YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,900
- 52,036
Mleta mada wewe akili huna kujadili mambo ya intelligence.Kwa sababu intelligence ni idara ya watu wenye akili nyingi sio wajinga Kama wewe.Takwimu zako za kijinga tu.Tanzania ina watu mil 50,watu active wanaohangaika na maisha ni mil 15 walioajiriwa hawazidi laki 8,waliojiajiri sekta isiyo rasmi ni hawazidi laki mil 1.
Mil 35 iliyobaki, ni watoto, wazee mno, wagonjwa, wafungwa na idadi kubwa ya mil 30 ni ma jobless tupu.
Mwisho wa kumnukuu huyo jabali.
Je TISS mnalijua hilo?
Inaendelea...
Watanzania asilimia 90 wamejiajiri sekta ya kilimo,ufugaji na uvuvi .Angalia huo upumbavu wako uliondika hapo.wakulima wafugaji na wavuvi umewaweka wapi mjinga wewe?

