Part 5: TISS Bado safari ngumu

Part 5: TISS Bado safari ngumu

Huwezi compare ,CIA, Mossad against African State Intelligency, ni vitu viwili tofauti unaongelea nchi ambayo Industry revolution wameifanya mwaka 1776 na nchi ambazo hata bado hazijafika viwango hivyo, unaongelea USA ambayo imefanya mapinduzi makubwa ya technologia, unaongelea Israel ambayo tangu iundew iko vitani na majirani zake, kwahiyo mafanikio ya taasisi za ujasusi za nchi yeyote ile duniani inategemea sana uchumi wa nchi husika pamoja na technologia.
Hayo yote mkuu yanayokea sababu ya kuwa usalama mzuri kwa ajili ya mslahi mapana ya nchi. Yanachagizwa sana na majasusi wetu
 
Tunapozungumzia usalama wa taifa, maana yake ni kwamba tunazumgumzia roho ya nchi.

Ukiona taifa lolote lina watu maskini, wajinga, wasiojitambua, ujue kwamba hata intelligence ya nchi pia haijitambui na iko dhaifu kupindukia.

Ukitaka kufanikiwa kimaisha, waige waliofanikiwa, usiige maskini.

Rais wa Marekani,Donald Trump anaweza kutolewa madarakani wakati wowote na CIA, kwa kivuli cha Bunge, lengo ni maslahi mapana zaidi ya Marekani na siyo yeye Trump na genge lake la Republicans.

Wamarekani wanaipenda nchi yao, sisi hatuipendi Tanzania yetu bali tunapenda CCM na CHADEMA.

Ndo maana Rais wetu ni mungu mtu yeye huwa hakosei.

Naamini hata Nyerere hakuwa mzalendo wa kweli wa Tanzania yetu, kwa kauli yake hii mzee huyu nilimvua uzalendo,namnukuu.

"Kwa katiba hii Tanzania ikipata Rais Dikteta mtakiona cha moto ".

Mungu amrehemu mzee wetu huko alipo,alijua katiba ya Tanzania ni mbovu inayomfanya Rais awe Mungu mtu, Kwanini hakuibadili mapema akiwa madarakani badala yake akatoka na kuanza kulia lia Kama mimi My Son drink water ninavyolia sasa?

Tanzania ina watu mil 50,watu active wanaohangaika na maisha ni mil 15 walioajiriwa hawazidi laki 8,waliojiajiri sekta isiyo rasmi ni hawazidi laki mil 1.

Mil 35 iliyobaki, ni watoto, wazee mno, wagonjwa, wafungwa na idadi kubwa ya mil 30 ni ma jobless tupu.

Humo ndo kunazalishwa matapeli, wezi, vibaka, malaya wa kujiuza, wapiga mizinga, ombaomba na balaa zote.
Mossad retired agent.

"if we want to topple a government, the best group to collaborate with is the big number of the haves not, such people deeply hate their government and they are easily persuaded ".

Mwisho wa kumnukuu huyo jabali.
Je TISS mnalijua hilo?

Inaendelea...
Mkuu una mawazo ya kitoto, eti Rais wa Marekani anaweza tolewa kazini na CIA!
 
Kifupi unajulikana ni just tu a matter tu ya kuamua udakwe Kuna kitu umefanya Facebook muda si mrefu ila tu nikueleze hayo maeneo ya TISS sio kuchezea hata kichaa hakuna mtu mwenye wa jukupeleka popote kukupima Kama zimo ama hazimo ni kushughulikiwa tu.
Hahaha... Nawaona vijana wa Tiss mnatishia raia

Hahhaa.. Vitu kama hivi ndo vina prove kwamba Tiss ni tatizo sana anii

Majasusi huwa tunakaa kimya mzee... Mi jasusi la malawi mkuu
 
Naona umeamua kumnukuu baba salehe ,

Ipo siku utajuta kuzaliwa
Wewe unayejiita State Agent huna lolote wala wewe siyo member wa TISS. Hiyo ni fake ID tu ya kutishia wakisoaji.

Kwa uelewa wangu mwajiriwa wa TISS au informer atatumia muda wake kutafuta taarifa zinazo hatarisha usalama wa nchi na kuifanya nchi iwe kwenye alert including ku dissolve au ku abort any would be disaster or risk.

Wakala wa TISS au mwajiriwa hawezi kupambana mitandaoni kubishana na kuwatisha Wa Tanzania wenye maono tofauti kama mtoa uzi huu.

Huyu State Agent apuuzwe tu kama kondom iliyotumika.
 
Mkuu, jitahidi sana unapowasilisha Hoja/bango lako, lisiwe na lugha ya dhihaka ama kejeli ndani yake. Nakumbuka kuna kipindi uliweka bandiko kumhusu DGIS mstaafu Modestus Kipilimba, Kwa jinsi ulivyopangilia hoja nahisi kuhusu kupwaya katika utendaji kazi wake basi ombi lako liliweza kusikika na likafanyiwa kazi.

Sasa Baada ya hapo sijui nikuona unaweza tumia lugha yoyote kwa taasisi kama ile ukajisahau, na kuanza kuandika maandiko yanayoponda na si kujenga kama baadhi ya maandiko yako ya hapo awali..

