Part 5: TISS Bado safari ngumu

Part 5: TISS Bado safari ngumu

Itegemee teknolojia bila kutumia akili?

Inategemea akili,na msaada wa teknolojia.
Huwezi compare ,CIA, Mossad against African State Intelligency, ni vitu viwili tofauti unaongelea nchi ambayo Industry revolution wameifanya mwaka 1776 na nchi ambazo hata bado hazijafika viwango hivyo, unaongelea USA ambayo imefanya mapinduzi makubwa ya technologia, unaongelea Israel ambayo tangu iundew iko vitani na majirani zake, kwahiyo mafanikio ya taasisi za ujasusi za nchi yeyote ile duniani inategemea sana uchumi wa nchi husika pamoja na technologia.
 
Tiss ilikuwa ile ya wakati wa Nyerere, hii ya sasa imepoteza sifa ya kuwa Tiss hata recruitment procedure yao haieleweki.

Ile ya wakati ule walikuwa highly principled and disciplined, wasingeweza kilumbana na watu kijinga hivi.

Hata hivyo, I doubt kama wanaweza kulumbana na watu humu, hawa wa humu wanaweza kuwa ni hungry informants wanaokaa kwenye vijiwe vya pale Manzese kwa Mfuga Mbwa.
 
Unadhani Wamarekani ni wapumbavu Kama nyie watanzania?
Huko hakuna praise team, Pole Sana
Hatufanani na Marekani kwa ulinganisho wowote.


Marekani ina several layers of security and control.
CIA ni moja tu kati ya mashirika ya kijasusi. Kuna CIA, FBI.FEMA etc na yako mashirika ya kijasusi karibia 30 huko Marekani.

Na huko uliko imba wimbo wa mapambio sawa na wenyeji, vinginevyo tuakusubiri Gongo la Mboto.
 
if we want to topple a government, the best group to collaborate with is the big number of the haves not, such people deeply hate their government and they are easily persuaded ".
Na pia ukiona watu wa nyuzi kama hizi jua hali ni mbaya zaidi ya tudhaniavyo.
 
Hatufanani na Marekani kwa ulinganisho wowote.


Marekani ina several layers of security and control.
CIA ni moja tu kati ya mashirika ya kijasusi. Kuna CIA, FBI.FEMA etc na yako mashirika ya kijasusi karibia 30 huko Marekani.

Na huko uliko imba wimbo wa mapambio sawa na wenyeji, vinginevyo tuakusubiri Gongo la Mboto.
Wewe ni sifuri kichwani kabisa, tena jinga hasa, eti mnanisubiri Gongo la mboto unadhani huwa naingia Tanzania kiboya?
Hata sasa nipo msasani na kesho usiku nakula flight to Canberra, Lakini kunipata hata mchimbe ardhi kwa meno hamwezi
 
PASKAL achana na huyo msamehe bure tu°
Anisamehe kwa lipi mkuu? au yeye ndo ajisamehe kwa uzumbukuku wake?
Yaani nichochee uhaini kisha mods waiache mada hadi sasa hivi tangu jana?
Mada ya kihaini ikae tu bila kufutwa?
That had been the stupidity comment ever!
 
Hahaha... Nawaona vijana wa Tiss mnatishia raia

Hahhaa.. Vitu kama hivi ndo vina prove kwamba Tiss ni tatizo sana anii

Majasusi huwa tunakaa kimya mzee... Mi jasusi la malawi mkuu
Hoja ujibiwa kwa hoja na sio vitisho,
 
Mkuu, jitahidi sana unapowasilisha Hoja/bango lako, lisiwe na lugha ya dhihaka ama kejeli ndani yake. Nakumbuka kuna kipindi uliweka bandiko kumhusu DGIS mstaafu Modestus Kipilimba, Kwa jinsi ulivyopangilia hoja nahisi kuhusu kupwaya katika utendaji kazi wake basi ombi lako liliweza kusikika na likafanyiwa kazi.

Sasa Baada ya hapo sijui nikuona unaweza tumia lugha yoyote kwa taasisi kama ile ukajisahau, na kuanza kuandika maandiko yanayoponda na si kujenga kama baadhi ya maandiko yako ya hapo awali..

Hivyo ningependa urudie uandishi wako wa kipindi cha nyuma na epuka kutumia lugha kali au za kejeli na hakika utakuwa unatoa ushauri mzuri na si kama ufanyavyo sasa, maana unaweza kuwa na hoja na ushauri mzuri ila unapoingiza maneno yasiyofaa basi ujumbe wako wote unakosa maana..

Jirekebishe katika uandishi Mkuu.
Kwa ushauri huu, wewe ungekuwa agent mzuri sana.
 
Kwa ushauri huu, wewe ungekuwa agent mzuri sana.
Ahsante Mkuu, Huyu bwana huwa ana hoja nzuri mno na mara nyingi nimekuwa nikisoma nyuzi zake. Angekuwa kweli ni mzalendo wa kweli na anaipenda nchi yake aliyokulia basi angejitahidi kuleta nyuzi hasa za zilizo base kwenye nyanja ya ujasusi wa kiuchumi na pia angekuwa anatoa na mapendekezo.

Na Hakika watu wetu wasingekosa kuchukua mambo mawili matatu na kuyafanyia kazi, huo ndio uzalendo wenyewe sasa hili la kurushiana maneno hata mlengo wa uzi unapotea kabisa.

All in all karibu kwenye goli langu la chips hapa tegeta kwa ndevu upate japo kidali cha kuku bure mkuu.
 
Back
Top Bottom