Part 5: TISS Bado safari ngumu

Part 5: TISS Bado safari ngumu

Usitutishe usitutishe ~ Maalim Seifu

We jamaa sijui hiyo pesa unayolipwa ni kiasi gani? Au umehaidiwa cheo mkuu?.kwako wewe ni kusifu na kuabudu tu utawala huu.

Jitahidi sana kuondokana na utumwa wa kifikra mkuu.
Huu ujinga wako ipo siku utakugharimu tena kwa gharama kubwa ambayo huta isahau ,usidhani hufahamiki wala upo dunia nyingine

State agent
 
Bado junior, ukivunja ungo utajua nini naongea
 
Huna unalojua wewe, wewe endelea kutandika vitanda vya mabeberu huko Australia...

TISS ya Tanzania iko imara zaidi ya uijuavyo..
Kwa kigezo kipi unasema TISS ni imara?

Ingekua imara tungekua tunaona watu wanatumbuliwa kila mwezi?

Vipi viwanda vilivyokufa baada ya nyerere kutoka madarakani?

Vipi wasio julikana ambao mpaka leo hawajulikani?
 
Huu ujinga wako ipo siku utakugharimu tena kwa gharama kubwa ambayo huta isahau ,usidhani hufahamiki wala upo dunia nyingine

State agent
Nakuonya, tena nakuonya mara 100 wewe mpumbavu mimi siyo Ben Saanane mliyemuua kikatili, endapo mtahamishia ujinga wenu kwangu, mtajuta wote Kama mlivyo, si kila unayemuona humu anafikika kirahisi, jinga sana wewe.
 
Nyie vitoto huwa mnaota nini maana kila siku shida zenu mnazileta humu

State agent
Mtu anakufungua macho anaishia kuitwa "mchochezi na mhaini" badala ya kufanyia kazi mawazo yake!!

Unajua kwann gadafi alitolewa kirahisi? ogopa sana chuki inayojengwa miongoni mwa "wanyonge" ambao hawana cha kupoteza.
 
Nakuonya, tena nakuonya mara 100 wewe mpumbavu mimi siyo Ben Saanane mliyemuua kikatili, endapo mtahamishia ujinga wenu kwangu, mtajuta wote Kama mlivyo, si kila unayemuona humu anafikika kirahisi, jinga sana wewe.
Ukiwa diaspora kuwa na akili sio kuolewa ma wazungu kukufanye ukose akili

State agent
 
Ben ndio nani ,tumia akili kupambana na shida zako sio ipo siku utajuta

State agent
Kijana Tatizo lako unadhani kila mtu ni Ben Saanane, yaani ulivyo fala unadhani TISS ni mali yenu washenzi nyie wa CCM, TISS ni taasisi ya watanzania, nina haki ya kuikosoa nitakavyo,wewe unaleta UVCCM wako hapa, angalia utaumia
 
Nakuonya, tena nakuonya mara 100 wewe mpumbavu mimi siyo Ben Saanane mliyemuua kikatili, endapo mtahamishia ujinga wenu kwangu, mtajuta wote Kama mlivyo, si kila unayemuona humu anafikika kirahisi, jinga sana wewe.
Kamuonye alishindwa kukufunda na ulimi wa kuharisha
 
Back
Top Bottom