Hivyo ningependa urudie uandishi wako wa kipindi cha nyuma na epuka kutumia lugha kali au za kejeli na hakika utakuwa unatoa ushauri mzuri na si kama ufanyavyo sasa, maana unaweza kuwa na hoja na ushauri mzuri ila unapoingiza maneno yasiyofaa basi ujumbe wako wote unakosa maana..

Jirekebishe katika uandishi Mkuu.
 
Huu ujinga wako ipo siku utakugharimu tena kwa gharama kubwa ambayo huta isahau ,usidhani hufahamiki wala upo dunia nyingine

State agent
Mikwara mavi. Mkishashindilia miugali yenu ya bure at an expense of taxpayers and donors money mnajiona nyii bora kuliko watanzania wengine. Nijibu na id zako zingine za Eagle eyr na gentamyvine.

Nyau wewe
 
Mkuu, jitahidi sana unapowasilisha Hoja/bango lako, lisiwe na lugha ya dhihaka ama kejeli ndani yake. Nakumbuka kuna kipindi uliweka bandiko kumhusu DGIS mstaafu Modestus Kipilimba, Kwa jinsi ulivyopangilia hoja nahisi kuhusu kupwaya katika utendaji kazi wake basi ombi lako liliweza kusikika na likafanyiwa kazi.

Sasa Baada ya hapo sijui nikuona unaweza tumia lugha yoyote kwa taasisi kama ile ukajisahau, na kuanza kuandika maandiko yanayoponda na si kujenga kama baadhi ya maandiko yako ya hapo awali..

Hivyo ningependa urudie uandishi wako wa kipindi cha nyuma na epuka kutumia lugha kali au za kejeli na hakika utakuwa unatoa ushauri mzuri na si kama ufanyavyo sasa, maana unaweza kuwa na hoja na ushauri mzuri ila unapoingiza maneno yasiyofaa basi ujumbe wako wote unakosa maana..

Jirekebishe katika uandishi Mkuu.
Mikwara mavi
 
Wapi nimepiga mkwara?? Usijibu kwa mihemko tafadhali yaani kushauri jamaa awe anawasilisha hoja kwa lugha nzuri kama alivyokuwa akifanya napo ni mkwara.

Fanya yako mkuu, sipo hapa kubishana na wewe
Hamna bana Mikwara mavi tuuuuu
 
Wako busy kutafuta nani anamkosoa mzee meko lakini mpaka nchi inategemea njiti za chips kutoka china, mpaka leo tunategemea sabuni za jamaa kutoka kenya!!

Mbaya zaidi wameruhusu kilaza kuwa CAG.
Na wakosoaji nao wako busy kujenga viwanda huku wanakosoa au sio?
 
Tunapozungumzia usalama wa taifa, maana yake ni kwamba tunazumgumzia roho ya nchi.

Ukiona taifa lolote lina watu maskini, wajinga, wasiojitambua, ujue kwamba hata intelligence ya nchi pia haijitambui na iko dhaifu kupindukia.

Ukitaka kufanikiwa kimaisha, waige waliofanikiwa, usiige maskini.

Rais wa Marekani,Donald Trump anaweza kutolewa madarakani wakati wowote na CIA, kwa kivuli cha Bunge, lengo ni maslahi mapana zaidi ya Marekani na siyo yeye Trump na genge lake la Republicans.

Wamarekani wanaipenda nchi yao, sisi hatuipendi Tanzania yetu bali tunapenda CCM na CHADEMA.

Ndo maana Rais wetu ni mungu mtu yeye huwa hakosei.

Naamini hata Nyerere hakuwa mzalendo wa kweli wa Tanzania yetu, kwa kauli yake hii mzee huyu nilimvua uzalendo,namnukuu.

"Kwa katiba hii Tanzania ikipata Rais Dikteta mtakiona cha moto ".

Mungu amrehemu mzee wetu huko alipo,alijua katiba ya Tanzania ni mbovu inayomfanya Rais awe Mungu mtu, Kwanini hakuibadili mapema akiwa madarakani badala yake akatoka na kuanza kulia lia Kama mimi My Son drink water ninavyolia sasa?

Tanzania ina watu mil 50,watu active wanaohangaika na maisha ni mil 15 walioajiriwa hawazidi laki 8,waliojiajiri sekta isiyo rasmi ni hawazidi laki mil 1.

Mil 35 iliyobaki, ni watoto, wazee mno, wagonjwa, wafungwa na idadi kubwa ya mil 30 ni ma jobless tupu.

Humo ndo kunazalishwa matapeli, wezi, vibaka, malaya wa kujiuza, wapiga mizinga, ombaomba na balaa zote.
Mossad retired agent.

"if we want to topple a government, the best group to collaborate with is the big number of the haves not, such people deeply hate their government and they are easily persuaded ".

Mwisho wa kumnukuu huyo jabali.
Je TISS mnalijua hilo?

Inaendelea...
Drink more water my son!

Sisi utaifa baadae vyama kwanza kwani huelewi?
 
tatizo kubwa letu ni kuwa hatupendi kufikiri kwa akili zetu badala yake tumekuwa watu wa kuimba 'mapambio' tu! Kila kitu ni 'ndio mzee' hebu tuwaze japo kwa akili kdg tulizojaaliwa na tupambanue mambo ndio tuseme 'ndio mzee' au 'hapana mzee'
 
Back
Top Bottom