Part 5: TISS Bado safari ngumu

Part 5: TISS Bado safari ngumu

Idara ya watu wenye akili waliochukuliwa kutoka UVCCM na kuunganishiana
Mleta mada wewe akili huna kujadili mambo ya intelligence.Kwa sababu intelligence ni idara ya watu wenye akili nyingi sio wajinga Kama wewe.Takwimu zako za kijinga tu.

Watanzania asilimia 90 wamejiajiri sekta ya kilimo,ufugaji na uvuvi .Angalia huo upumbavu wako uliondika hapo.wakulima wafugaji na wavuvi umewaweka wapi mjinga wewe?
 
Huu ujinga wako ipo siku utakugharimu tena kwa gharama kubwa ambayo huta isahau ,usidhani hufahamiki wala upo dunia nyingine

State agent
Jibu hoja kwa hoja matisho yamepitwa na wakati
 
Huu ujinga wako ipo siku utakugharimu tena kwa gharama kubwa ambayo huta isahau ,usidhani hufahamiki wala upo dunia nyingine

State agent
Acha kutisha watu kipumbavu mkuu the guy has spoken the naked truth. Kuwa tuna usalama wa maslahi mapana ya wachache sio nchi, kama ni TISS basis we have the very stupidity group of TISS kuwahi kutokea yoka Uhuru this time badala ya kujibu hoja unakuja na vitisho. We ni mpumbavu.
Na kwa namna hii ya usalama We have a long way to go kama taifa.

"Tumezaliwa Siku moja tutakufa siku moja" ndo kauli watu wameanza kuzitoa as TISS mnafanya mini kutengeneza umoja wa kitaifa. Then unakuja na stupid answer inasikitisha sana
 
Back
Top Bottom