu ya kuamua udakwe Kuna kitu umefanya Facebook muda si mrefu ila tu nikueleze hayo maeneo ya TISS sio kuchezea hata kichaa hakuna mtu mwenye wa jukupeleka popote kukupima Kama zimo ama hazimo ni kushughulikiwa tu.
 
Fala kweli wewe, ushauri ni uhaini?
Eti na wewe ni TISS wa kutegemewa hivi huwa mnasomea wapi nyie watu, mbona ni wajinga hivyo?
Mm sio TISS ,TISS ni taasisi mm ni agent wa soda kutoka nje ya nchi ,siku ikifika utakuwa shuhuda nitakupa soda unywe
 
Kifupi unajulikana ni just tu a matter tu ya kuamua udakwe Kuna kitu umefanya Facebook muda si mrefu ila tu nikueleze hayo maeneo ya TISS sio kuchezea hata kichaa hakuna mtu mwenye wa jukupeleka popote kukupima Kama zimo ama hazimo ni kushughulikiwa tu.
Aisee nyie mijuha mna kazi kweli kweli
 
Back
Top Bottom