My Son drink water
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 4,930
- 13,333
- Thread starter
- #161
Naileta Mkuu usikae mbaliKama inakukera ipite usisome...mtoa mada lete part ingine..![]()
Naileta Mkuu usikae mbaliKama inakukera ipite usisome...mtoa mada lete part ingine..![]()
Soma mada uelewe vizuri mkuu, ulitaka niwasifie kwa lipi?Nadhani unawa-underrate sana hao TISS...Hujui kuwa TISS ina wasomi waliobobea?? Chombo cha security katika nchi yoyote ile duniani kina wasoi wakubwa na wataalamu na wanataaluma wa wa fani mbalimbali...ndivvyo ninavyofahamu mimi
Poa mkuuUkimpuuza ukaendelea kutoa hoja hana madhara yoyote.
Mara nyingi ukibishana na mpumbavu hautatofautiana nae, nakushauri umpuuze uendelee kutoa nondo
Takataka chafu Kama wewe kaa mbali na mada zangu, waache wenye akili wachangieDont go negative, jibu hoja.
Na kama sisi ni maboya huko uliko pilipili ya Tz inakuwashia nini?
Kaa huko huko ule kuku wa kwenye mwezi mzima kwenye freezer.
Kama unafikiri hizi pumba na upupu unamwaga hapa ni akili you ought to be mentally checked.Takataka chafu Kama wewe kaa mbali na mada zangu, waache wenye akili wachangie
A poor comment kutoka kwa kijana wa CCM mwenye vinasaba vya uchokoHuu ujinga wako ipo siku utakugharimu tena kwa gharama kubwa ambayo huta isahau ,usidhani hufahamiki wala upo dunia nyingine
State agent
Green guard mtamfanya nini??Huyu yuko around ,in ring corners
Huyu yuko around ,in ring corners
Acha mambo ya kutishana! Kama huna kifua cha kuhimili ya humu JF usiingie kabisa, la sivyo weka hoja yako kupinga yake. Hayo mambo ya "hunijui Mimi" yamepitwa na wakati.
Sawa bwana state agent!
Mazwazwa kweli mpo wengi humu,Kwa kigezo kipi unasema TISS ni imara?
Ingekua imara tungekua tunaona watu wanatumbuliwa kila mwezi?
Vipi viwanda vilivyokufa baada ya nyerere kutoka madarakani?
Vipi wasio julikana ambao mpaka leo hawajulikani?
Huyu yuko around ,in ring corners
huyu ku**ma atakuwa alizolewa na Corona,kwa sababu mara ya mwisho kuonekana humu ni June/2020.








Wewe mke wa PolePole huwa upo mbwa wewe?Haya Sasa kakojoe ulale usubiri siku usiyoijua .Na log off sijibu mada yako tena